Hakuna namna John Heche anaweza kuchomoka kwenye hili

Hakuna namna John Heche anaweza kuchomoka kwenye hili

usikute hata shetani huko aliko anaombea Mungu ashindwe,😃😆🤣
 
Heche kawashika pumbu ccm, serikali, jeshi, TISS,sasa ni mwendo wa, mbinu chafu tu, hizi nguvu si mzitumie kupambana na ufisadi wenu huko ccm,
Sasa kuna kenge mmoja tena Profesa,anatuletea story za maisha yake kwamba aliuza vyeti alivua samaki, baada ya form 4,kwamba aliishi maisha magumu!
So, what! Ili Sisi tufanyeje? Kwamba tuone maisha magumu ni haki yetu, zamu yetu bado, kwahiyo tuwe wa pole wakati ye ye anatumia LC300 ya, umma,anaiba,anakula posho, 300K, kila, siku, akiwa, bungeni!
Piece of fucking shit
 
Back
Top Bottom