Hakuna mwanamke anayeweza kuzaa na mwanaume asiyempenda ni swala la muda kitakulamba tu

Dunia ya sasa imempa mwanamke uhuru mkubwa mno, kwa sasa mwanamke sio pua kua ukishamuoa kamasi utapengea wewe tu, ni binadamu yule, kusalitiwa kupo hata uoe bikra hufuti hiyo chance ya kusalitiwa. Kwa ulinzi wa afya yako ya akili kuwa flexible.

Mwanaume tumia muda wako wa maisha kwa kuwa na misimamo inayokupa furaha sio misimamo unayodhani itakupa uhakika wa matokeo maana hakuna guarantee tena.

Umempenda single mother, weka ndani furahia hizo nyakati za upendo ukitegemea lolote, umepata bikira weka ndani, furahia nyakati za upendo ukitegemea lolote, umeamua unataka experience ya fundi wa ngono ukaamua kurisk, beba gube gube lako lipe nafasi likakukatikie na kukulamba lamba, furahia hiyo nyakati mpaka itakapokwisha iwapo itatokea, tegemea lolote. Uhalisia ni kuwa, ndoa zinazovunjika sio za single mother pekee, na zinazodumu sio za waliooa bikra pekee. Hakuna guarantee zaidi ya matamko sijui research.

Wanawake wapo wengi halafu mnatesekea misimamo. Usioe kama huwezi kuhandle issue ya kusalitiwa ukaacha na kuchukua mwingine ambaye naye anaweza gongwa tu vile vile ukaacha tena au akawa muaminifu mkadumu.
 
Na huu ndio ukweli usio na shaka. Ukioa single mother au mwanamke asiye na bikira(Used) umeoa mke wa mtu ni swala la muda atarudisha kumbukumbu nyuma au hata kabla ya harusi yako ya gharama ukamegewa one day before wakiagana!
Kuna mama alikua analozungumzia hili sehemu fulani bila kulemba maneno hata kidogo
 
Kabisa, Halafu wanaume tujifunze kwa uzoefu wa wengine wanafanyaje au ambao yamewakuta. Ushajua kuna kugawana mali, tumia akili.

Mfano, nyumba zako zote zina mikopo siku zote. Mnagawanaje na hati za nyumba zipo bank? Una reserve zako kwenye bonds na Fixed deposit unakula interest huko na zina warithi, kila mwezi unapeleka marejesho mkopo ukiisha anakopa tena unawekeza na unamshirikisha mkeo kuwa umekopa. Huyo mwanamke akifikiria kuachana na wewe akiwaza jinsi ya kudeal na hiyo mikopo anajichokea, labda uwe na bahati mbaya sana umeoa shetani akuue maana bima italipa hiyo mikopo.

Maisha haya kufika 60 sio guarantee badala ya kuishi kwa furaha ukikimbizana na fursa upo unakimbizana na misimamo ya bikira na hofu ya kugongewa.
 
Bro Kuna tajiri, mkewe kafika stage ya kwenda Kwa kibenten mchana kweupe, sa maisha ya hivo ya Nini eti unaogopa kufilisika, mkiachana na mkeo potelea mbali piga chini tokomea mavisiwa ya mafia huko kaanze upya ukisali sana na kuendwleza tu biashara tudogo huku ikipata utulivi wa nafsi, kujifanya kichwa ngumu matokeo unauliwa na mkeo alisi mali peke yake na kibenteni
 
Reactions: Tsh
Upo sahihi boss, nilichokuwa nasema ni tengeneza ugumu ili mkiachana na yeye akose alilotegemea. Mfano kama alitaka mgawane nyumba uliyojenga basi ishindikane kuuzwa sababu ina mkopo au haina jina lako.
 
Upo sahihi boss, nilichokuwa nasema ni tengeneza ugumu ili mkiachana na yeye akose alilotegemea. Mfano kama alitaka mgawane nyumba uliyojenga basi ishindikane kuuzwa sababu ina mkopo au haina jina lako.
Kweli boss, shida anaku ua, trust me familia nyingi isha kuwa desturi sahivi wanaume ndo wanaanza kufa
 
Reactions: Tsh
Kweli boss, shida anaku ua, trust me familia nyingi isha kuwa desturi sahivi wanaume ndo wanaanza kufa
Tunakimbizana na mambo yasiyo na maana mwili unapoteza sababu ya kuishi muda mrefu. Sasa mfano, mtu unakimbizana na mapenzi umesomesha binti, umemtoa na bikira, umewekeza kwake pesa kibao, umeoa halafu unakuja jua mtoto aliyezaa si wako, nini kinafata kama sio mapresha? Wakati huyo binti wala kwake sio big deal zaidi ya kujiliza liza.
 
Mungu alimua kumchagua BIKIRA aliyeliwa anaitwa Mariamu ili amzae yesu. Nadhani angekuwa na mtazamo wako yesu angezaliwa hata na kahaba.
 
Mwanamke akianza kuleta sauti huyo hakuna hata kikao ni Moja kwa Moja
 
Siku Mimba ya kwanza imeingia huleta mabadiliko makubwa sana kwenye maisha ya mwanamke/Binti.Ukweli upo hivyo.
Hata process ya kutoa mimba hiyo ya mhusika wa kwanza huacha alama na kovu isiyosauhulika.
Kama hujawahi kaa na mwanamke mto Mimba ni ngumu sana kuelewa,mwanamke aliyetoa Mimba zaidi ya moja kwa namna si kutojali,sisemi wale kwa namna zingine..huwa na sawa na Simba alijeruhiwa huwa ni wakatili zaidi ya hao single mama tunawaona na kuwasema.
Mwanamke aliyetoa Mimba hata akija kuolewa na usijue ni katili na hakuna dalili za ukichaa utaacha kuziona ukiwa naye labda uwe mpumbavu..na ndio waliojaa wengi huku mitaani.
 
Mwanamke kama ana tabia za kupigwa hata uliyempata akiwa bikira anagongwa tu! Hapa nilipo jana tumeshuhudia dogo limewapanga mabinti wake za watu watatu kwenye room moja. Inaonekana ni wale mabinti hawajawahi kufika kileleni kwenye ndoa zao. Sasa wamesikia dogo linajua kutomb.. wameenda mbio!
 
Kama ulimkuta akiwa bikira hiyo tabia ya kugongwa kaitoa wapi tena? Yaani kajifunzia wapi hiyo tabia ili hali umekiri umemkuta bikira ?
 
Kama ulimkuta akiwa bikira hiyo tabia ya kugongwa kaitoa wapi tena? Yaani kajifunzia wapi hiyo tabia ili hali umekiri umemkuta bikira ?
Bwana mdogo hunanuziefu na haya mambo! Tuulize Sisi tuliotembeza mkong'oto mtaani kwa wake za watu waliokuwa mabikira! Wanawake wanafundishana sana na kuhadithiana ! Karaghabaho!
 
Mtoa mada umegongewa nini?πŸ˜€πŸ˜€
Ila yote kwa yote sisi ndo tupo πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…