Hakuna mwanasiasa/Rais aliweza kupambana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na akashinda!

Hajui kuwa Papa aliomba msamaha kwa katoliki kuhusika na Utumwa eti walimaliza utumwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Mkuu, nani alikuambia CCM ni mama au Baba yangu?

Kama CCM na viongozi wake wanakengeuka lazima nipambane nao ili kulinda maslahi ya taifa.

Kuna ahadi namba 8 ya mwana CCM ndani ya katiba ya CCM inasema; "Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko"
Safi sana
 
Ila tunamsahau huyu aliyevujisha Mkataba huu naye amechangia watu kuwa wagumu hawataki kusikiliza ukweli halisi wanachoaminishwa.
 
Mkuu, hii dhana ya kuwalaumu "washauri" wa Rais mnaitoa wapi? Kwa hiyo huyu Rais hatumii uwezo wake katika kupambanua mambo?

Nimeitoa kwa wale walio anzisha utaratibu wa Rais kuwa na washauri tena wanao lipwa. Juzi kati waliapishwa wengine wa kuongezea nguvu.
Kwani kuna mshauri/msaidizi yeyote ambaye ametoka hadharani na kusema alimshauri Rais vingine akapuuzwa. Tunachona ni washauri/wasaidizi wakizunguka nchi mzima kutetea vipengele vyenye ukakakasi. Tunajua si lazima Rais kuchukua ushauri anao pewa ana hiari ya kuzingatia ama kupuuza. Hamna sheria inayo mlazimisha, tuombe katiba mpya iwe na hiko kifungu, labda.
 
Mkuu, Nikiichambua hoja yako naona ina mapungufu makubwa kihoja.

Ni lini TEC walimuomba msamaha Rais Mkapa?

kwani Pengo alikuwa ndie TEC? Mimi ninavyojua Pengo alikuwa ni mjumbe mmoja kati ya wajunbe zaidi ya 30 wanaounda TEC.

"Kunyoshwa" kwa Pengo sio kunyoshwa kwa TEC.
 
Kuna ahadi namba 8 ya mwana CCM ndani ya katiba ya CCM inasema; "Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko"
Lkn mkuu hii ahadi hai apply mpaka kwa mwenyekiti!! Maan lipo dhahiri mpaka bungeni, jambo la mwenyekiti lazima lipitishwe!!👇👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221205-182804.jpg
    103.8 KB · Views: 1
  • IMG_20230611_143314.jpg
    35.5 KB · Views: 1
kutoka ndani ya korido za vatican

1 . dubai wakipewa bandari mfumo wa udini utakua kwa kasi na kuleta mpasuko mkubwa
2. kuna agenda ya siri nyuma ya bandari kwamba wakishaingia rasmi.. taratibu watahakikisha mfumo wa utawala na uongizi nchini unatoka dini ya kiislam...
3. vikundi vya kigaidi vitaibuka na upitishwaji wa silaha kiholela utaongezeka kwa kasi kubwa na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe(watanzania) yataibuka
4.mfumo wa ajira utakuwa wa dini moja ya kislam na kuwacha wakristo kwa idadi kubwa bila ajira
5. umasikini utaongezeka kwa kasi kubwa maana bandari zote na maeneo mengi ya nchi kavu yatakuwa mikononi mwa waarabu na wazawa watapewa mashart magumu sana hata kufika maeneo hayo.
6. watahakikisha bara inaingia kwenye machafuko na hapo zanzibata itavunja muungano..ikumbukwe bandari za zanzibar hazimo kwenye mkataba.


'' the vatican intelligence and its fields of resources are second to none''
 
Nimeuliza nani ana nguvu!?..acha kujibu usivyoulizwa
Mwenye nguvu ni yule ajuaye siri za waumini wake wanapokuwa wanatubu na kuungama kisha kuwarekodi na kuwafanya watumwa milele mtu akishajua siri zako wewe ni mtumwa tuu ndiyo maana unaona wakatoliki wanahaha wakishuritishwa
 
Kama hujui kuwa TEC inaongoza watu na serikali ni watu hao hao ambao wanaongozwa na TEC, basi huwezi pia kujua nguvu ya TEC ndani ya serikali inayotokana na watu ambao wanaongozwa na TEC!
Nguvu yao ni kiini macho tuu kwa kuwa wengi wa watumishi wao serikalini walisha fanyiwa vitendo vya udhalilishaji pindi wakiwa mafundisho ikiwamo kuingiliwa kinyume na maumbile watoto wadogo sasa hivi wekuwa wakubwa unategemea nini
 
Uzushi tuu
 

Mkuu usitishe wetuna scarecrow
 
Na kweli mwizi mzoefu hawezi kushindana na anaejifunza ila anapata experience kwa wazoefu nae

Nchi inaliwa hakuna wa kumuamini kila mmoja apambane na hali yake tu
Kuna mbinu zaidi ya milioni za kutafuta hela na madili na wengi wanajifichia humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…