Hakuna mwanamme anawazia kuoa mwanamke mlevi!

Nimeshayakoroga hadi hapa😔😔😔jana niliagiza Kilimanjaro kubwa sita, na nikawa nakunywa na “kifutio” alichoagiza yeye.
Basi tena ndoa 👋 bye
Maji makubwa ya baridi na glass. Ila mwanamke mlevi aiseee anafaa kwa mtoko tu
 
Iyo ni kweli kabisa wanawake wachache sana wanakunywa pombe katika wanawake kumi basi wawili au watatu ndio wanakunywa mwanamke akiwa mlevi ni aibu na wengi wao ni rahisi kupelekewa moto
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna jamaa alimpata mke wake bar , demu alikuwa bamedi , wana miaka saba sasa na watoto wawili. Baba anakunywa mama ndio usiseme
 
Mkuu kuna jamaa alimpata mke wake bar , demu alikuwa bamedi , wana miaka saba sasa na watoto wawili. Baba anakunywa mama ndio usiseme

Kwani umeambiwa Barmedi ni mlevi? Yule yupo kazini
Jaribu kutofautisha kazi ya mtu na tabia/matendo ya mtu
By the way; ukiona mlevi ameendesha gari akafika nyumbani salama; hiyo haimaanishi kuendesha gari ukiwa umelewa ni salama!
 
Kwani umeambiwa Barmedi ni mlevi? Yule yupo kazini
Jaribu kutofautisha kazi ya mtu na tabia/matendo ya mtu
Nafikiri ujaona hapo baba anakunywa mama ndio usiseme.
Soma taratibu mwaka wa saba huu na wakiwa wanarudi usiku unasikia wanaongea ila wakiingia ndani kimya.
 
Nimeshayakoroga hadi hapa😔😔😔jana niliagiza Kilimanjaro kubwa sita, na nikawa nakunywa na “kifutio” alichoagiza yeye.
Basi tena ndoa 👋 bye
Pombe Zina utamu/raha gani? Nshawahi onja many years back, Jinsi zilivyo chungu duuh Hannah Amehlo
 
Mwanamke.mlevi raha sana, akishalewa tu wewe unaendelea kokote.
 
Wewe ni kabila gani unayeshindwa kuandika ama kutamka kitenzi "kunywa"?

Umelirudia karibia mara5, ambapo hauwezi sema ni typing errors, ni matamshi yako!

"Kunjwa", "kunjwa", kwanza nilidhani unaandika matusi ya vijana!
 
We kunywa jiachie usisikilize hizi thread za JF ukiona mtu anaaanza kupangia watu maisha wajibane bane ujue hana maisha na ni mvivu wa kutafuta. Na Mwanaume mwenye akili anachagua mwanamke anaendana nae. Binadamu tumeumbwa tofauti.
ungekuwa sio mvivu wakutafuta ungekuwa maarufu zaidi ya Dangote, Bill Gate au kwa level yako tuseme Diamond wote walio na kuacha, haijalishi waliacha kwa sababu ya ulevi ila kwa asilimia zote kilichowafanya wawaache hao wapenzi wao ni kile ambacho mwanamke mlevi anaona ni kawaida we danganywa na vimaokoto vya hapa na pale ila utakuja kukumbuka shuka kumekucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…