Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye

Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye

Nnaona idadi kubwa ya wanaume wagonjwa wanajitutumua kua mtoa mada kakosea. Ukiona mwanaume unatosheka na mwanamke mmoja jua we ni mgonjwa tu, ni dhaifu na usipochukua hatua utawahangaisha ndugu zako kufunga turubai, mwanaume shababi hatosheki na mke mmoja na we mwanamke unaejitambua mumeo akikwambia uko peke yako, kunja ngumi jipige kifuani mwambie mumeo Asante kwa kunidanganya
 
Nani kakuambia kwamba ukioa mke mmoja hupati thawabu ?

Ukioa mke mmoja unapata thawabu,anayeoa wake wengi anazidi kupata thawabu kama ambavyo ukifunga siku moja una thawabu lakini ukifunga siku nyingi na thawabu zinazidi.

Kwa hiyo unatakiwa uelewe kwamba mwenye mke mmoja naye anapata thawabu sio kwqmba hapati.

Sasa hivi ndo umeweka swala lako vizuri.

Jawabu ni kuwa hata mwenye mke mmoja thawabu(zawadi) anapata usidhani kwamba mwenye mke mmoja hapati thawabu,anapata.

Katika uislamu chukua msingi huu "UNAPOZIDI KUFANYA IBADA BASI THAWABU ZINAZIDI".

Hivyo ukifunga siku moja thawabu unapata,ukifunga siku nyingi na thawabu zinaziidi.

Nilishakujibu huko juu kwamba hayo ni maamuzi yake kutoa,lakini pia ni ibada hiyo ndio maana anatoa thawabu.
Sasa hapo nimeakulewa kwamba kumbe hata mke mmoja ukioa unapata thawabu ila ukioa wengi thawabu zinaongezeka.

Naomba tufunge mjadala kuhusu suala mathna na thawabu mkuu.
 
Sasa hapo nimeakulewa kwamba kumbe hata mke mmoja ukioa unapata thawabu ila ukioa wengi thawabu zinaongezeka.

Naomba tufunge mjadala kuhusu suala mathna na thawabu mkuu.
Sawa mkuu.

Matumaini yangu umeelewa.

Uwe na usiku mwema.
 
Una umri wa miaka mingapi?
Umeoa?
Una familia?

naomba unijibu hayo maswali kwanza kisha tuendelee isije kua nasumbuana na mvulana
Pia nikwambie tu tunatofautiana tabia, mazingira ya kazi, tunayoishi

binafsi maeneo yangu ya kazi na mazingira ninayofanyia kazi huwa nakutana na wanawake wa aina tofauti, umri nilionao na maisha niliyopitia sioni kipya kwa wanawake

hivyo mimi kupata mwanamke asilimia 90 ya sifa ninazozitaka ni jambo rahisi sana

hatufanani mkuu
Hizo ni dalili kuwa umeshachoka, sio kama zamani, ulishafanya mengi enzi zako. Hiyo ni sawa maana after 40 magonjwa kama kisukari, shinikizo kubwa la damu na degenerative disorders ndio wakati wake. Na ndio maana wazee wanachapiwa sana na vijana. Unapokuwa umechoka ni Bora pia ubaki na Mke kuukuu pia ambaye nae ameshafanya mengi na kuona mengi kwenye mapenzi. Vinginevyo Kaa mkao wa kuchapiwa.
 
Daa nimekumbuka mbali sana. Mwaka 2014 niliwahi kumtokea mwanamke mmoja nikawa namkula. Akawa ananiambia hataki asikie Mimi nuna mwanamke mwingine zaidi ya mke wangu ataniacha na akasisitiza kuwa kilicho mtoa kwa mme wake NI baada ya bwana huyo kuoa mke wa pili. Hapo ndipo nilipojua ujinga wa wanawake.
 
Sasa amegeuka kuwa mkimbizi wa mapenzi na mwizi wa mume wa mtu wakati alikuwa na mumewe mwenyewe wa uhakika.

Hiki ndicho wasichokijua wanawake wengi kuwa mume akitoka na Mke mwingine hamaanishi kuwa wewe basi, Ila amekwenda TU kujaribu ladha nyingine ya mapenzi na tabia, na huenda asipate kipya huko kukuzidi wewe. Cha msingi mwanamke zidisha mapenzi, ubunifu, usafi na upendo kwa mpenzi/mumewe.

Ukikimbia ni sawa na kuwaachia nguruwe shamba la mihogo, watalitafuna kwelikweli na huko unakokimbilia utaikuta hali na mambo yaleyale maana tabia za wanaume halisi hazitofautiani sana, hata zile za wanawake pia ni zilezile wanachokita kwa mwanaume hakitofautiani sana. Ukishindwa huku utashindwa na kule.
 
Asanta uwe kwako pia, napenda kujifunza zaidi na zaidi. Ni matumaini yangu sijakukwaza kwa namna yoyote katika mjadala huu.
Kwakuwa unapenda kujifunza zaidi na zaidi wacha ni kukumbushe baadhi ya mambo kwenye mapenzi haya.

Wanawake hawataki mambo mengi sana kutoka kwa mwanaume, wanachopenda wao kwako kikubwa ni kukojoleshwa (satisfaction) kwenye mapenzi, kujaliwa/kupendwa, kusaidiwa na kusikilizwa TU basi. Hata kama unatoka wapi na Nani kufanya nini lakini hakikisha kuwa ukirudi una zawadi yake hata kama ni soseji moja, kula chakula chake na tembea nae/sex.

