Hakuna nadharia yoyote ya Kisayansi inayoelezea kikamilifu chanzo cha ulimwengu

Ni chanzo kipi kilichofanikiwa kutoa majibu ya hayo maswali ambayo sayansi imeshindwa?
 

Yeah ni kweli udhaifu wa theories hizo hauthibitishi uwepo uwepo wa Mungu, kwasababu hata kabla hazijatungwa watu walikuwa wakiamini katika Mungu.

Swali la msingi, ni yapi maelezo ya sayansi juu ya kuumbwa Kwa Ulimwengu? Je sayansi haina majibu juu ya chanzo cha Ulimwengu?
 
Dunia Haina mwanzo wala mwisho.

Hakuna kitu kinachoweza kuwepo from nothing...

Ukisema Dunia ina chanzo lazima ueleze na uthibitishe chanzo hicho cha Dunia kilitokea wapi?

Na huko chanzo cha dunia kilipokuwa, kulitoka wapi?
 
Dunia Haina mwanzo wala mwisho.

Hakuna kitu kinachoweza kuwepo from nothing...

Ukisema Dunia ina chanzo lazima ueleze na uthibitishe chanzo hicho cha Dunia kilitokea wapi?

Na huko chanzo cha dunia kilipokuwa, kulitoka wapi?
Hizi hoja zako umezotoa wapi, ni according to science au ni mawazo yako?

Nina mashaka kama hata unajua tofauti kati ya Dunia na Ulimwengu.
 
Kuamini katika Mungu pia hakuthibitishi uwepo wa Mungu.

Kwa nini unafikiri ulimwengu uliumbwa au ni lazima uwe na chanzo?

Unalichukulia hili kama jambo ambalo limeshapitishwa bila mgogoro wala swali, hii si kweli.

Kwa nini unafikiri ulimwengu uliumbwa na ni lazima uwe na mwanzo?

Unajuaje kwamba, tukizama katika ukweli wa ulimwengu halisi ulivyo, suala zima la mwanzo, katika jambo lolote lile, achilia mwanzo wa ulimwengu, ni suala linaloweza kutazamwa kama jambo la uhakika na si suala la tafsiri yetu tu ya ulimwengu kama tunavyouona, lakini kihalisia, si jambo lililopo kiuhakika?

In quantum physics, entanglement, what Einstein called "spooky action at a distance", as well as "quantum causal loop", remove any primacy and certainty on cause and effect.

At that level, you can end up with a cause A, which has the effect B, but also, that very event B being the cause of cause A in a "quantum causal loop".

Yani kama vile, mama yako wewe ni A aliyekuzaa wewe mtoto B, halafu wewe mtoto B pia ni mzazi wa mama yako huyo A.

A kamzaa B na B kamzaa A.

Quantum causal loop.

Hapo utasema nani chanzo?
 
Nisikilize mkuu Ahmet

Tusioamini hatutegemei hoja za sayansi tu, kuna hoja za kimantiki pia.... kutegemea hoja za kisayansi tu haiwezekani kwasababu ni ngumu sana kukariri kanuni zote za sayansi zinazopingana na dini.

Sayansi ni pana mno. Kwahiyo ni kweli kabisa unachokisema. Unavyoona kuna mambo sayansi haiwezi kueleza, pia kuna mambo dini haiwezi kueleza, ndipo tunapoegemea.

Kuthibitisha hilo nitakuuliza maswali kadhaa tu bila mpangilio, ambayo najua hutoweza kujibu moja kwa moja majibu yanayojitosheleza;

1. Kwa mujibu wa dini, kila kitu kina chanzo, chanzo cha Mungu ni nini?

2. Kwanini Mungu ana kanda, yaani anapendelea eneo flani la kijiografia, Allah ametokea uarabuni, kafika Africa kupitia waarabu. Yahweh ana historia ndefu kidogo, ila kafika Africa kupitia wazungu. Kwanini hawakujidhihirisha kabla ya hapo? Ni kama vile Miungu inatengenezwa na watu wa tamaduni flani, kipindi hakuna sayansi Miungu ilitumika kama mbadala. Je waweza bishana na hili?

3. Ni Mungu yupi ndo sahihi, kwanini? na ukijitetea kwamba ni mmoja, kwanini aweke mitazamo tofauti kuhusu yeye kwenye akili za watu?

