Hakuna mwanamke asiyechepuka

Hakuna mwanamke asiyechepuka

Futa hiyo kauli Wanawake wote

Hiyo research umefanyia wapi mpaka useme wote?
Una uthibitisho? Siwatetei ila wapo wengi tuu wasio na mambo mengi
 
Futa hiyo kauli Wanawake wote

Hiyo research umefanyia wapi mpaka useme wote?
Una uthibitisho? Siwatetei ila wapo wengi tuu wasio na mambo mengi
hoja yako ina umuhimu ni utafiti nilioufanya kimya kimya kwa vipimo vya kisayansi naweza kushindwa kutetea hoja hii
 
Ndege wafananao huruka pamoja, kama wako ni mchepukaji basi hata ww ni mchepukaji.....lkn si vyema kujumuisha wanawake wote kwa tabia ya mkeo, au hao wachache umekutana nao. Waaminifu wapo na wasyo waaminifu pia wapo, ndivyo ilivyo.
 
nikufundishe kujadili hoja acha ujinga wa kudhani kuwa hoja hii nimeileta eti kwa kuwa mke wangu ni mchepukaji,sikulaumu maana una nhaa ta hatari kula yako ni ya taabu mno mpaka mkeo akaliwe ndio alete hela ya chakula nyimbani
 
Alafu wewe mbona mada za wengine huna uvumilivu na ujuaji ujuaji mwingii na kutukana watu hovyo unaona mwenyewe ndo ujanjaaa wewe ngoja ila nahisi kitu kuhusu wewe kwa tabia zako hizi una walakini wewe
nioneshe tusi langu ni lipi?yawezekana kiswahili hukijui
 
nioneshe tusi langu ni lipi?
Humu tunaingia tunajuana wewe ustaarabu huna kabisa nakuona sana humu ,tofauti na wengine mpaka akichokozwa ndio anafunguka lakini wewe lugha zako kubwa ni kebehi, utoto utoto, matusi ya reja reja alafu hapa tena unaniomba mimi nikuonyeshe matusi yako si utoto huo? BADILIKA
 
mjibu mpumbavu sawa na upumbavu wake asije kujiona ana hekima machoni pake,hayo maneno sikutunga mie.Kama huna hoja nyamaza
 
Back
Top Bottom