Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kuna watu wanadai eti Magufuli alikuwa anataka upinzani imara tofauti na Samia ambaye inadaiwa amewalambisha asali.
Napenda kuwakumbusha hawa wenye kumbukumbu fupi kuwa hakuna rais aliyetumia nguvu kubwa ili wamsifie kama Magufuli.
Magufuli alikuwa akinunua madiwani na wapinzani kwenda CCM na kuwapitisha bila mchakato wa kura za maoni ndani ya chama.
Wanahongwa na kutishwa kujiuzulu kwenye chama chao na kuhamia CCM ambapo walipitishwa bila kura za maoni.
Hapo unafanyika uchaguzi wa marudio unaogharimu wastani wa bilioni 3 kila uchaguzi.
Wengine kama Lipumba na Mtatiro, Mbatia walikuwa wakohongwa fedha nyingi japo hawakuwahi kujiuzulu.
Wengine walikuwa wakijiuzulu na kuhamia vyama vingine huku wakilipwa mishahara na posho za ubunge wakiwa sio wabunge (Cecil Mwambe).
Inakadiriwa kipindi cha miaka mitano ya Magufuli, serikali ilitumia bilioni 80 kwa ajili ya kuhonga wapinzani, kufanya chaguzi za marudio, na kuendesha kesi za kubambikiza.