Hakuna nchi nzuri na rahisi kutafuta maisha na kupata hela kama Afrika Kusini

Nawashangaa sana wabongo wanaoiponda South Africa. For your information hakuna nchi nzuri ya kutafuta maisha kama South Africa.

Niambie kitu chochote unachokiogopa kuhusu South Africa nikupe solution.

Mtaani kwetu kama hujawahi kukaa Sauzi hata kwa mwezi mmoja r.i hata mademu wanakuona fala. Unaonekana sio mwanaume kamili. Unaonekana muoga muoga na usiejiamini.

If you actually want to be rich. Go to South Africa.

Nakupa hii code " According to a classified document owned by the C.I.A, the most richest country on the face of planet earth is South Africa"
South africa ipi hiyo unayosemea!!?
Ile ambayo huko fb kwenye group lao masailors kila siku ni "mzee baba tanzia,mzee baba hana nauli ya kurudi,mzee baba anaumwa yu hoi"!!? au hii wanayochoma mali za wageni kila siku na kuwataka warudi makwao
Mara huyu kadata mara kapigwa risasi mtu na wanakufa kila siku wabongo alafu huyu anaropoka kuafuta [emoji16][emoji16] dogo wa mbagala yule kaingi juzi yule pugu weekend ilipita na kuna mbao wamepotea hawajulikani wako wapi na kuna vidio imepostia jana kuna mtu kala shaba mbele ya hiace ulinionahiyo ni Atari
 
Kama hiyo ni point mkuu basi usipande gari kwa sababu kuna watu wanapanda Magari wanakufa kwa ajali.
 
Huko Nina jamaa kila siku wanalalama warudi hawana nauli!Mwingine walitandika risasi za kichwa hata jeneza lake halikufunguliwa,asiwapotoshe vijana kabisa
Mara huyu kadata mara kapigwa risasi mtu na wanakufa kila siku wabongo alafu huyu anaropoka kuafuta [emoji16][emoji16] dogo wa mbagala yule kaingi juzi yule pugu weekend ilipita na kuna mbao wamepotea hawajulikani wako wapi na kuna vidio imepostia jana kuna mtu kala shaba mbele ya hiace ulinionahiyo ni Atari
 
Ungekuwa south africa mda huu ,labda kwenu ila kwenu watu wanaenda kama wanavyokuja Dar ...Tushazika sana na dogo fulani alihojiwa kuunguliwa na jengo huko south Africa akiwa na familia yake kwa sasa hana makazi, kwa vile wabongo wengi na home boys wamemshika mkono.

Kiufupi hakuna maisha labda uwe msomi sana ila kule kupigwa chuma saa ana kweupe unapigwa hata na polisi..
 
Kutusua South lazima uwe mtundu mtundu usipokuwa mtundu mtundu lazima upaone pachungu. For ur information hakuna sehemu nzuri ya kutengeneza pesa kwa hapa Afrika kama Dizonga.

Watu wanatengeneza pesa Kismayu seuze Dizonga mkuu?

Those who murdered in S.A. is because they are about that life.
 
Back
Top Bottom