Hakuna Mwanamke anayekosa mume wa kumuoa, Ila wapo wanaume wanaokosa wake wa kuwaoa!

Mimi ninavyo jua ni kwamba mwaume hana expire date ndio maana hata 80yrs anazaa,
 
Siku hizi wana wanaume wanaowaunga mkono wanawatungia vijitabu na kuwafariji kwenye ujinga wao.
Kuna mmoja aliniambia ni mfollow Dr mmoja wa saikolojia wa chuo kikuu cha Dar,nilijaribu kum follow ila nikakuta ujinga ni mwingi sana nikam unfollow.

Dawa ya hawa unawaoa lakini unakuwa na mke mwingine pembeni.
Kama dini hairuhusu,achana kuoa ujinga.Wana magroup yao wanalishana matango pori sana
 
kuolewa ataolewa lakini siku anapigwa anataka kwenda kwao anamuomba tena aliyempiga ampe nauli.
Wakati yuko kwa wazazi wake akipigwa alikuwa anamuomba babaake nauli ili aondoke??
Kupigana ni sehemu ya maisha ya wawili usiyaingilie katu akikataa kupigwa kofi apigwe risasi ili huu ujinga na viburi viishe!!
 
πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ™πŸ™
 
"Nimewahi kuwasikia mpaka wachungaji na watu mashuhuri wakihubiri Jambo hili, Hali inayowafanya wanawake waathirike kisaikolojia tofauti na uhalisi. Ati mwanamke akifikisha miaka 30 yupo kwenye hatari ya kukosa mume, sio kweli"
Sio kweli unaishi duniani au mbinguni
 
Kuna sababu nyingi zinazofanya wanawake wakose kuolewa.

Wanawake ni wengi kuliko wanaume,na bado kuna wanaume wengi hawaoi kutokana na uchumi.

Bado mwanamke akifika 30+ kuolewa ni bahati nasibu.
Kuna wanaume salio na mke zaidi ya mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…