Hakuna raha tena ya sex kwa sababu ya fungus

Sasa hapo mwamba anakukojolea so ndio unamuambika naye anakuambukiza upya inakua mzunguko, tulia upone kwanza.
 
Duh Pole Sana!
Ukipata Hayo maumivu wakati wa Kufanya Mapenzi, Kuna Damu yoyote inatoka "baada" Hata Vitone tu?

Kwanza kabisa Ushauri wangu kwa Kuwa ni Ugonjwa wa Muda Mrefu (Kwa maelezo yako) Nenda Hospitali Fanya HVS (High vagina Swabs) uangalie Huenda Ni Fungus (V.Candidiasis , au Ni Bacterial V. au ni Trichomanas V.) Ukijua ni aina gani ya Tatizo ni Virahisi Zaidi Kulitibu..

Hata Hivyo Kwa maelezo uliyotoa Huenda Ikawa Ni fungus ambayo inaweza Kuwa imesababisha Imbalance ya Normal Flora kwenye Vaginal Enviroments, As well as Disruption ya Ph.

Na Si ndo maana Huenda Shahawa zinapokuwa zinagusa Vaginal enviroemnts Ambayo inakuwa iko na Differnt Ph na ilivyotakiwa Umahisi Maumivu..

Usikimbilie Kujitibu kwa Mi Antibiotics ya Kutosha au Mi antifungal Mingi ukadhani ni Njia moja wapo ya Kujitibu kwa Haraka.."Hapana" inaweza Ikawa ni Njia ya Kuzidisha Tatizo..
Flushing away zaidi Normal Flora..Fanya kwanza Vipimo Ikiwezema hata HVS culture and sensitivity kabisa..

Na Kingine Punguza Kutumia sabuni, Marashi, Au Kuweka Mafuta au Vile vipipi Au Ikiwezekana acha Kabisa Sehemu za Siri Ni hatari sana asilimia Kubwa sana ya Wenye matatizo kama yako Hufanya Vitu hivyo..

Na Nimeona Umeamua Kutumia Vyakula Lishe Kwa ajili ya Kupata Suluhisho sasa Nachoweza Kushauri Ni Kama Ifuatavyo..

Kama nachohisi ni sawa (Maana sijafanya vipimo) Usitumie Antibiotic kwa Tatizo lako ila Tumia Probiotic na specifically Kwako Unaweza Ukatumia za Kunywa au Ukatumia Vaginal Probiotic..

Polee..
 
Dr Mimi sijawah umwa fungus tangu nizaliwe.. huu mwaka ndio nimeumwa mara ya kwanza nikahisi labda kwasababu ya condom nikaacha ila sasa ndio kuungua na uchungu ndio vimenianza
 
sorry naweza kukupm maana kuna vitu nashindwa kuelezea hapa maana Watu wanahisi natania
 
Ila ww mtoa mada una matatizo sana, kila siku una matatizo kwenye hiyo K Dah ipumzishe bc ili na sisi wasomaji tupumzike kusoma huu upuuzi wako kila siku
 
Ila ww mtoa mada una matatizo sana, kila siku una matatizo kwenye hiyo K Dah ipumzishe bc ili na sisi wasomaji tupumzike kusoma huu upuuzi wako kila siku
Ila ww mtoa mada una matatizo sana, kila siku una matatizo kwenye hiyo K Dah ipumzishe bc ili na sisi wasomaji tupumzike kusoma huu upuuzi wako kila siku
Mkuu lini nilisema nina matatizo kwenye K

Kwaiyo mkuu Hii jf ni ya nini.. kama mtu analeta shida yake unasema upuuzi

Mkuu kama unaona ni upuuzi kuna sehemu ya ku ignore
Mimi naleta huku kutafuta msaada sio show off
 
Duuh poleee sana Dear, ni vema uache kufanya sex, then ufanye taratibu za matibabu,
Nakuombea upone harakaa.
Asante.. niliacha sex nikajitibia fungus mwezi Mzima ila bado hali Ndio hiyo
Kwaiyo saivi natafuta tiba ya uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…