Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
Poa poa mkuu.Hasara ya chips mayai, mtori na kacholi hiyo,
Sasa hapo nimeakulewa kwamba kumbe hata mke mmoja ukioa unapata thawabu ila ukioa wengi thawabu zinaongezeka.Nani kakuambia kwamba ukioa mke mmoja hupati thawabu ?
Ukioa mke mmoja unapata thawabu,anayeoa wake wengi anazidi kupata thawabu kama ambavyo ukifunga siku moja una thawabu lakini ukifunga siku nyingi na thawabu zinazidi.
Kwa hiyo unatakiwa uelewe kwamba mwenye mke mmoja naye anapata thawabu sio kwqmba hapati.
Sasa hivi ndo umeweka swala lako vizuri.
Jawabu ni kuwa hata mwenye mke mmoja thawabu(zawadi) anapata usidhani kwamba mwenye mke mmoja hapati thawabu,anapata.
Katika uislamu chukua msingi huu "UNAPOZIDI KUFANYA IBADA BASI THAWABU ZINAZIDI".
Hivyo ukifunga siku moja thawabu unapata,ukifunga siku nyingi na thawabu zinaziidi.
Nilishakujibu huko juu kwamba hayo ni maamuzi yake kutoa,lakini pia ni ibada hiyo ndio maana anatoa thawabu.
Sawa mkuu.Sasa hapo nimeakulewa kwamba kumbe hata mke mmoja ukioa unapata thawabu ila ukioa wengi thawabu zinaongezeka.
Naomba tufunge mjadala kuhusu suala mathna na thawabu mkuu.
Asanta uwe kwako pia, napenda kujifunza zaidi na zaidi. Ni matumaini yangu sijakukwaza kwa namna yoyote katika mjadala huu.Sawa mkuu.
Matumaini yangu umeelewa.
Uwe na usiku mwema.
Kabisa mkuu haina noma.Asanta uwe kwako pia, napenda kujifunza zaidi na zaidi. Ni matumaini yangu sijakukwaza kwa namna yoyote katika mjadala huu.
Hizo ni dalili kuwa umeshachoka, sio kama zamani, ulishafanya mengi enzi zako. Hiyo ni sawa maana after 40 magonjwa kama kisukari, shinikizo kubwa la damu na degenerative disorders ndio wakati wake. Na ndio maana wazee wanachapiwa sana na vijana. Unapokuwa umechoka ni Bora pia ubaki na Mke kuukuu pia ambaye nae ameshafanya mengi na kuona mengi kwenye mapenzi. Vinginevyo Kaa mkao wa kuchapiwa.Una umri wa miaka mingapi?
Umeoa?
Una familia?
naomba unijibu hayo maswali kwanza kisha tuendelee isije kua nasumbuana na mvulana
Pia nikwambie tu tunatofautiana tabia, mazingira ya kazi, tunayoishi
binafsi maeneo yangu ya kazi na mazingira ninayofanyia kazi huwa nakutana na wanawake wa aina tofauti, umri nilionao na maisha niliyopitia sioni kipya kwa wanawake
hivyo mimi kupata mwanamke asilimia 90 ya sifa ninazozitaka ni jambo rahisi sana
hatufanani mkuu
Sasa amegeuka kuwa mkimbizi wa mapenzi na mwizi wa mume wa mtu wakati alikuwa na mumewe mwenyewe wa uhakika.Daa nimekumbuka mbali sana. Mwaka 2014 niliwahi kumtokea mwanamke mmoja nikawa namkula. Akawa ananiambia hataki asikie Mimi nuna mwanamke mwingine zaidi ya mke wangu ataniacha na akasisitiza kuwa kilicho mtoa kwa mme wake NI baada ya bwana huyo kuoa mke wa pili. Hapo ndipo nilipojua ujinga wa wanawake.
Kwakuwa unapenda kujifunza zaidi na zaidi wacha ni kukumbushe baadhi ya mambo kwenye mapenzi haya.Asanta uwe kwako pia, napenda kujifunza zaidi na zaidi. Ni matumaini yangu sijakukwaza kwa namna yoyote katika mjadala huu.
Ndio ndio mkuuπ€£π€£π€£π€£ ukila lazima ULIWE.
Mkuu nimeanza mapenzi 1998, nimeshavuruga sana, mpaka sasa nimeona basi inatosha kilichobaki ni kutulia na mke mmojaHizo ni dalili kuwa umeshachoka, sio kama zamani, ulishafanya mengi enzi zako. Hiyo ni sawa maana after 40 magonjwa kama kisukari, shinikizo kubwa la damu na degenerative disorders ndio wakati wake. Na ndio maana wazee wanachapiwa sana na vijana. Unapokuwa umechoka ni Bora pia ubaki na Mke kuukuu pia ambaye nae ameshafanya mengi na kuona mengi kwenye mapenzi. Vinginevyo Kaa mkao wa kuchapiwa.
Ni kweli wanawake kwenye hili nawatetea sio wachepukaji kama wanaume. Ila sasa ikibainika mwanamke ana wanaume 2 hiyo vita yake ni kubwa tofauti na mwanaume ikibainika ana wanawake wengi.Ni kweli. Na Kuna wanawake(wachache) wana mume zaidi ya mmoja baba usijidanganye.
Kuna mwenzenu kachomwa motoNi kweli wanawake kwenye hili nawatetea sio wachepukaji kama wanaume. Ila sasa ikibainika mwanamke ana wanaume 2 hiyo vita yake ni kubwa tofauti na mwanaume ikibainika ana wanawake wengi.
Ni nature, ilishaumbwa hivyo.
Ni mpuuzi mmoja tu aliemuua mwenzie, hakua na uelewa tu, jogoo anakuwaje na tetea mmoja tu.Kuna mwenzenu kachomwa moto
Ndo hivyo keshachomwa na wengine watachomwa hata Kama sio wengi, hao wachache wanatoshaNi mpuuzi mmoja tu aliemuua mwenzie, hakua na uelewa tu, jogoo anakuwaje na tetea mmoja tu.
Ni nature hii hatupendi ila ndo ivo ishakua mtuchome moto tu ππ
Ni njia tu za kukifikia kifo, waume huua wake kwa wivu, vivyo hivyo wake huuwa waume.Ndo hivyo keshachomwa na wengine watachomwa hata Kama sio wengi, hao wachache wanatosha
Ha haaa eti uwezo hana. Sawa babaNi njia tu za kukifikia kifo, waume huua wake kwa wivu, vivyo hivyo wake huuwa waume.
Ndio dunia hiyo lakini kamwe nature haiwezi kupotea toka enzi na enzi, mwanaume takua na wanawake wengi na mwanamke atakua na mume mmoja, ye uwezo wa kua nao wengi hana.