Mimi nafatilia uchambuzi wa kila mara umu, nilichogundua uyo mtoa post (Sergio 5) anachokiamini yeye ni kua Sergio ndo namba 6 bora duniani ata mkimletea mfano wa mtu gani hatokubali. Acheni kupoteza muda kubadilisha mtu anachokiamini.
Mie nnachokijua mifumo imebadilisha sana majukumu ya wachezaji. Kwa timu zinazochezesha DMF wawili n rahic kukaba na kuchukua mipira, ukija kwa timu zinazochezesha mmoja mfano kama Barca & Real tunaona uwezo wa zile no. 6 zao znavyopga kazi.
Ila kwa sasa mtu huwezi sema flani ni bora kuliko mwingine bila kutoa statistics muhimu. Mfano ukisema Sergio ni mzuri kuliko casemiro sema kwa nn n mzur. Labda ana goli ngapi, assist ngapi, error leads to goal ngapi, pass ngapi, average rating zao kwa msimu mzima, n.k.
Hayo ni mawazo yangu tu na mie sio mtaalam sana wa mpira ila game inapoisha kuna vitu zaidi tunavi google ili kujifunza zaidi.