Hakuna Rais aliyefikia hata robo ya viwango vya NYERERE

Hakuna Rais aliyefikia hata robo ya viwango vya NYERERE

Enz za mwalimu hakukua na vyama vingi na wenye elimu waliogopakujionesha maana wangu pesa kesi
 
toa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya maoni yangu na sio kutoa mihemko useless na makasiriko nonsense jukwaani gentleman
Wewe unamawazo gani bora za mapambio na kuabudu binadamu mwenzako,nyinyi chawa na viroboto hamtakuwa na mtu anayefanya muabudu madhabahu yake ya uongo
 
Hawa ni Marais wa nchi tangu Tanzania ianzishwe

1. Julius Kambarage Nyerere 1965 - 1985 (miaka miaka 20)

2. Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995 (miaka 10)

3. Benjamini William Mkapa 1995-2005 ( miaka 10)

4. Jakaya Mrishi Kikwete 2005 - 2015 ( Miaka 10)

5. John Pombe Magufuli 2015 - 2021 (Miaka 5 na miezi 5)

6. Samia Suluhu Hassan 2021 hadi Sasa.

Kati ya hawa Marais hakuna rais hata mmoja aliyefikia viwango vyq Julius Kambarage Nyerere kwenye nyanja mbali mbali kuanzia uchumi, demokrasia, diplomasia, na maendeleo ya jamii.
Uchumi gani ulisikiliza hotuba ya jakaya kikwete kwenye msiba wa mzee msuya kiufupi nchi ilimshinda akamtupia mzigo mzee mwinyi ndio akaokoa jahazi.
 
Uchumi gani ulisikiliza hotuba ya jakaya kikwete kwenye msiba wa mzee msuya kiufupi nchi ilimshinda akamtupia mzigo mzee mwinyi ndio akaokoa jahazi.
Bora yeye nchi ilimshinda akatupa mzigo kwa mwingine.

Nini kinafanya wanasiasa wa sasa nchi zinawashinda lakini hawatupi mzigo kwa wengine wanabaki kung'ang'ania na kuua watu tu??
 
JPM ni miundombinu pekee.

Ila Nyerere, alikuwa:
  • NABII Muona mbali
  • Selfishless
  • Uchumi
  • Kuweka MSINGI madhubuti
  • Demokrasia
  • Utu
  • Maadili
  • Kulinda raslimali
  • Pro Unity

In short, TZ ilikuwa na bahati sana kuwa na Nyerere.

Baada ya Uhuru, tungekuwa na Rais Mchagga au Mhaya, TZ isingekuwa tofauti na CONGO ya sasa.
Mambo mengi yake ya hovyo yamefichwa alituchotufanyia sisi wahafidhina hatutamsamehe alitusaliti.
 
Wewe unamawazo gani bora za mapambio na kuabudu binadamu mwenzako,nyinyi chawa na viroboto hamtakuwa na mtu anayefanya muabudu madhabahu yake ya uongo
acha kumbwelambwela na kuwewewseka gentleman, relax tu
 
achana na aina hiyo ya ushirikina, utakua mtumwa wa mihemko na uropokaji mpaka lini gentleman?
Acheni umwagaji wa damu za watu wasio na hatia nyinyi,mikono yenu na midomo yenu inanuka damu za watu,nawambieni mwaka huu ni mwisho wenu,Tanzania ya watanzania imewadia sio kikundi cha watu wachache , chawa na viroboto wao ,hakika hata sisimizi anayenuka damu atabakia
 
porojo na drama nonsense kama hizo haziwezi kudhoofisha jitihada za serikali sikivu ya ccm katika kuwatumikia waTanzania wote kwa weledi na bidii gentleman
 
porojo na drama nonsense kama hizo haziwezi kudhoofisha jitihada za serikali sikivu ya ccm katika kuwatumikia waTanzania wote kwa weledi na bidii gentleman
Pumbafu mwehu wewe,hampendwi mng'ang'ania mnapendwa,nani awapende wafiraji,wabakaji,wachawi ,wanywa damu za watu,mwaka hamtobowi huyo chura wenu ni mwisho wake october
 
Tumeyapata kwa wazee wetu waliokuwepo kipindi hcho na kwenye vitabu vilivyoondolewa kwenye mzunguko.
Hao wazee wao wameshafanya kipi mpaka sasa?

Au kuzaa vija a misukule?
 
Nyerere
Hawa ni Marais wa nchi tangu Tanzania ianzishwe

1. Julius Kambarage Nyerere 1965 - 1985 (miaka miaka 20)

2. Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995 (miaka 10)

3. Benjamini William Mkapa 1995-2005 ( miaka 10)

4. Jakaya Mrishi Kikwete 2005 - 2015 ( Miaka 10)

5. John Pombe Magufuli 2015 - 2021 (Miaka 5 na miezi 5)

6. Samia Suluhu Hassan 2021 hadi Sasa.

Kati ya hawa Marais hakuna rais hata mmoja aliyefikia viwango vyq Julius Kambarage Nyerere kwenye nyanja mbali mbali kuanzia uchumi, demokrasia, diplomasia, na maendeleo ya jamii.
Huyu huyu wa butiama iliyetuachia katiba ya kipumbavu?
 
Nyerere apewe heshima yake aliongoza nchi ikiwa haina wenye shahada wasiozidi 15 wazalendo.

Taratibu akaanza kujenga viwanda na miundo mbinu, akaanza kusomesha maelfu kwa maelfu ya vijana waliokuja kufanya makubwa kwenye Tanzania hii.

Ni kosa kumlinganisha Nyerere na wote waliokuja baadae, nina uhakika angekutana na nguvu kazi ya wasomi walioanza kazi miaka ya awamu ya Mkapa na Kikwete angeweza kuipaisha nchi zaidi ya hapa ilipofika.

Samia anastahili heshima yake kwa sababu ni mwanamke mwenye akili ya kibiashara, mwenye mtazamo wa kimaendeleo.

Hayati JPM alikuwa mjamaa ambaye hakuwa na fikra za kibiashara kibaya zaidi aliamini katika falsafa zile zile za ubepari ni unyama.
 
Back
Top Bottom