Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

Umeongea vzr sana mwishoni jaribu kufuatila statistics kati ya sergio na casemiro utana ukweli hata wanapokutana sergio huwa anakimbizana rate na kina modric na sio casemiro
 
Hizo ni mbinu tu, mbona fabregas aishawah kutumika km namba 9, means torres hajui.
Tunamuongelea natural mamba 6 ambaye yupo static kwenye namba yake hayo ya fabregas hayaa saiidii kwenye huu Uzi
Ngoja nikuulize basi point yako ni ipi katika hayo maelezo yako?
 
Sergio ni miongoni mwa viungo bora wa dimba la chini kuwahi kutokea na ni CDM bora kabisa for the last decade.
Ana akili kubwa sana ya mpira.
 
Hizo ni mbinu tu, mbona fabregas aishawah kutumika km namba 9, means torres hajui.


Sasa kama kocha anawajua wote anamuacha huyu sita na huyo anampanga namba nyingne si ni uthibitisho tosha kua Segio ni zaidi ya Alonzo kwenye namba sita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…