Hakuna mwanamke mwenye mdomo mbele ya mumewe

Sanamu lako lijengwe humuhumu jukwaani my dear
 
Hujafanya utafiti wa kutosha kuna wanawake wanaongea ndani ya ndoa kama wamemeza flash. Mtu ananung'unika macha usiku hadi kunakucha. Moja ya matokeo yake ndo unakita wanaume wengine wanaishia bar. Poa kuna baadi ya wanawake kibiri hakifai hasa akiwa na kioato ila anataka kila kitu hata chumvi mumewe anunue.

Ukichunguza pesa yake inaenda wapi daily utasikia vikoba, mara nguo na viatu ili tu kuwaringishia wanawake wenzie huo ,domo sasa ukivyo mchafu utadhani hautumii kula chakula. By the way unajua mwanamke akiwa na mchepuko na kiburi kinaongezeka majibu ya shobo kama ya mleta mada sijui ni mpare wa wapi.
 
Wewe mwenyewe unakaa kwa uncle kumbe

Wewe siku ukipata ndoa ndio utakua headquarter ya gubu na kisiran trust me.
 
Tena mkiolewa ndio mnayatoa makucha kabisa kiburi ndio kinazidi๐Ÿ’
 
Ukiendelea na mdomo naongeza mchepuko mwingine...nahikikisha na wewe umepata mchepuko wako afu mwisho wa sku tutafte mshindi wa ligi Ni Nani.
 
Nasisitiza kuna wanawake wana gubu, kiburi na dharau hata kama mumewe ni mpole na mnyenyekevu kwa mkewe 100%.

Unayesema hayo huna uzoefu na ndoa. Waulize wakongwe watakwambia.

Mume anakabidhi mshahara wote kwa mke, lakini hajawahi onja mshahara wa mkewe. Mke anapewa 400,000 anunue mahitaji ya msingi ya mwezi, baada ya wiki mbili tu hana hata 100 na ana madeni mtaani kiasi kama hicho. Ukijaribu kumwuliza anakwambia pambana ulete hela badala ya maswali.

Kama umebahatika shukuru Mungu.
 
Aangalie tu hata kwenye tamthilia flani ya dstv ile inaitwaje sijui kuna mwanaume ni Mcgarab ana mwanamke ana domo chafu na makelele mpaka sio poa!

Kuna wanawake wameumbwa na midomo tu wao ni kupiga kelele wee ukikosa amani yeye ndio starehe yake!๐Ÿ˜€
 
Sanamu lako lijengwe humuhumu jukwaani my dear
โ€œSasa wababa amua kuwekeza kwenye furaha ya mkeo halafu uje utoe mrejesho maana nyumba itageuka mbingu ndogo. Halafu kumbuka huyu mwanamke unayemuona Ana gubu Leo ni yuelyule ambaye ulimtongoza na ukamuona anafaa kwa ndoa.โ€

Katika ushauri mmbovu ambao siwezi shauri wanaume wenzangu ni huu! Wekezeni kwenye furaha zenu tu sababu hakuna kiumbe ambacho hakinaga shukurani kama mwanamke!

Unampa furaha anajiona beyonce anakupanda kichwani anaenda kugongwa na bodaboda wa mtaani kwenu kwa kutumia hela zako ulizompa halafu anakuona fool!
 
Amejifunza labda baada ya kutendwa, mdomo huenda anao sana
Mwanaume jenga, nunua magari, vaa ila ishi na mwanamke kama mwanamke tu! Treat your family good ila mwanamke abaki katika nafasi yake kuwa ni mwanamke ila sio Mungu wako flani kama wanavyotaka tuwaone ๐Ÿ˜…

Usijitutumue eti unataka kujifanya jentomeni wa dunia atakachokufanyia hutakaa uamini!๐Ÿ˜‚ Tena hasa hizi ngozi nyeusi dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