Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Nimeshayakoroga hadi hapa[emoji17][emoji17][emoji17]jana niliagiza Kilimanjaro kubwa sita, na nikawa nakunywa na “kifutio” alichoagiza yeye.
Basi tena ndoa [emoji112] bye
Sisi walevi tunawazuum tu kwa mbaaaali viherehere wa kujitakia vifo vya mapema vya kujitakia sababu ya wivu wa kijinga kwa vituko vya Ke walevi.kama hujaolewa na unataka kuolewa jua hii inakuhusu...
Wewe tolewa out badala ya kula msosi na kunjwa juice/soda nk unafakamia mapombe sijui mawine halafu utegemee kuolewa????
Mbaya zaidi ukute msichana hana kipato au anakipato cha kuunga unga halafu anatolewa out anafakamia mapombe.....huo ni ushahidi kuwa, hawezi kuwa mke na akamanage kipato....ajue ataishia kutumiwa na kuachwa!!!
Kama Kijana alikuwa na nia ya kukuoa akakutoa out ukafakamia mapombe/mawine utaona anaanza kukukwepa kwepa kwenda out na mwishowe anakupiga chini..... mwanamme anaye endekeza mwanamke mlevi ujue huyo sio muoaji....
Wanaume walioserious kuoa wakati mwingine mkiwa out hunjwa pombe ili kukupima kama na wewe utakunjwa lakini pia utakunjwa kiasi gani; utashangaa anakuambia ongeza, kumbe anakuchora.....
HAKUNA MWANAMME ANAWAZIA KUOA MWANAMKE MLEVI!!!
Nimewapa marking scheme mshindwe wenyewe kufaulu paper!!!
Tena asilimia 88% huu ndiyo ukweliUnaongea tu wewe mambo yalishabadilika mkuu siku hizi ndoa wanaolewa makahaba na walevi.....kagua mitaani uone
Picha mnavyoshirikiana kulia tafadhali.ni huzuni kwa kweli dadaangu maana ndoa utabaki kuiskia kwenye bomba ngoja tulie tu[emoji24][emoji24]
Duh nishakupoteza!kwisha habari yangu😅😅😅😅😅😅😅
usijali babaa nakunywaga mara 1 kwa mwaka na hii mwaka sinywi kabisa yaani kwa kifupi nimeacha pombe tayariDuh nishakupoteza!
😭😭😭😭😭 nalia had kamasini huzuni kwa kweli dadaangu maana ndoa utabaki kuiskia kwenye bomba ngoja tulie tu😭😭
🔨🔨🔨🔨Wanawake walevi Ni watamu Sana wakiwa michepuko[emoji4]
Komba.Nimeshayakoroga hadi hapa😔😔😔jana niliagiza Kilimanjaro kubwa sita, na nikawa nakunywa na “kifutio” alichoagiza yeye.
Basi tena ndoa 👋 bye
Vibaya hivo, sasa ndio nini kuniita komba😂Komba.
Leo walevi watajulikana 😅😅mnaota
usilie sana mkuu jikaze niko pamoja usije zimia kwa kupoteza maji mwilini pole sana mkuu usie acha nilie mm😭😭😭😭 nkupokee kijiti😭😭😭😭😭 nalia had kamasi