Hakuna nadharia yoyote ya Kisayansi inayoelezea kikamilifu chanzo cha ulimwengu

Tafsiri ya kusema imani ni kujua kitu kwa hakika ni tafsiri potofu.

Imani ni kuamini kitu bila kuwa na uthibitisho
Nimesema kwenye maelezo yangu kwamba tatizo kubwa ni uelewa wa mambo na elimu ya vitu.

Kuhusu tafsiri yako juu ya imani, huu si ufahamu bali ni hisia, hisia zako binafsi.

Imani maana yake ni "kujua na kuwa na hakika ya mambo.
 
Nimesema kwenye maelezo yangu kwamba tatizo kubwa ni uelewa wa mambo na elimu ya vitu.

Kuhusu tafsiri yako juu ya imani, huu si ufahamu bali ni hisia, hisia zako binafsi.

Imani maana yake ni "kujua na kuwa na hakika ya mambo.
Sawa basi tutumie vyanzo vya kuaminika katika hizo tafsiri ili kuepusha maoni binafsi

Nipe chanzo chako cha hiyo tafsiri
 
Sayansi kuna vitu huwa inakubali haijui na haina majibu yake na bado inachunguza, dini zinajinadi kujua na kuwa na majibu ya kila kitu!
 
1. Sayansi kuna vitu huwa inakubali haijui na haina majibu yake na bado inachunguza

2. Dini zinajinadi kujua na kuwa na majibu ya kila kitu!

1. Kweli

2. Uongo

[emoji6]
 
The creator,the one who is there alpha and omega,the dark matter,,the dark matter theory
 
The universe is infite hiyo yaweza kuwa sahihi
 
Ulimwengu wa Mungu unazo Siri kubwa sana hazifahamiki Wala hazitokuja kufahamika kamwe,Sayansi Ina mfululu wa magunduzi na ndani ya mfululu huo tukiwa kama binadamu tunapata maswali mengi kuliko majibu na tunajikuta tuna staajabu uumbaji na uumbaji na uumbaji na uumbaji,,maana kama bing bang existed 13.5 Billions of years ago,,then came the existence discovery of Methuselah which existed 14.5 billion of years ago.
Sayansi Ina maajabu ambayo Mimi naona inatupa raha na msisimko wa ajabu, exploration ya hali ya juu sana.
Imani juu ya uwepo wa Mungu inatupa nguvu kuwa yupo anayejua zaidi yetu,Kuna master wetu,Kuna mamlaka juu yetu,ni ukweli kuwa tupo kwenye matrix ambayo hayuwezi ku escape na njia pekee ya ku flow nayo vyema ni kuwa tu na imani juu ya uwepo wa Mungu,kwa sababu hatuwezi kuthibitisha kisayansi kuwa Mungu yupo au hayupo.
Kuna wale wanaamini na kusadiki hizi hadithi au hakaya za sumerian ancient civilizations,,the stories about Anunnaki as being our masters,,as the human kind creators,but the same question always will rise as in science,how did the Anunnaki exist and who created them,jibu linakuja Tena kwenye Sayansi na theories za dark matter,that everything in the Galaxies started out of the dark matter whereby the light was first created from the dark.
Kwa kifupi Sayansi ifanye kazi yake kwa maendeleo na exploration za wanadamu kwa sababu tunahitaji pia adventures in this life as life is boring in nature so we need explorations and adventures and new challenges.
Tunahitaji Sayansi kutatua changamoto zetu za kifizikia,kibailojia,kikemikali,kijiografia,kiuchumi Kila sekta na nyanja zote za kimaisha zinahitaji Sayansi ili mradi siku ziende vyema.
Lakini ni ukweli usiopingika binadamu ni wanyama katika mfumo wa mtu, we are animals in human form,kwa hivyo baadhi yetu tunahitaji Imani juu ya uwepo wa Mungu ili tuweze kuendelea kuwa salama katika matrix tuliyopo tuishi kwa matumaini na imani,maana Imani ni kama nira ya kuleta utengamano bila Imani sisi ni mahayawani na kawaida ya mahayawani ni kulana,kuchinjana, mwenyewe na nguvu ndio ata survive.
Hayo ni mtazamo wangu tu.
Nayatazama yote ulimwengu kwa mkabala unakwenda namna hii.
 
6. Biblical fact
Kuwa ulimwengu uliumbwa, na muumbaji wake ni Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…