Hakuna Rais aliyekuwa akihonga wapinzani kama Hayati Magufuli (kuwalambisha asali)

Hakuna Rais aliyekuwa akihonga wapinzani kama Hayati Magufuli (kuwalambisha asali)

Sahihi, mataga wengi akili zao zinafikiri reverse
Una maana Gani? Mi nachojua kipindi Cha jpm ndo mambo yalikuwa chini ya capeti mana vyombo vya habari vilizimwa kabisa lakini wakati huu vipo huru kuripoti chochote
 
Alitumia mabilioni ya kodi zetu kununua wapinzani uchwara,na mradi huu ndiyo umewatajirisha Polepole na Bashiru Ali,wamepiga mapanga ya hatari.
Waambie wapinzani koko waache kujiuza
 
Kila kitu kilikuwa gizani, imagine hadi yeye kuugua hakuna taarifa iliyotolewa, na waliosema anaumwa wakakamatwa
Wewe kichwani umejaa kamasi uliwai sikia wapi raisi yupo hospital taharifa zinasambazwa holela kama anayeumwa ni Mbowe,Nyerere alikaa st.Mery kafariki ila taharifa ilitolewa baada ya wiki mbili.
 
Wewe kichwani umejaa kamasi uliwai sikia wapi raisi yupo hospital taharifa zinasambazwa holela kama anayeumwa ni Mbowe,Nyerere alikaa st.Mery kafariki ila taharifa ilitolewa baada ya wiki mbili.
Wewe kichwani ndio kumejaa kinyesi, unafikiri Magufuli ndio Rais wa kwanza Tanzania? Kikwete aliugua, taifa likatangaziwa, akaombewa akapona

Hilo jitu lenu kwamba lilikuwa mungu ndio lisiumwe?
 
Kuna watu wanadai eti Magufuli alikuwa anataka upinzani imara tofauti na Samia ambaye inadaiwa amewalambisha asali.

Napenda kuwakumbusha hawa wenye kumbukumbu fupi kuwa hakuna rais aliyetumia nguvu kubwa ili wamsifie kama Magufuli.

Magufuli alikuwa akinunua madiwani na wapinzani kwenda CCM na kuwapitisha bila mchakato wa kura za maoni ndani ya chama.

Wanahongwa na kutishwa kujiuzulu kwenye chama chao na kuhamia CCM ambapo walipitishwa bila kura za maoni.

Hapo unafanyika uchaguzi wa marudio unaogharimu wastani wa bilioni 3 kila uchaguzi.

Wengine kama Lipumba na Mtatiro, Mbatia walikuwa wakohongwa fedha nyingi japo hawakuwahi kujiuzulu.
Wengine walikuwa wakijiuzulu na kuhamia vyama vingine huku wakilipwa mishahara na posho za ubunge wakiwa sio wabunge (Cecil Mwambe).

Inakadiriwa kipindi cha miaka mitano ya Magufuli, serikali ilitumia bilioni 80 kwa ajili ya kuhonga wapinzani, kufanya chaguzi za marudio, na kuendesha kesi za kubambikiza.
MAGUFULI ALIKUWA HAJUI SIASA ALIDHANI UBABE wa KUWAKAMATA KUWABAMBIKIZIA na KUWAFUNGULIA KESI WAPINZANI UNGEMFANYA ATAWALE MILELE
-ALIDHANI KUGAWA VYEO NA FEDHA KWA WAPINZANI KUNGEUA UPINZANI
-ALIDHANI KUZUIA MIKUTANO KUNGEUA VYAMA
-ALIDHANI KUWA NA WABUNGE WA CCM KUNGEUA UPINZANI
-ALIDHANI KUWAPA UBUNGE HALIMA NA WENZAKE KUNGEUA CHADEMA
MATOKEO YAKE ALISHINDWA .
 
Kuna watu wanadai eti Magufuli alikuwa anataka upinzani imara tofauti na Samia ambaye inadaiwa amewalambisha asali.

Napenda kuwakumbusha hawa wenye kumbukumbu fupi kuwa hakuna rais aliyetumia nguvu kubwa ili wamsifie kama Magufuli.

Magufuli alikuwa akinunua madiwani na wapinzani kwenda CCM na kuwapitisha bila mchakato wa kura za maoni ndani ya chama.

Wanahongwa na kutishwa kujiuzulu kwenye chama chao na kuhamia CCM ambapo walipitishwa bila kura za maoni.

Hapo unafanyika uchaguzi wa marudio unaogharimu wastani wa bilioni 3 kila uchaguzi.

Wengine kama Lipumba na Mtatiro, Mbatia walikuwa wakohongwa fedha nyingi japo hawakuwahi kujiuzulu.
Wengine walikuwa wakijiuzulu na kuhamia vyama vingine huku wakilipwa mishahara na posho za ubunge wakiwa sio wabunge (Cecil Mwambe).

Inakadiriwa kipindi cha miaka mitano ya Magufuli, serikali ilitumia bilioni 80 kwa ajili ya kuhonga wapinzani, kufanya chaguzi za marudio, na kuendesha kesi za kubambikizaJ
aise
 
Mleta mada hacha kupotosha watu, Chadema waligomea uchaguzi, wakagomea Bunge na nchi kama nchi haiwezi kataa kuendesha mambo yake kisa chama fulani kimegoma. Viongozi wa chini wa CDM ni wao tu waliamua kujiunga na chama ili familia zao zipate mkate na mahitaji mengine.
Utakoma kujaribu kumtetea yule marehemu inatakiwa uvute bangi kwanza
 
Mzee hayo mambo chanzo ni sababu ya Viongoz CDM wa ngazi za juu kukosa msimamo, wanakataa ili ila kesho wanalikubali, Wanagomea serikali ya Magu ila wanakubaliana na serikali ya Samia,wanashindwa kutambua kwamba Samia analo genge lake la viongozi ambao wengi ni waliokwisha pita kwenye ngazi za uongozi kipindi wanalilia katiba mpya.
UPINZANI wa bongo Ni kibogoyo Sana
 
Mleta mada hacha kupotosha watu, Chadema waligomea uchaguzi, wakagomea Bunge na nchi kama nchi haiwezi kataa kuendesha mambo yake kisa chama fulani kimegoma. Viongozi wa chini wa CDM ni wao tu waliamua kujiunga na chama ili familia zao zipate mkate na mahitaji mengine.
Ukweli utakuweka huru.
 
UPINZANI wa bongo Ni kibogoyo Sana
Hakuna upinzani Bongo sema ni vikundi flan vya kupiga tu hela wakitegemea suport ya wajinga flan.Yaani wao waongee ujinga majukwaaji alafu hao wajinga wao washangilie tu.
Mfano Juzi LEMA kapokewa na boda boda kutoka uwanja wa ndege,kafika jukwaani anasema kazi ya boda boda ni LAANA ,Hao hao boda boda wanashangilia kuitwa laaana,yaani ni taabu tupu.
 
Utakoma kujaribu kumtetea yule marehemu inatakiwa uvute bangi kwanza
Yule kumtete wala stokoma mana ni rais peke yake aliyewai kutuonyesha kwamba tunaweza kuishi bila kujiuza utu wetu na mali zetu na uchumi ukapanda.....Mfano mzuri kipindi cha CORONA kama ulikuwa ushazaliwa nadhani uliona nnachokimanisha.
 
Back
Top Bottom