Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hata wewe hujui.Uli uliza swali kwamba, Ulimwengu upo kwa mujibu wa nini, nani au kivipi?
Ndio maana nasema, Si lazima kwamba ulimwengu upo kwa mujibu wa kitu fulani au kwa mujibu wa nani.
Ulimwengu upo tu, Na Haujawahi kutokuwepo.
Hapo ni sawa na kuangalia kisogo chako bila kioo.Na hao viumbe wa anga za mbali ni project ya nani au nini?
God doesn't exist.
Wote tuna bashiri.Hata wewe hujui.
Unabashiri tu kama wengine.
Wewe hunaga hoja zozote tofauti na Quran..Jibu swali nililo kuuliza, kisha uulize maswali yako.
Kinachowagharimu wakana Mungu ni kuwa mnakimbia maswali, Sasa maana ya mjadala inakuwa haipo.
Kingine aya yako ya pili inaonyesha una kiwango kidogo sana Cha kuhoji na hauko makini. Unakubali "Infinity" ina exist ? Sababu swali lako kwenye aya ya pili ni la kipuuzi na ni la uongo.
Yani wewe unaona sawa Mungu huyo kuwepo bila chanzo ila unaona si sawa dunia kuwepo bila chanzo.Hapo ni sawa na kuangalia kisogo chako bila kioo.
Watu waje na hizi theories zao ili zipate kuhojiwa.Wote tuna bashiri.
Hakuna mwenye Uthibitisho
Hivyo mtu yeyote asije na theories zake zozote zile kisha aseme ndizo za chanzo cha ulimwengu.
Maana hata hicho chanzo cha ulimwengu kitazua maswali kimewezaje kuwepo from nothing.
Tufanye hivii...wewe ndiye unayejua tena umeshinda.Yani wewe unaona sawa Mungu huyo kuwepo bila chanzo ila unaona si sawa dunia kuwepo bila chanzo.
Kama Mungu huyo ameweza kuwepo bila chanzo, Inashindikana vipi kwa Dunia?
Automatically, Unataka hoja za kumtetea Mungu wako aonekane yupo kumbe hayupo.
Umesema kwamba wote tuna bashiri tu.Watu waje na hizi theories zao ili zipate kuhojiwa.
Linapo kuja swala la Dunia imekuwepo vipi, Hakuna mwenye Uthibitisho na ukweli sahihi maana wote ni sehemu ya Dunia.Bila kuhoji hatuwezi kupata maendeleo yoyote yale kwenye nyanja yoyote ile.
Na chanzo cha Mungu ni nini?Mbona jibu rahisi tu Chanzo Cha ulimwengu ni Mungu ila Kwa wanao amini Mungu nyinyi msioamini endeleeni kutafuta Chanzo
Naona unarudia yaleyale ambayo ushayaongelea.Umesema kwamba wote tuna bashiri tu.
Hata theories zikiletwa kuhojiwa zitahojiwa kwenye ubashiri tu.
Hakuna kipimo sahihi cha kuthibitisha ukweli na uhakika wa theories.
Linapo kuja swala la Dunia imekuwepo vipi, Hakuna mwenye Uthibitisho na ukweli sahihi maana wote ni sehemu ya Dunia.
Ni sawa na wewe Nyani Ngabu ujihoji, Je wewe ni Nyani Ngabu?
Au mimi infropreneur nijihoji mwenyewe, Je mimi ni infropreneur?
Naku uliza hivi👇Naona unarudia yaleyale ambayo ushayaongelea.
Deuces ✌️.
Hakuna anaye jua.Tufanye hivii...wewe ndiye unayejua tena umeshinda.
Siku ukipata utulivu ukiwa peke yako pengine unaweza kupata neema ya ufahamu....ambayo kwa wengine ni upumbavu.
Hujanielewa!!Hakuna anaye jua.
Hata ninyi kufanya conclusion ya kwamba Mungu ndiye chanzo cha kila kitu hamna uthibitisho wowote ule.
Ni ubashiri tu wa mawazo yenu.
Wewe jibu unavyotaka wewe acha uoga. Jibu maswali niliyo kuuliza, maswali niliyo kuuliza hayahusiani na unachokisema.Wewe hunaga hoja zozote tofauti na Quran..
Unataka hoja zenye mrengo wa Quran na Uislamu tu.
Wewe nakufahamu kwenye nyuzi mbalimbali za maswala haya ya Mungu, umebase kwenye Quran tu.Wewe jibu unavyotaka wewe acha uoga. Jibu maswali niliyo kuuliza, maswali niliyo kuuliza hayahusiani na unachokisema.
Tatizo kubwa hapa ni uelewa wa mambo na elimu ya vitu. Kwa sababu hii ndio maana tunaona kwamba sayansi na imani vinakinzana.Sasa katika vitu ambavyo unaviona Sayansi haijavitolea majibu na kusema Sayansi haina majibu, unafikiri kuna vyanzo vingine nje ja sayansi vilivyotoa majibu ya hivyo vitu kwa njia ya uthibitisho?
Sasa Mkuu kujua si kunaanza na kutokujua kwanza?Jibu ni kwamba, Binadamu hatuwezi kujua tusicho kijua.
Tafsiri ya kusema imani ni kujua kitu kwa hakika ni tafsiri potofu.Tatizo kubwa hapa ni uelewa wa mambo na elimu ya vitu. Kwa sababu hii ndio maana tunaona kwamba sayansi na imani vinakinzana.
Kama tunaelewa vizuri mambo na elimu ya vitu, kwa vyovyote vile haiwezekani sayansi kupingana na imani; si juu ya imani yenyewe wala chochote kilichofunuliwa kwa njia ya imani.
Kama imani ni kuhusu kujua na kuwa na hakika na sayansi ni hivyohivyo.
Sasa wewe uliye base huko ulipo mbona unashindwa kutetea hicho unachokiamini ?Wewe nakufahamu kwenye nyuzi mbalimbali za maswala haya ya Mungu, umebase kwenye Quran tu.