Hakuna mwanamke asiyechepuka

Hakuna mwanamke asiyechepuka

kama binadamu,
tunategemeana na kwakweli tunayo mapungufu ya kiasili,

ni muhimu kustahimiliana, kuvumiliana na kusitiriana.
Tafadhali tuchukuliane kulingana na mapungufu na makosa ya kibinadamu,

tusimlaumu sana shetani,
ni muhimu kutubu na kuomba msamaha kwa Mungu, na tujirekebishe na tukiweza tuache michezo hiyo, turidhike na tulichonacho 🐒
Hakuna kitu kama icho ndugu yangu mwanadamu ni kiumbe ambacho kimekamilika swala la kusema hakijakamlika si dhani kama Mungu angemuamini adamu sisi wanadamu tumekamilika na kisichokamilika ni kilemavu tu kama wewe akili unayo ndugu yangu umekamilika kabisa
 
Wanawake sio wa kuwaamini, Watu humu wanajifafariji tu kwa sababu wana imani sana na wake zao, wanawaona ni watakatatifu
 
Hakuna kitu kama icho ndugu yangu mwanadamu ni kiumbe ambacho kimekamilika swala la kusema hakijakamlika si dhani kama Mungu angemuamini adamu sisi wanadamu tumekamilika na kisichokamilika ni kilemavu tu kama wewe akili unayo ndugu yangu umekamilika kabisa
Mungu alishakamilisha kazi yake gentleman,

mdhaaifu ya kibinadamu kama vile kiburi na tamaa ndiyo mapungufu hasa ambayo nayamaanisha ambayo waanzilishi wa haya yote ni Adam na Eva, ambao kwa kiburi na tamaa walipuuza maagizo na maelekezo ya Mungu pale bustanini 🐒
 
idadi yao sasa!

watu wawe tayari kwa lolote
0231115_49.jpg
 
Back
Top Bottom