Kama haina chanzo, how did it came to be?Dunia Haina chanzo.
Kama Dunia lazima iwe na chanzo, Hata hicho "chanzo" cha Dunia lazima kiwe na chanzo chake.
Pasiwepo kitu chochote kile hata hicho chanzo, kitakacho jitokeza chenyewe tu from Nothing...!!!
Maana lazima swali lije, Huko chanzo kilipotokea kulitoka wapi?
Kama dunia haina chanzo, imekuwaje ikawepo?Dunia Haina chanzo wala mwisho.
Mpaka useme Dunia imekuwaje ikawepo, Kwani kuna kipindi Dunia haikuwahi kuwepo?Kama dunia haina chanzo, imekuwaje ikawepo?
Dunia haina ulazima wa kwamba ilikuja kwenye existence.Kama haina chanzo, how did it came to be?
SIJUI. As we all DON'T KNOW, FOR NOW.Dunia haina ulazima wa kwamba ilikuja kwenye existence.
Kama kuna kipindi Dunia haikuwahi kuwepo kisha ikaja kwenye existence, Huko ilikokuwa kulitoka wapi?
Dunia ipo tu, Hakuna namna au jinsi yeyote ya Dunia ilivyokuja kuwepo.
Kama Dunia imetokea kwa namna fulani, Je hiyo "namna fulani" imetokea kwa namna gani?
Uki uliza swali kwamba, How did the earth come to be?
Na mimi Naku uliza kwamba 👇
How did the come to be of the earth come to be?
Jibu ni kwamba, Binadamu hatuwezi kujua tusicho kijua.SIJUI. As we all DON'T KNOW, FOR NOW.
Mpaka useme Dunia imekuwaje ikawepo, Kwani kuna kipindi Dunia haikuwahi kuwepo?
Nimekutajia hapo juu kulingana na makadirio ya kisayansi yaliyopo sasa.Ni wakati gani Dunia haikuwepo kisha ikaja kuwepo?
Hapa naona unaropoka tu. Dunia ipo tu kwa mujibu wa nini/nani/kivipi?ipo tu, Hakuna jinsi ilivyo kuwepo au jinsi ilivyo kuja kwenye uwepo.
Sijui.Kama kuna wakati dunia haikuwepo Kisha ikaja kuwepo, Huko ilikokuwa kulitoka wapi?
Umetumia njia gani kujua hili ?Dunia Haina chanzo wala mwisho.
Ni makadirio tu ya kibinadamu hayana uthibitisho wowote kuwa kweli.Dunia/ earth, inakadiriwa na wanasayansi kuwa na umri wa miaka bilioni 4.5.
Kama Dunia haikuwepo, ilikuwa wapi?Hivyo, tukienda na makadirio hayo, tunaweza kusema dunia haikuwepo miaka bilioni 5 iliyopita.
Kwani lazima dunia iwepo kwa mujibu wa kitu fulani?Nimekutajia hapo juu kulingana na makadirio ya kisayansi yaliyopo sasa.
Hapa naona unaropoka tu. Dunia ipo tu kwa mujibu wa nini/nani/kivipi?
Hatuwezi kujua tusicho kijua.Sijui.
Kuna ulazima gani wa kutumia njia fulani kujua kitu fulani?Umetumia njia gani kujua hili ?
Ni wazi ni makadirio tu ya binadamu. Siyo makadirio ya nguruwe!! Hilo liko wazi mbona…Ni makadirio tu ya kibinadamu hayana uthibitisho wowote kuwa kweli.
Sijui. Mi sikuwepo.Kama Dunia haikuwepo, ilikuwa wapi?
Sijui.Na huko ilikokuwa kulitoka wapi?
[/QUOTE][quote[ upi una onesha Dunia haikuwepo miaka bilioni 5 iliyopita?
Kwani lazima iwepo kwa mujibu wa kitu?Kwani lazima dunia iwepo kwa mujibu wa kitu fulani?
Sijui.Kama ulazima huo upo, Je kitu hicho kilichofanya dunia iwepo na chenyewe kipo kwa mujibu wa nini au nani?
We umejuaje hilo?Ukiwnza kuweka ulazima wa kwamba Dunia ipo kwa mujibu wa kitu fulani, Na kitu hicho lazima kiwepo kwa mujibu wa kitu fulani kingine.
Dunia ilikuwa kuwaje sasa hadi ikawa dunia?Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe tu from nothing.
Hatuwezi kujua tusicho kijua.
Kwa maana hii ni kwamba, Hata Dunia haina ulazima wa kwamba iwe imetokea kwa mujibu wa kitu fulani, nini au nani.
Ni wazi ni makadirio tu ya binadamu. Siyo makadirio ya nguruwe!! Hilo liko wazi mbona…
Sijui. Mi sikuwepo.
Sijui.
Si lazima ndio maana nakwambia kwamba, Hakuna ulazima wa kwamba Dunia ipo kwa mujibu wa kitu fulani.Ni wazi ni makadirio tu ya binadamu. Siyo makadirio ya nguruwe!! Hilo liko wazi mbona…
Sijui. Mi sikuwepo.
Sijui.
Kwa hiyo ulimwengu ulijikuta tu upo ama?Dunia Haina chanzo wala mwisho.
Na hao viumbe wa anga za mbali ni project ya nani au nini?National geographic ati wanadai sisi ni project ya viumbe fulani toka anga za mbali....ambapo hiyo project ilifeli.
Trust in God
Kwani nani kasema ni lazima?Si lazima ndio maana nakwambia kwamba, Hakuna ulazima wa kwamba Dunia ipo kwa mujibu wa kitu fulani.
Nimejua hivi kwa maana kwamba, Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kwa mujibu wa kitu fulani, Basi hata kitu hicho lazima kiwe kwa mujibu wa kitu kingine.
Ili muundo wa ulazima huu ufuatwe pasipo utata na maswali.
Ulimwengu upo siku zote.Kwa hiyo ulimwengu ulijikuta tu upo ama?
Chanzo cha hicho chanzo ni nini?Kama ulivyosema hapo mwanzoni kila dhana inakwama kuelezea chanzo halisi.
Lakini haimaanishi kwa kuwa hatufahamu chanzo basi hakitokuwepo.
Uli uliza swali kwamba, Ulimwengu upo kwa mujibu wa nini, nani au kivipi?Kwani nani kasema ni lazima?
Jibu swali nililo kuuliza, kisha uulize maswali yako.Kuna ulazima gani wa kutumia njia fulani kujua kitu fulani?
Kama kujua kitu fulani lazima itumike njia fulani, Je "Njia zote" zilizotumika kujua vitu fulani zilitumia njia gani?