Mambo yafuatayo yanaweza kusababisha uwe mpole kwenye tendo LA ndoa.
1. Njaa, chakula Cha mapenzi ni ugali, mihogo, ngano, viazi vikuu/yams, viazi vitam, Michele, nyama ya kutosha, matunda, maji Safi ya kunywa na mazoezi. Unaweza kutumia red wine kidogo nusu glass baada ya kula.
2. Uchovu mwingi
3. Usingizi, kuwa na usingizi
4. Kuwa na mawazo, msongo wa mawazo.
5. Maumivu sehemu yoyote ya mwili, maumivu tumboni na maumivu kwenye korodani.
6. Ugonjwa: upungufu wa damu mwilini, upungufu wa maji mwilini, homa, kisukari, pressure, Figo, hernia, kikohozi, kubanwa njia ya hewa kama pumu, flu.
7. Matumizi ya dawa fulanifulani kama za kisukari, pressure, zinazoleta usingizi.
8. Matumizi ya vilevi kama sigara/tumbaku, pombe nyingi, na dawa za kulevya na vinywaji vyenye caffeine nyingi sana kama kahawa, energy drinks.
9. Hormone imbalance hasa homoni za kiume (androgens).
10. Unene kupita kiasi. Kitambi ni adui mkubwa wa mapenzi.

Mambo haya ukiwa nayo hakika Mke mmoja anakutosha, hata huyo mmoja pia humuwezi ni hiyo basi unapata pahala pa kupikiwa chakula.

Mwanamke hapendi hela zako ili asitoke nje ya ndoa anataka dudu lako limkune akunike. Wewe ukimfanya pole pole kwa huruma atawatafuta wale wanaomchubua kisawasawa bila huruma, wanaomkunja na kumuingiza hata korodani ndani. Akirudi kwako anakuona kama mtoto mdongo usiyejuwa kitu.
 
UNAWEZA KUSEX NA WANAWAKE WENGI LAKIN UKAWA NA MWANAMKE MMOJA! siku zote huwa naheshim nature kwa kutofautisha kuwa na mwanamke na kufanya ngono. kuna hadi ngono bila emotion like a two people tennis game!
(recall movie ya friends with benefit).
wanawake hawalielew hili kwa sabab ngono yao lazima kuwe na emotion. lakin mwanaume anayejitambua hujikita zaid kwenye kuhakikisha anangonoka bila kudhuru mapenz yalipolalia. yan mwenzie si tu asijue bali hata ASIHISI!
nawashaur wanawake msijikite kuujua ukweli kuhusu mwenzio bali jikite kuona unapata unachostahili.
 
Hizo ni dalili kuwa umeshachoka, sio kama zamani, ulishafanya mengi enzi zako. Hiyo ni sawa maana after 40 magonjwa kama kisukari, shinikizo kubwa la damu na degenerative disorders ndio wakati wake. Na ndio maana wazee wanachapiwa sana na vijana. Unapokuwa umechoka ni Bora pia ubaki na Mke kuukuu pia ambaye nae ameshafanya mengi na kuona mengi kwenye mapenzi. Vinginevyo Kaa mkao wa kuchapiwa.
Mkuu nimeanza mapenzi 1998, nimeshavuruga sana, mpaka sasa nimeona basi inatosha kilichobaki ni kutulia na mke mmoja

na bado naperfom vizuri shemeji/wifi yako ananielewa vibaya sana

halafu kwenye miaka 40 bado sana ila tayari nina watoto wawili
Nilioa nikaacha sa hv nataka kuoa tena ila kibingwa lakini (sitaki kuchangisha mtu)

mi mwenyewe nilikua nasema hivyo hivyo ila ukishapitia mengi utaona hakuna jipya
 
Ni kweli. Na Kuna wanawake(wachache) wana mume zaidi ya mmoja baba usijidanganye.
Ni kweli wanawake kwenye hili nawatetea sio wachepukaji kama wanaume. Ila sasa ikibainika mwanamke ana wanaume 2 hiyo vita yake ni kubwa tofauti na mwanaume ikibainika ana wanawake wengi.

Ni nature, ilishaumbwa hivyo.
 
Kuna mwenzenu kachomwa moto
 
Kuna mwenzenu kachomwa moto
Ni mpuuzi mmoja tu aliemuua mwenzie, hakua na uelewa tu, jogoo anakuwaje na tetea mmoja tu.
Ni nature hii hatupendi ila ndo ivo ishakua mtuchome moto tu 😁😁
 
Ni mpuuzi mmoja tu aliemuua mwenzie, hakua na uelewa tu, jogoo anakuwaje na tetea mmoja tu.
Ni nature hii hatupendi ila ndo ivo ishakua mtuchome moto tu 😁😁
Ndo hivyo keshachomwa na wengine watachomwa hata Kama sio wengi, hao wachache wanatosha
 
Ndo hivyo keshachomwa na wengine watachomwa hata Kama sio wengi, hao wachache wanatosha
Ni njia tu za kukifikia kifo, waume huua wake kwa wivu, vivyo hivyo wake huuwa waume.
Ndio dunia hiyo lakini kamwe nature haiwezi kupotea toka enzi na enzi, mwanaume takua na wanawake wengi na mwanamke atakua na mume mmoja, ye uwezo wa kua nao wengi hana.
 
Ha haaa eti uwezo hana. Sawa baba
 
Back
Top Bottom