Hakuna mwanamke asiyechepuka

Hakuna kitu kama icho ndugu yangu mwanadamu ni kiumbe ambacho kimekamilika swala la kusema hakijakamlika si dhani kama Mungu angemuamini adamu sisi wanadamu tumekamilika na kisichokamilika ni kilemavu tu kama wewe akili unayo ndugu yangu umekamilika kabisa
 
Wanawake sio wa kuwaamini, Watu humu wanajifafariji tu kwa sababu wana imani sana na wake zao, wanawaona ni watakatatifu
 
Mungu alishakamilisha kazi yake gentleman,

mdhaaifu ya kibinadamu kama vile kiburi na tamaa ndiyo mapungufu hasa ambayo nayamaanisha ambayo waanzilishi wa haya yote ni Adam na Eva, ambao kwa kiburi na tamaa walipuuza maagizo na maelekezo ya Mungu pale bustanini πŸ’
 
hii kanuni naijua,lakini sisemei kwanini watu wanachepukiana,bali nasema jinsi ke kwa asili ni wa hepukaji
Hamna mkuu!

Mwanamke anayekupenda na anayejiheshimu hawezi kuchepuka. Bado wapo wanawake wanaojieheshimu.
 
Tayari kishaumana huku, usinambie hata Mama yako anaugawa nje Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…