Sean Paul
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,330
- 3,289
LIKUD
Kwanza naomba utuambie ni kwanini ndugu zetu kila siku wanakufa na vifo vyao ni
1. Kupigwa risasi
2. Kuchomwa kisu
Hivi ndio vifo vyao vikubwa.
Kuna mtoto wa jirani nilipokulia alipigwa shaba, walileta maiti tukazika. Mtoto wa mama yangu mkubwa kaondoka 2012 pamoja na huyo aliyepigwa chuma, jirani na jirani mwingine hawajarudi mpaka leo na hata hatuoni wamefanya nini mtaani.
Mtoto wa uncle wake na dingi (younger than my dad) na huyo dogo alichomwa kisu wamerudisha maiti tukaenda kuzika kijijini.
Lakini niseme, hao wote tabia zao hazikuwa nzuri mtaani, frankly speaking, more or less walikua na magenge ya wavuta bangi.
Pili tueleze, ili mtu kama mimi ambaye ni risk taker nina shule kidogo na pesa kama $500-1,000 au hata $2,000 huko nikienda nianzie wapi?
Mishe gani za kuruka nazo?
Jimbo gani la kukaa kulingana na mishe husika. Jo'burg, Mpumalanga, Pretoria, Capetown etc.
Otherwise hunitoi hapa bongo. Nna kistationery kinanipa mpaka 50,000 kwa siku less kula dada wa stationery na operational expenses.
Mwanangu 1 ana kimgahawa uchwara pale Magufuli Terminal anaingiza mpaka 80,000 after kuwalipa wadada wa kazi na operational costs daily. Amekosa kosa 50 hivi. Na hamna kodi analipa, ni ushuru tu wa stand.
Hebu tuambie.