Hakuna mwenye akili timamu atakayemuamini Mbowe na Chadema kuchangia hela? Kwanini hazindui ujenzi Arusha au Moshi?

Status
Not open for further replies.
Yaani Mbowe ni mtu wa kumchukulia serious kweli? Yeye anajionaga jabali lakini ni kisisimizi fulani hivi kichwani. Waliokuwa wanamsaidia washakaa pembeni sasa qnachoongea siku hizi ndo akili yake halisi.
Hata BAVICHA hawawezi kumsafisha tena wamebaki wapambe nuksi wake tu ambao hata akinya wanaweza kula kinyesi chake.
 
Hivi Mbowe kaandika barua kuonana na president hivi ana hoja kweli ya maana ya kuongelea Mimi sidhani anataka tu kumpotezea muda wa kazi. Dishi la Mbowe limeyumba. Ndo maana kina Mdee wamekimbia. Wale wamama wako smart sana washanuona poyoyo ndo maana wakakataa kuburuzwa kipopoma. Sasa utashangaa midume mizima inaburuzwa kindezi kabisa.
 
History ni muhimu sana kwa tuendako. Usimfundishe namna ya kupeleka sisa mbele, wewe usimseme Jwe,wach wanaomsema wana sababu zao, wewe huna sababu, msifie
 
sema wewe hutachanga, wengine mbona tumechanga sana tena sana
 
Mataga wafu mmeona mama kawatosa sasa mnatengeneza snema la kiki kupitia mbowe mmefeli.

Naona kuna vinyuzi vimeibuka ghafla juu ya mbowe tunajua mbowe ni giant kisiasa hivyo kumgusa kwenu ni mtaji kisiasa.

MMEFELI
Mataga wanatafuta pa kutokea lkn mama kaamua kuwatosa mazima mazima
 
Ila kiukweli Mh. Mbowe aachane na Siasa za kufoka foka( rapp politics) awaachie akina Roma yeye ajikite zaid katika hoja za nini atafanya ili wananchi tumuunge mkono.
 
Babayako Jiwe kilichokuwa kinampa presha kupanda kikubwa ni Mbowe alijitahidi kummaliza mpaka kufuata kitovu chake alipozaliwa hola aliikosa katngulia mwenyewe
 
Na kakikundi ka watu wasiozidi watano wenye multiple ID za kutosha ndio wanasumbua
Uzuri tushawagundua kwa upande wangu nikikutana nao ni kuwatwanga spana bila huruma.

Ni kheri nibakie na marafiki wachache lkn wenye nia njema kuliko kuwa na marafiki wanafiki kama MATAGA.
 
Kwanza ninaamini Hana ushahidi wa anachokisema,

Pili, amekuwa na siasa za chuki na kichochezi zisizovumilka kwa kila mtanzania mwenye akili timamu na mwenye kupenda amani na utulivu...
Wa kupuuzwa sasa huyu mpuuzi
 
Na kakikundi ka watu wasiozidi watano wenye multiple ID za kutosha ndio wanasumbua

Ishu sio mtoa hoja bali ni hoja iliyoibuliwa kutokana na matamshi ya kibaguzi ya Mbowe

Ni Mwenyekt wetu wa Chadema, yes, ni nguli wa siasa lakn matamshi yake kusema eti Wachaga walikuwa hawaajiriwi ktk utawala wa Magufuli ni maneno ambayo sikutegemea yatoke ktk kinywa cha mtu kama Mbowe

Inamaana Chadema ni chama cha kutetea kabila la Wachaga?

Kwamba toka 2015 kazi kuu ya Mbowe ni kuhesabu wachaga wangapi wameajiriwa/kuteuliwa au kutenguliwa Serikalini!???

Hivi ni viashiria vya kuonesha kuwa kumbe ajenda ya SIRI ya Chadema ni kutetea maslahi ya kabila la Wachaga na ndio maana hata muanzilishi wa Chama Bw Edwin Mtei akaamua kumrithisha mkwe wake bw Mbowe uenyekiti

Kwamba zile tuhuma zilizokuwa zikizagaa miaka ile kwamba Chadema imejaa ukabila ni za kweli,, kupeana vyeo na nyadhifa hasa za ubunge viti maalum kindugu, kishemeji, na kikabila zilikuwa na ukweli

Sisi wengne wa makabila kama Wakinga, Wahaya, Wanyaturu, wanyakyusa, wadigo etc tulioamua kuiunga mkono Chadema je tutafute na sisi vyama vyetu vya siasa kufatilia watu wa makabila yetu wangapi wameajiriwa au kutenguliwa Serikalini!????

Tutafika kweli kwa mtindo huu?

Inasikitisha sana hii kauli ya Mbowe, sana sana

Na si ajabu hata wewe Mshana Jr unaitetea kauli hii kwakuwa Mbowe ni wa kabila/Jamii yako
 
Kamanda ndio maana nimesema hakuna mwenye akili timamu atachanga
Mtu mwenye akili timamu hawezi kujiunga na CCM -wauaji, watekaji, wabambikia kesi, waporaji etc etc. Lkini wewe kwa vile huna akili ni member wa CCM
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…