Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,226
- 8,961
Sanamu lako lijengwe humuhumu jukwaani my dearWanaume wamekuwa wakilalamikia baadhi ya wanawake zao kwamba wana midomo na wamekuwa na gubu na ndio sababu kuu ya wengi kuendeleza michepuko. Sasa mimi kwa imani yangu ninaamini kwamba hiyo midomo, kauli chafu na gubu ni matokeo ya mwanaume kuanza tabia chafu, kutomjali mke na kumuoneshea dharau. Wanawake wanapolalamikia hali hizi ndipo wanapoonekana kwamba wana gubu na midomo.