kama hujaolewa na unataka kuolewa jua hii inakuhusu...
Wewe tolewa out badala ya kula msosi na kunjwa juice/soda nk unafakamia mapombe sijui mawine halafu utegemee kuolewa????
Mbaya zaidi ukute msichana hana kipato au anakipato cha kuunga unga halafu anatolewa out anafakamia mapombe.....huo ni ushahidi kuwa, hawezi kuwa mke na akamanage kipato....ajue ataishia kutumiwa na kuachwa!!!
Kama Kijana alikuwa na nia ya kukuoa akakutoa out ukafakamia mapombe/mawine utaona anaanza kukukwepa kwepa kwenda out na mwishowe anakupiga chini..... mwanamme anaye endekeza mwanamke mlevi ujue huyo sio muoaji....
Wanaume walioserious kuoa wakati mwingine mkiwa out hunjwa pombe ili kukupima kama na wewe utakunjwa lakini pia utakunjwa kiasi gani; utashangaa anakuambia ongeza, kumbe anakuchora.....
HAKUNA MWANAMME ANAWAZIA KUOA MWANAMKE MLEVI!!!
Nimewapa marking scheme mshindwe wenyewe kufaulu paper!!!