Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye

Haijalishi kuwa wewe ni dini gani, kabila gani, una kazi gani na cheo gani hapa duniani, mfumo wa uzazi wa mwanaume unafanana Na mifumo ya uzazi ya wanaume wengine wa viumbe vingine, hasa wale wenye uti wa mgongo (vertebrate) Na wanaonyonyesha (mamalia).

Viumbe walioko kwenye kundi hili wanaume wanakuwa wachache kuliko wanawake kwa sababu mbalimbali za kabla ya kuzaliwa, wakati wa kuzaliwa na baada ya kuzaliwa. Hivyo wanaume wamepewa uwezo mkubwa wa kutamani Na Kumudu kutembea Na kuzaa Na wanawake wengi kwa wakati mmoja.

Kama mfugaji anavyohitaji majogoo, mabeberu, madume wachache kwa majike wengi bandani au zizini ndivyo hivyohivyo unavyohitaji mwanaume mmoja kwa wanawake zaidi ya mmoja, na hiki kinafanyika utake usitake, ujue usijue, uambiwe au usiambiwe.

Kiuhalisia wanyama wote akiwemo binadamu wana wivu mkubwa, hawapendi kuchanganywa, lakini kama kila mume angebaki na Mke mmoja yafuatayo yangetokea kwenye jamii:

1. Wanawake wengi wasingepata mabwana, wangebaki bikra.

2. Hasira na chuki kwenye jamii ingekuwa kubwa.

3. Sonona, depression ingekuwa kubwa. Kukosa bwana kunachanganya.

4. Population, idadi ya watu ingepungua. Wanawake wengi wasingezaa kwa kukosa mbegu.

5. Idadi ya watu wanaozaliwa na hitilafu ingekuwa kubwa sana. Wanawake wangetembea na mwanaume yeyote hata mwenye hitilafu kubwa za kurithi. No choice.

6. Wanawake wangebweteka sana hadi kuwa wachafu, wavivu, na wajeuri kupindukia.

7. Wanawake wangeuana wenyewe kwa wenyewe ili wapate nafasi itakayoachwa wazi.

Asitokee mwanamke atakaejigamba kuwa yuko peke yake, hata wanaume pia kwa kiasi Fulani.

Kinachotofautiana ni idadi ya wanawake alionao mwanaume na kiwango cha kujificha, usiri mkewe au mumewe alichokuwa nacho.

Jamii ihalalishe ndoa za wake wengi ili iwe huru badala ya kuendesha mambo kwa kificho.

Msemakweli ni mpenzi wa Mungu, hata mimi nina Faiza na Hadija
 
Uichoki mbususu ya mkeo?
Kama wewe unadhani una afya nzuri, huna magonjwa ya kurithi, una akili nyingi na tabia nzuri inayopaswa kuenezwa sio vizuri kuzaa watoto wachache. Zaa watoto Wengi sana ili dunia ifaidike na uzao wako wenye akili, maarifa, nguvu na hekima.
 
Ata sio suala la kuzaa ni burudani moja safi saaaa
 
Baada ya kufubazwa akili zao na WA missionary wengi wanaitafuta starehe hii kwa kujibanza kwenye viambaza kujificha wasionekane. Ukweli huwezi kuishi na mwanamke mmoja TU hata kama ana harufu mbaya mdomoni. Eti ni huyohuyo hata kama hazai.
 
Baada ya kufubazwa akili zao na WA missionary wengi wanaitafuta starehe hii kwa kujibanza kwenye viambaza kujificha wasionekane. Ukweli huwezi kuishi na mwanamke mmoja TU hata kama ana harufu mbaya mdomoni.
Mwanaune wa ukweli unakuwaje na mwanamke mmoja bwana wewe. Ata mwanamke unakuwaje na mwanaume mmoja? Lazima uenjoy mbooo tofauti tofauti
 
Haijalishi kuwa wewe ni dini gani, kabila gani, una kazi gani na cheo gani hapa duniani, mfumo wa uzazi wa mwanaume unafanana Na mifumo ya uzazi ya wanaume wengine wa viumbe vingine, hasa wale wenye uti wa mgongo (vertebrate) Na wanaonyonyesha (mamalia).

Viumbe walioko kwenye kundi hili wanaume wanakuwa wachache kuliko wanawake kwa sababu mbalimbali za kabla ya kuzaliwa, wakati wa kuzaliwa na baada ya kuzaliwa. Hivyo wanaume wamepewa uwezo mkubwa wa kutamani Na Kumudu kutembea Na kuzaa Na wanawake wengi kwa wakati mmoja.

Kama mfugaji anavyohitaji majogoo, mabeberu, madume wachache kwa majike wengi bandani au zizini ndivyo hivyohivyo unavyohitaji mwanaume mmoja kwa wanawake zaidi ya mmoja, na hiki kinafanyika utake usitake, ujue usijue, uambiwe au usiambiwe.

Kiuhalisia wanyama wote akiwemo binadamu wana wivu mkubwa, hawapendi kuchanganywa, lakini kama kila mume angebaki na Mke mmoja yafuatayo yangetokea kwenye jamii:

1. Wanawake wengi wasingepata mabwana, wangebaki bikra.

2. Hasira na chuki kwenye jamii ingekuwa kubwa.

3. Sonona, depression ingekuwa kubwa. Kukosa bwana kunachanganya.

4. Population, idadi ya watu ingepungua. Wanawake wengi wasingezaa kwa kukosa mbegu.

5. Idadi ya watu wanaozaliwa na hitilafu ingekuwa kubwa sana. Wanawake wangetembea na mwanaume yeyote hata mwenye hitilafu kubwa za kurithi. No choice.

6. Wanawake wangebweteka sana hadi kuwa wachafu, wavivu, na wajeuri kupindukia.

7. Wanawake wangeuana wenyewe kwa wenyewe ili wapate nafasi itakayoachwa wazi.

Asitokee mwanamke atakaejigamba kuwa yuko peke yake, hata wanaume pia kwa kiasi Fulani.

Kinachotofautiana ni idadi ya wanawake alionao mwanaume na kiwango cha kujificha, usiri mkewe au mumewe alichokuwa nacho.

Jamii ihalalishe ndoa za wake wengi ili iwe huru badala ya kuendesha mambo kwa kificho.

Hujui unachoandika na mjumuisho wako wa kijinga.
 
Msenge hana nguvu nyingi za kiume, hatamani kuoa sembuse kuwa na wake wengi?
 
Back
Top Bottom