Hakuna raha tena ya sex kwa sababu ya fungus


Shukrani sana Dr, tupo bwana maamuma wako huku pwani!!
 
Ngoja ni screenshot hii
 
PID inapona kwa njia gani.. maana kuna mtu alisema Dawa za hospital haziponeshi zinapoza ugonjy
Nenda hosii utapata matibabu mazuri na dawa za kumeza kwa muda mrefu, alafu unatakiwa unapokuwa kwenye dose uachane na mapenzi kwanza ili upone kabisa, na mwenzio itabidi atibiwe
 
Punje nne au vitunguu vizima vinne?
Vitunguu saumu vinne vizima Ni vingi. Hiyo ni blood thinner na antibiotic vinaweza kumletea madhara.
🤣🤣🤣Punje nne mkuu!
Vitunguu vinne vizima pressure inamsubiri mlangoni
 
Nenda hosii utapata matibabu mazuri na dawa za kumeza kwa muda mrefu, alafu unatakiwa unapokuwa kwenye dose uachane na mapenzi kwanza ili upone kabisa, na mwenzio itabidi atibiwe
Sawa
 
Nitafute mimi shahawa zangu ni dawa ya hilo tatizo lako nitafutie lako tano tu
 
Ushauri wangu jaribu kusex na mwanaume mwingine isije kuwa shida ipo kwa huyo mwanaume na shahawa zake, ukiona na kwingine bado hali inaendelea hapo ndo ujue shida ipo kwako otherwise ni huyo mtu wako ndo ana tatizo na wewe haipoi kwa vile unarudia tatizo na ukiona umejaribu kwingine but still hali inaendelea hapo sasa ndo inabidi ukaonane na specialists wa magonjwa ya wanawake.
Na ikiwa ukiona kwingine huko fresh ujue shida iko kwa huyo mwanaume na hapo itabidi mbebane mkatibiwe wote.
 
Kadogo2 ni ana survive maana ye daily ni kupambana na majanga
Haya hili la kutiana Sasa na ndio kwanza yuko 20's
 
Yah inabidi tumsaidie apone haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…