Hakuna nadharia yoyote ya Kisayansi inayoelezea kikamilifu chanzo cha ulimwengu

Dunia Haina chanzo.

Kama Dunia lazima iwe na chanzo, Hata hicho "chanzo" cha Dunia lazima kiwe na chanzo chake.

Pasiwepo kitu chochote kile hata hicho chanzo, kitakacho jitokeza chenyewe tu from Nothing...!!!

Maana lazima swali lije, Huko chanzo kilipotokea kulitoka wapi?
Kama haina chanzo, how did it came to be?
 
Basi nyie wafia dini tufanye sayansi imeshindwa kutoa majibu ya chanzo cha dunia. Tuambieni nyie chanzo cha dunia ni kipi/ nini

Nimekaa palee
 
Kama dunia haina chanzo, imekuwaje ikawepo?
Mpaka useme Dunia imekuwaje ikawepo, Kwani kuna kipindi Dunia haikuwahi kuwepo?

Ni wakati gani Dunia haikuwepo kisha ikaja kuwepo?

Dunia ipo tu, Hakuna jinsi ilivyo kuwepo au jinsi ilivyo kuja kwenye uwepo.

Kama kuna wakati dunia haikuwepo Kisha ikaja kuwepo, Huko ilikokuwa kulitoka wapi?
 
Kama haina chanzo, how did it came to be?
Dunia haina ulazima wa kwamba ilikuja kwenye existence.

Kama kuna kipindi Dunia haikuwahi kuwepo kisha ikaja kwenye existence, Huko ilikokuwa kulitoka wapi?

Dunia ipo tu, Hakuna namna au jinsi yeyote ya Dunia ilivyokuja kuwepo.

Kama Dunia imetokea kwa namna fulani, Je hiyo "namna fulani" imetokea kwa namna gani?

Uki uliza swali kwamba, How did the earth come to be?

Na mimi Naku uliza kwamba 👇

How did the come to be of the earth come to be?
 
SIJUI. As we all DON'T KNOW, FOR NOW.
 
SIJUI. As we all DON'T KNOW, FOR NOW.
Jibu ni kwamba, Binadamu hatuwezi kujua tusicho kijua.

Ukianza kuuliza Dunia imekuwaje ikawepo?

Kwanza onyesha kwamba ni wakati gani Dunia haikuwepo?

Ukiweza kuthibitisha kwamba kuna muda fulani dunia haikuwepo, Basi hata kujua chanzo cha dunia ni kipi tungeweza kufahamu.

Dunia Haina chanzo wala mwisho.
 
Mpaka useme Dunia imekuwaje ikawepo, Kwani kuna kipindi Dunia haikuwahi kuwepo?

Dunia/ earth, inakadiriwa na wanasayansi kuwa na umri wa miaka bilioni 4.5.

Hivyo, tukienda na makadirio hayo, tunaweza kusema dunia haikuwepo miaka bilioni 5 iliyopita.
Ni wakati gani Dunia haikuwepo kisha ikaja kuwepo?
Nimekutajia hapo juu kulingana na makadirio ya kisayansi yaliyopo sasa.
ipo tu, Hakuna jinsi ilivyo kuwepo au jinsi ilivyo kuja kwenye uwepo.
Hapa naona unaropoka tu. Dunia ipo tu kwa mujibu wa nini/nani/kivipi?
Kama kuna wakati dunia haikuwepo Kisha ikaja kuwepo, Huko ilikokuwa kulitoka wapi?
Sijui.
 
Dunia/ earth, inakadiriwa na wanasayansi kuwa na umri wa miaka bilioni 4.5.
Ni makadirio tu ya kibinadamu hayana uthibitisho wowote kuwa kweli.
Hivyo, tukienda na makadirio hayo, tunaweza kusema dunia haikuwepo miaka bilioni 5 iliyopita.
Kama Dunia haikuwepo, ilikuwa wapi?

Na huko ilikokuwa kulitoka wapi?

Uthibitisho upi una onesha Dunia haikuwepo miaka bilioni 5 iliyopita?
Nimekutajia hapo juu kulingana na makadirio ya kisayansi yaliyopo sasa.

Hapa naona unaropoka tu. Dunia ipo tu kwa mujibu wa nini/nani/kivipi?
Kwani lazima dunia iwepo kwa mujibu wa kitu fulani?

Kama ulazima huo upo, Je kitu hicho kilichofanya dunia iwepo na chenyewe kipo kwa mujibu wa nini au nani?

Ukianza kuweka ulazima wa kwamba Dunia ipo kwa mujibu wa kitu fulani, Na kitu hicho lazima kiwepo kwa mujibu wa kitu fulani kingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe tu from nothing.
Hatuwezi kujua tusicho kijua.

Kwa maana hii ni kwamba, Hata Dunia haina ulazima wa kwamba iwe imetokea kwa mujibu wa kitu fulani, nini au nani.
 
Umetumia njia gani kujua hili ?
Kuna ulazima gani wa kutumia njia fulani kujua kitu fulani?

