Hakuna nchi nzuri na rahisi kutafuta maisha na kupata hela kama Afrika Kusini

Nawashangaa sana wabongo wanaoiponda South Africa. For your information hakuna nchi nzuri ya kutafuta maisha kama South Africa.

Niambie kitu chochote unachokiogopa kuhusu South Africa nikupe solution.

Mtaani kwetu kama hujawahi kukaa Sauzi hata kwa mwezi mmoja r.i hata mademu wanakuona fala. Unaonekana sio mwanaume kamili. Unaonekana muoga muoga na usiejiamini.

If you actually want to be rich. Go to South Africa.

Nakupa hii code " According to a classified document owned by the C.I.A, the most richest country on the face of planet earth is South Africa"

Mkombe Luxury wamekurahisishia. Now you can go to South Africa by bus directly from Dar es salaam.
Kumbe ni tangazo?

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
LIKUD
Kwanza naomba utuambie ni kwanini ndugu zetu kila siku wanakufa na vifo vyao ni
1. Kupigwa risasi
2. Kuchomwa kisu
Hivi ndio vifo vyao vikubwa.
Kuna mtoto wa jirani nilipokulia alipigwa shaba, walileta maiti tukazika. Mtoto wa mama yangu mkubwa kaondoka 2012 pamoja na huyo aliyepigwa chuma, jirani na jirani mwingine hawajarudi mpaka leo na hata hatuoni wamefanya nini mtaani.
Mtoto wa uncle wake na dingi (younger than my dad) na huyo dogo alichomwa kisu wamerudisha maiti tukaenda kuzika kijijini.
Lakini niseme, hao wote tabia zao hazikuwa nzuri mtaani, frankly speaking, more or less walikua na magenge ya wavuta bangi.

Pili tueleze, ili mtu kama mimi ambaye ni risk taker nina shule kidogo na pesa kama $500-1,000 au hata $2,000 huko nikienda nianzie wapi?
Mishe gani za kuruka nazo?
Jimbo gani la kukaa kulingana na mishe husika. Jo'burg, Mpumalanga, Pretoria, Capetown etc.

Otherwise hunitoi hapa bongo. Nna kistationery kinanipa mpaka 50,000 kwa siku less kula dada wa stationery na operational expenses.
Mwanangu 1 ana kimgahawa uchwara pale Magufuli Terminal anaingiza mpaka 80,000 after kuwalipa wadada wa kazi na operational costs daily. Amekosa kosa 50 hivi. Na hamna kodi analipa, ni ushuru tu wa stand.
Hebu tuambie.
Mzee Isanga family kama hutojali hili jambo kauliza mdau hapa tusaidie maoni yako, kuanzia kuhusu risk taker huyo mwenye vidola na shule kidogo
 
Nawashangaa sana wabongo wanaoiponda South Africa. For your information hakuna nchi nzuri ya kutafuta maisha kama South Africa.

Niambie kitu chochote unachokiogopa kuhusu South Africa nikupe solution.

Mtaani kwetu kama hujawahi kukaa Sauzi hata kwa mwezi mmoja r.i hata mademu wanakuona fala. Unaonekana sio mwanaume kamili. Unaonekana muoga muoga na usiejiamini.

If you actually want to be rich. Go to South Africa.

Nakupa hii code " According to a classified document owned by the C.I.A, the most richest country on the face of planet earth is South Africa"

Mkombe Luxury wamekurahisishia. Now you can go to South Africa by bus directly from Dar es salaam.
Tunashukuru Kwa Tangazo 🤣🤣

Kama unataka Kufa mapema nenda south Africa.Kwa miezi 3 ya mwaishi wa mwaka zaidi ya watu 700 wamekufa kutokana na social problems na hao wapo wachache kushinda Tzn na Linchi ni kubwa ila usalama ni zero.
 
Nawashangaa sana wabongo wanaoiponda South Africa. For your information hakuna nchi nzuri ya kutafuta maisha kama South Africa.

Niambie kitu chochote unachokiogopa kuhusu South Africa nikupe solution.

Mtaani kwetu kama hujawahi kukaa Sauzi hata kwa mwezi mmoja r.i hata mademu wanakuona fala. Unaonekana sio mwanaume kamili. Unaonekana muoga muoga na usiejiamini.

If you actually want to be rich. Go to South Africa.

Nakupa hii code " According to a classified document owned by the C.I.A, the most richest country on the face of planet earth is South Africa"

Mkombe Luxury wamekurahisishia. Now you can go to South Africa by bus directly from Dar es salaam.
Lengo ikikuwa kutabgaza [emoji590] bus la mkombe sio sasa tangazo limekuwa lefu sana anyway umeeleweka
 
Back
Top Bottom