Hakuna mwanasiasa/Rais aliweza kupambana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na akashinda!

Mkuu unaweza nipa link nikayaone hayo maombi?
 
Punguza hasira na siku zote TEC hawajawahi kuishinikiza au kuitaka serikali juu ya mambo yasiyokua ya manufaa kitaifa in favor ya mambo ya kanisa. Siku zote wamekua wakiadress national issues. na hata katika waraka wao hakuna jambo lolote au statement yoyote iwe kwa uficho au kwa uwazi imejielekeza kwenye maslahi au mahitaji ya kanisa.
 

Mkuu, ninachokiona katika hoja zako ni personal incredulity fallacy!

Yaani kwa fikra zako unadhani TEC kwa historia yake nchini wanaweza kupambania suala ambalo halina maslahi kwa taifa?

Nadhani wewe ndiye unayedhani hoja za TEC niza kidini.
 
Hao jamaa wana siri zenu kibao na huwa mnarekodiwa pale mnapo ungama kwaiyo wale pedophiles kwa akili zako wako juu ya serikali na waislamu wote na walutheri
 
Nashauri TEC ndio liwe Bunge letu.
Maana wanaiwezo wa kusoma na kuitahadharisha Serikali mambo ya msingi kama mikataba ya Kimangungo.
Nawashangaa sana wanaoipinga TEC.
TEC imeishauri vizuri Serikali dhidi ya Hila Za Waarabu na Vibaraka wao wa humu nchini wanao waona Waarabu kama Miungu yao.
Huku Bunge likipiga makofi pwa pwa pwa na kushangilia bila hata ya kuusoma na kuuelewa huo Mkataba.

TEC ndio liwe Bunge letu.
Hao wabunge waache wakutane Dodoma na kula ruzuku ya Serikali maana ndicho wanancho kipigania.
Ikiwezekana libinafsishwe kwa DP World.
 
hapo vipi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.
 
Kwani ni uongo nyie hamuendi kutubu na kuomba binadamu mwenzako akusamehe dhambi 😁
Yakobo 5:16 Kwa hiyo ungamianeni dhambi zenu ninyi kwa ninyi na kuombeana ili mpate kuponywa. Maombi ya mwenye haki yana nguvu tena yanafaa sana.
Matayo 18:18 Kwa hiyo ungamianeni dhambi zenu ninyi kwa ninyi na kuombeana ili mpate kuponywa. Maombi ya mwenye haki yana nguvu tena yanafaa sana.

ndio maana ya falsafa elimu ya elimu zote na ndo mana ya theology elimu ya dini sio kukariri hata usivyovijua/
 
Mithali 26: 4-12: Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake. Apelekaye ujumbe kwa mkono wa mpumbavu Hujikata miguu, na kunywa hasara.
Mmedanganywa na kukuzwa na Nyerere wapumbavu hamna mnalojua...Kama sio Nyerere msingkuwa na sauti .
 
Mkuu kwanza karibu,
Ni kitambo sana kukuona humu,mara ya mwisho ni GE 2020 ambapo wewe ulikuwa ni timu JPM miye timu ENL

Tulitofautiana Kwa mengi,ila Leo tunaongea lugha moja

Mkuu, shukrani sana!

Kutofautiana kimsimamo sio jambo baya kama halileti chuki binafsi.

Kukubali kutokubaliana ni moja ya msingi wa nafsi kwa binadamu.

Tuko pamoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…