Kama kujua kitu fulani lazima itumike njia fulani, Je "Njia zote" zilizotumika kujua vitu fulani zilitumia njia gani?
 
National geographic ati wanadai sisi ni project ya viumbe fulani toka anga za mbali....ambapo hiyo project ilifeli.
Trust in God
 
Ni makadirio tu ya kibinadamu hayana uthibitisho wowote kuwa kweli.
Ni wazi ni makadirio tu ya binadamu. Siyo makadirio ya nguruwe!! Hilo liko wazi mbona…
Kama Dunia haikuwepo, ilikuwa wapi?
Sijui. Mi sikuwepo.
Na huko ilikokuwa kulitoka wapi?
Sijui.
[quote[ upi una onesha Dunia haikuwepo miaka bilioni 5 iliyopita?
[/QUOTE]
Sijui
Kwani lazima dunia iwepo kwa mujibu wa kitu fulani?
Kwani lazima iwepo kwa mujibu wa kitu?
Kama ulazima huo upo, Je kitu hicho kilichofanya dunia iwepo na chenyewe kipo kwa mujibu wa nini au nani?
Sijui.
Ukiwnza kuweka ulazima wa kwamba Dunia ipo kwa mujibu wa kitu fulani, Na kitu hicho lazima kiwepo kwa mujibu wa kitu fulani kingine.
We umejuaje hilo?
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe tu from nothing.

Hatuwezi kujua tusicho kijua.

Kwa maana hii ni kwamba, Hata Dunia haina ulazima wa kwamba iwe imetokea kwa mujibu wa kitu fulani, nini au nani.
Dunia ilikuwa kuwaje sasa hadi ikawa dunia?
 
Ni wazi ni makadirio tu ya binadamu. Siyo makadirio ya nguruwe!! Hilo liko wazi mbona…

Sijui. Mi sikuwepo.

Sijui.
Ni wazi ni makadirio tu ya binadamu. Siyo makadirio ya nguruwe!! Hilo liko wazi mbona…

Sijui. Mi sikuwepo.

Sijui.
Si lazima ndio maana nakwambia kwamba, Hakuna ulazima wa kwamba Dunia ipo kwa mujibu wa kitu fulani.

Nimejua hivi kwa maana kwamba, Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kwa mujibu wa kitu fulani, Basi hata kitu hicho lazima kiwe kwa mujibu wa kitu kingine.

Ili muundo wa ulazima huu ufuatwe pasipo utata na maswali.
 
Dunia Haina chanzo wala mwisho.
Kwa hiyo ulimwengu ulijikuta tu upo ama?
Kama ulivyosema hapo mwanzoni kila dhana inakwama kuelezea chanzo halisi.
Lakini haimaanishi kwa kuwa hatufahamu chanzo basi hakitokuwepo.
 
National geographic ati wanadai sisi ni project ya viumbe fulani toka anga za mbali....ambapo hiyo project ilifeli.
Trust in God
Na hao viumbe wa anga za mbali ni project ya nani au nini?

God doesn't exist.
 
Si lazima ndio maana nakwambia kwamba, Hakuna ulazima wa kwamba Dunia ipo kwa mujibu wa kitu fulani.

Nimejua hivi kwa maana kwamba, Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kwa mujibu wa kitu fulani, Basi hata kitu hicho lazima kiwe kwa mujibu wa kitu kingine.

Ili muundo wa ulazima huu ufuatwe pasipo utata na maswali.
Kwani nani kasema ni lazima?
 
Kwa hiyo ulimwengu ulijikuta tu upo ama?
Ulimwengu upo siku zote.

Haujawahi kutokuwepo kisha ukajikuta upo.

Hauwezi kutokuwepo halafu ghafla from nothing ukajitokeza tu, ukawepo.
Kama ulivyosema hapo mwanzoni kila dhana inakwama kuelezea chanzo halisi.
Lakini haimaanishi kwa kuwa hatufahamu chanzo basi hakitokuwepo.
Chanzo cha hicho chanzo ni nini?
 
Kwani nani kasema ni lazima?
Uli uliza swali kwamba, Ulimwengu upo kwa mujibu wa nini, nani au kivipi?

Ndio maana nasema, Si lazima kwamba ulimwengu upo kwa mujibu wa kitu fulani au kwa mujibu wa nani.

Ulimwengu upo tu, Na Haujawahi kutokuwepo.
 
Kuna ulazima gani wa kutumia njia fulani kujua kitu fulani?

Kama kujua kitu fulani lazima itumike njia fulani, Je "Njia zote" zilizotumika kujua vitu fulani zilitumia njia gani?
Jibu swali nililo kuuliza, kisha uulize maswali yako.

Kinachowagharimu wakana Mungu ni kuwa mnakimbia maswali, Sasa maana ya mjadala inakuwa haipo.

Kingine aya yako ya pili inaonyesha una kiwango kidogo sana Cha kuhoji na hauko makini. Unakubali "Infinity" ina exist ? Sababu swali lako kwenye aya ya pili ni la kipuuzi na ni la uongo.
 
Back
Top Bottom