Kila upande una maswali upande mwingine hauwezi kujibu, tunaamua kuegemea upande fulani kulingana na mapokeo yetu binafsi.
 
Hizi hoja zako umezotoa wapi, ni according to science au ni mawazo yako?
Umesha ambiwa sayansi haina majibu ya kila kitu, ila bado unataka kulazimisha sayansi ieleze chanzo cha ulimwengu.

Sayansi haija thibitisha chanzo cha ulimwengu ni kipi, Sayansi imetoa nadharia (Theories ) mbalimbali tu kujaribu kuonyesha chanzo cha ulimwengu ila Haija fanikisha kuthibitisha nadharia Hizo.
Nina mashaka kama hata unajua tofauti kati ya Dunia na Ulimwengu.
Hebu elezea tofauti ya dunia na ulimwengu.
 
Na bado nadharia zingine zitatokea kwasababu Science haina mipaka na wala haina ukamilifu bali inaendelea nakuendelea...
 
Nadharia zote za kisayansi zinazojaribu kuelezea chanzo cha ulimwengu, ni speculative [science].
Sayansi ishahoji mpaka uhalisia wa dhana nzima ya "chanzo", achilia mbali "chanzo cha ulimwengu".

Between Einstein's Relativity, which tells us time is relative (hence chanzo, which depends on time, is an illussion), and Quantum Physics, whose entanglement renders time irrelevant and whose "quantum causal loop" renders causality obsolete, the concept of "chanzo" as we know it is radically relegated to a parochial experience of our localized universe.

It is as parochial and non-fundamental as color.

 
Hahaaa!

That’s why there’s no such thing as ‘settled science’.

I regard science to be a continuum of sorts.

The more you ‘fcuk around’ with it, the more you will ‘find out’.

There’s really no meaningful development without fcuking around and finding out 😀.


View: https://x.com/rogerskaer/status/1576025818182332416?s=20

View: https://youtube.com/shorts/WntjAM2wqF8?si=nfQhALvyblMjhhXF
 
Ni kweli kabisa usemayo and that's what called speculative science.

Lakini ulishajiuliza kwanini imekuwa ngumu sana kupata jibu la chanzo cha Ulimwengu huu? Mambo mengine nadhani yanapaswa kuwa fumbo, ili salama iendelee kuwepo.

Hebu fikiria siku ambayo ikapatikana hakika ya chimbuko hilo, then wanasayansi wachache ndio wakawa wamiliki wa knowledge hiyo, unadhani dunia itaendelea kuwa salama?

Ukishajua chimbuko la jambo fulani, utashindwa kuamua hatma yake?

Siku jibu hili litakalopatikana, itakuwa ndio mwisho wa dunia hii kama tuijuavyo!
 
Nafurahi sana kuona mijadala hii inapamba moto siku za karibuni na watu wengi wanaendelea kujiuliza maswali haya. Zamani zile ilikua ni akina Kiranga na baadhi ya wachache wengine.

Mimi namsubiria Elon na Xai yake tuone kama atakuja na jibu hili la chanzo cha Ulimwengunkama alivyoahidi.
 
Arm chair thinking converted to Emperical Science
 
Kwanza inabidi ufahamu maana ya nadharia (theory)

Katika sayansi kuna theory, facts, laws, principles, etc

Theory/nadharia huwa haina ushahidi isipokuwa ni mawazo tu ya mtu au watu.
Duh you couldn't be wronger.
Hiyo ambayo Haina ushahidi inaitwa hypothesis.

Theory lazima iwe na proof
 
Ulimwengu hauna Chanzo.

Ukianza kuweka ulazima wa kila kitu kiwe na chanzo hata hicho "chanzo" lazima kiwe na chanzo chake to endless.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo chanzo maana kitavuruga muundo mzima wa ulazima wa kuwepo chanzo kwa kitu.
 
Dunia Haina chanzo.

Kama Dunia lazima iwe na chanzo, Hata hicho "chanzo" cha Dunia lazima kiwe na chanzo chake.

Pasiwepo kitu chochote kile hata hicho chanzo, kitakacho jitokeza chenyewe tu from Nothing...!!!

Maana lazima swali lije, Huko chanzo kilipotokea kulitoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…