ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Hebu ngoja huyu nikifa mke wangu asiiolewe yeye ndio alimbikiri huyo dada na still akaacwa ?Huyu jamaa kuna uzi wake mmoja nimemfahamu vizuri sanaa aisee labda aje kubadili I’d
Ila ana janga la mwanamke kuchepuka na kumpenda jamaa mwingine sana, ila hakuwa mwanamke wake wa kumuoa, ila yeye ndie alimbikiri huyo mwanamke ila alikuja kuoza kwa mwanaume mwingine
Jamaa stress hiyo inamtesa kwenye nyuzi zake
Yeah mwanamke akaenda kuoza kwa mchizi huko hatar, baadae akafumania sms kwenye sim ya mwanamke wake akampigia jamaa, jamaa akakubali amuachie huyo mwanamke baadae mwanamke akapata mimba, akakataa mimba akamwambia pengine ya yule jamaa uliyechepuka naye… kisa kirefu sanaa jamaa inamtesa mpaka leoHebu ngoja huyu nikifa mke wangu asiiolewe yeye ndio alimbikiri huyo dada na still akaacwa ?
Aiseeee noma sanaYeah mwanamke akaenda kuoza kwa mchizi huko hatar, baadae akafumania sms kwenye sim ya mwanamke wake akampigia jamaa, jamaa akakubali amuachie huyo mwanamke baadae mwanamke akapata mimba, akakataa mimba akamwambia pengine ya yule jamaa uliyechepuka naye… kisa kirefu sanaa jamaa inamtesa mpaka leo
Mkuu mtibeli hapa Robert Heriel Mtibeli kashadadavua mno swala la bikira kama hujawahi kumuelewa kutakuwa kipengele kizito sana kukuelewesha.
Labda nimuite akupe machache kuhusu. Robert Heriel Mtibeli
Duh,kuna makabila mengine kwa mfano, bikira za wasichana hutolewa kwa kutumia ndizi na si kwa kufanya mapenzi ili 'mkwe' asije enda kuhangaika,
Kidogo una minimize kiwango japo unaweza usi eliminate completely
Mkuu uko sahihi sana kwenye hili Kuna jamaa yeye mademu wako ni wale wa kwenye bar tu akisikia bar Fulani wameleta wahudumu wapya basi humkosi.Mkuu hii dunia ilivyo designiwa kuna makundi mawili.
Kuna kundi la watawala na watawaliwa.
Kuna kundi la watumia vitu vipya na kuna linalotumia vitu used vilivyokwisha tumika.
So huwezi ondoa hiyo miaka nenda Rudi. Lazima dunia ibalansi. So hata umfundishe Fisi miaka nenda Rudi jinsi ya kuwa Simba kamwe Fisi hatoweza kuwa simba
Na huu ndio ukweli woteUmeongea kweli. Single mother daima anaishi na matumaini kwamba baba mtoto atajirudi na walee mtoto wao kama familia iliyokamilika yaani baba, mama na mtoto. Uki-settle na single mother hatma ya mahusiano yenu inakua imeshikiliwa na mzazi mwenzake
Ushindi upo kuwa wanakuchakatia pia ila research tuliyofanya ilionekana uwezekano wa kutombewa ni mdogo sana kuliko aliyeoa asiye bikira ama single mother Hawa ni uhakika kukumbushia kila wnapokutana na ma Ex waoNa wanao oa bikra, na kutombewa mbele?
Mkuu kama umeowa single mother wewe jua haya.Bro hiyo stress itakutesa mpaka lini, na unaisema wazi wazi na stress haikuishi
Tafuta dactari wa akili.. akuweke sawa bro
Hivi visa ni vyako wewe mwenyewe unavitoa na hauponi
Huyo mwanamke uliyemzalisha hakupendi na mtoto ana miaka miwili karibia na nusu sasa, pole sana kaka
Ulimfumania sms kwenye simu yake na ukampigia huyo jamaa yake na mliongea jamaa akakubali kuachana na huyo mwanamke
Mpaka sasa hauna uhakika kama mtoto wako au wa huyo jamaa kwa maana kipindi icho icho huyo dem wenu ndio alishika mimba hata huyo jamaa nayeye ana was was kama mtoto wake au laaah ila ameamua akuachie wewe tu
Devie… kuwa mwanaume ni uthubutu polee kwa stress kaka utapona tu ukiamua kupotezea hizo mambo, wanawake wanatesa sana wakikushika pabaya
Imagine umemuoa alietolewa bikra kwa ndizi halafu wewe ni kibamiaUnayoongea yana make sense, lakini mkuu namna jamii ya Tz ilivyo kamchanganyikeni, wadhani issue ya kuoa bikira ni jambo jepesi kama unavyolihariri kwenye simu?
Sisi kwetu, ni marufuku kijana kumkaribia mchumba, hadi watakapofunga ndoa.
Na ukijidanganya kumrubuni na kwenda kumuonja msichana kabla ya ndoa, mwenye kupoteza utakuwa ni wewe na hilo linaeleweka.
Ushauri wako ungeulekeza kwa single mother tu, suala la bikira za wasichana ni mtambuka sana, kwa sababu kuna makabila mengine kwa mfano, bikira za wasichana hutolewa kwa kutumia ndizi na si kwa kufanya mapenzi ili 'mkwe' asije enda kuhangaika, hapo utasemaje, maana ni tamaduni.
Hili la vijana kujiepusha kuoa wanawake waliokwisha kuzaa lipo sawa.
Huyo utakuta ndo single mother mwenyewe, ndomaana anakushambulia na kufutahia mateso yako.Mkuu kama umeowa single mother wewe jua haya.
Ulitombewa
Utatombewa
Unatombewa
Unatombewa na
Unatombewa mkuu
Mnafikiri vibamia wapo wengi kama mnavyodhani? Kisayansi ni kundi la watu wachache mno, asilimia kubwa ya watu dudu ikisimama inalingana na ndizi au zaidi ya ndizi.Imagine umemuoa alietolewa bikra kwa ndizi halafu wewe ni kibamia
Huyu itakuwa anachapiwa sana, sasa stress anamalizia jf🤣🤣Wewe kila siku unasema umeoa tena bikira sasa mbona kila siku unahaha shida ni nini mkuu😂😂😂🙌
Pole sana utapona
Kuuuumbe🤔🤔Bro hiyo stress itakutesa mpaka lini, na unaisema wazi wazi na stress haikuishi
Tafuta dactari wa akili.. akuweke sawa bro
Hivi visa ni vyako wewe mwenyewe unavitoa na hauponi
Huyo mwanamke uliyemzalisha hakupendi na mtoto ana miaka miwili karibia na nusu sasa, pole sana kaka
Ulimfumania sms kwenye simu yake na ukampigia huyo jamaa yake na mliongea jamaa akakubali kuachana na huyo mwanamke
Mpaka sasa hauna uhakika kama mtoto wako au wa huyo jamaa kwa maana kipindi icho icho huyo dem wenu ndio alishika mimba hata huyo jamaa nayeye ana was was kama mtoto wake au laaah ila ameamua akuachie wewe tu
Devie… kuwa mwanaume ni uthubutu polee kwa stress kaka utapona tu ukiamua kupotezea hizo mambo, wanawake wanatesa sana wakikushika pabaya