M Mpwimbe JF-Expert Member Joined Oct 13, 2023 Posts 6,342 Reaction score 13,745 Jun 21, 2025 #101 Tajiri wa kusini said: Kwahiyo mnavyomlaumu samia anataka aje awalimie na awape pesa? Click to expand... Samia tunamlaumu kwa kuuza kila kitu .paka.hewa ya ukaa (carbon credits), kuua watu wasio na hatia na kuhonga machawa kodi za watu.
Tajiri wa kusini said: Kwahiyo mnavyomlaumu samia anataka aje awalimie na awape pesa? Click to expand... Samia tunamlaumu kwa kuuza kila kitu .paka.hewa ya ukaa (carbon credits), kuua watu wasio na hatia na kuhonga machawa kodi za watu.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Oct 15, 2026 #102 Sahihi