Hakuna mwanasiasa/Rais aliweza kupambana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na akashinda!

Naona mmeamua kijifuchia nyuma ya TEC baada ya mihrmko yenu kibuma na wananchi kuwapuuza
 
Jifunze hta kuandika 🤣🤣...Mimi sili rushwa wala kulewa ni haramu kwangu kabisa..

Nataenda haki na sio kuwa mjinga wa kupelekwa na tamaa za kidunia ,naheshimu mawazo ya kila mtu bila kuleta vitisho kama kikund chenu cha ngoma hicho .
 
Kwani kunamtu anapambana nawo wao wametoa waraka wao nahakuna aliowazuia kuusoma na serekali itaendelea nautaratibu wake wakuliongoza taifa nakutupa maendeleo ilihao tec wapewe posho zao kamakawaida
 
Kwani kunamtu anapambana nawo wao wametoa waraka wao nahakuna aliowazuia kuusoma na serekali itaendelea nautaratibu wake wakuliongoza taifa nakutupa maendeleo ilihao tec wapewe posho zao kamakawaida
Ewaaaaaaa
 
ni aibu sana mtu mzima kuwa brainwashed kwa kupewa elimu ya kiwango cha juu ili uje uishi kama agent wa kikundi cha mamafia kilochoamua kutengeneza mfumo wa giza kwa manufaa ya mabwanyenye na kuendelea kuzikoloni jamii zisizojielewa hasa za Africa.
 
Ninakubaliana na wewe unayo yasema kwa sababu CCM ipo chini ya Kanisa. Ingawa Baba wa Taifa aliwahi kusema kuwa Serikali ya Tanzania haina dini lakini maneno yake yalikuwa ni maneno ya kisiasa aka usanii wa wana siasa. Hakuna mtu asiyejuwa kuwa Serikali ya CCM ipo chini ya Vatikan . Vatikan aka kanisa litakapo amuwa kuiambia Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania haitoweza kupinga kitu.Tunadanganywa na Wana Siasa wakisema eti Serikali haina dini ni uongo wa hali ya juu CCM ipo chini ya amri ya kanisa.
 
Mleta mada unasumbuliwa na sonona. Kwa hiyo TEC ndo wanaanzisha ugomvi na Serikali siku hizi?

Mkuu, kwani wewe ni daktari wangu unayejua magonjwa yangu?

Masuala ya magonjwa yangu mwachie daktari wangu!

Jikite kwenye hoja.

Kwani TEC ndio waliosaini mkataba na DP World ili kuanzisha ugomvi na serikali?

TEC wanachofanya kwenye sakata la DP World ni kusimamia maslahi mapana ya taifa.
 
Serikali haziwezi kutishiwa nyau na taasisi yoyote Ile, nakuhakikishia DP world must come na hao Tec wataishia kubweka tu kama mbwa wa majararani na hakuna watakachofanya.

Punguza maneno ya Vijana.
Wananchi ndy wenye Nchi na Govt inawajibika kwao, muhimu kulikumbuka hilo.
 
Mbona unahama mada,kwenye post yako unasema Magufuli alipingana na TEC kwenye kuvaa barakoa na akashindwa.
nikakujibu Magufuli hakupinga barakoa ila alitoa tahadhari ya barakoa zinazotoka nje.

nikasema ni kumchafua Magufuli kwamba alipingana na TEC wakati si kweli,Magufuli hakuwai kupingana na taasisi yeyote ya dini hata waraka wa TEC wa kupingana na Magufuli kuhusu Covid haupo ni uzushi wako tu wa kusema alishindana na TEC na akashindwa.
 
Waraka wa TEC ni wa Moto. Naamini serikaki ina intelijensia ya kutosha watakuwa wameshauonsa huu moto.


Huku mtaani hakuna anayehitaji DPW isipokuwa wajinga wachache na waliomo.humu JF...

Kuna watu wazito wanatukana saana hii Dpw ila kwa heshima zao wanassmea chinichini

Maaskofu wapongezwa sana na kila mtu
 
Wewe ndiyo muongo. TEC Walimtandika Magufuli nyaraka mbili .
1. Utawala bora
2. Wakatoa msimamo wa kanisa kuhusu corona tukaacha kupeana mikono makanisani.

Juzi juzi ndo wameruhusu tena kupitia raisi wao wa TEC
 
Sema mkuu, ni kweli TEC wana nguvu ila kwa TZ yetu hakuna taasisi yenye nguvu kuzidi raisi wa nchi,
Hao DP world watakuja tu, hata iweje, na hakuna kitu tutafanya

Kusema Rais ana nguvu kwa sasa kuliko taasisi nyingine nchini ni kujenga dhana ambayo ukiichunguza haina ukweli ndani yake.

Hata kwa katiba hii Rais hana nguvu zaidi ya taasisi zingine bali wananchi ndio wanamfanya Rais aonekane kama ana nguvu ambazo hana.
 
Sudan,Libya,Afghanistan,Misri,Tunisia,Somalia,Ethiopia,Djibouti,Kuwait,Iran,Pakistan,Urusi,Ukraine,Mali,Gabon,Niger,Burkina faso na Nigeria ni Wakatoliki hufadhili machafuko?
Ukifatilia vizuri Kuna mkono wao kwa nyuma
 
Kwa kweli sisi wananchi tunawashukuru sana TEC. Wametuonyesha jinsi walivyosimama na sisi wanyonge. Wametufurahisha na kutupa matumaini sana.
 
Wao ndio wanachochea na kufadhili vikundi vya kigaidi
 
machafuko kote duniani wanaleta magaidi kama hao dp world mnafosi kuwapa mali zetu milele.Hapo bandarini watapitisha silaha,unga nk.
hakuna maendeleo yoyote watakayoleta i.e Djibouti
Umelishwa ukashiba propaganda...Sasa ni kuzitema tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…