Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #61
Tofauti yake ni nini?Haujanunuliwa umelambishwa asali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti yake ni nini?Haujanunuliwa umelambishwa asali
Sasa hivi unajiuza?Yule kumtete wala stokoma mana ni rais peke yake aliyewai kutuonyesha kwamba tunaweza kuishi bila kujiuza utu wetu na mali zetu na uchumi ukapanda.....Mfano mzuri kipindi cha CORONA kama ulikuwa ushazaliwa nadhani uliona nnachokimanisha.
Mbumbumbu wa uchumi ndio watamsifia Jiwe "kuipeleka nchi uchumi wa kati"Mkuu una ushahidi wa hizo fedha ziliwekwa account gani, maana bilion 80 hauwezi hamisha bila kuathili uchumi wa nchi. Nakushauri ungeelekeza nguvu na akili zako kutafuta mustakabali wa maisha yako kuliko kujaribu kupambana kumchafua marehemu. Kwa kufanya hivo unajipalia mkaa utakaokuchoma mwenyewe.
Jpm alitumia nguvu na akili zake zote kuliongoza taifa hadi likaingia uchumi wa kati. Kuna washenzi wanafikilia kwa kutumia matako wakaja kusema nchi iliingia uchumi wa kati kwa juhudi za awamu ya 4. Baada ya jpm kufariki nchi ikarudi uchumi wa chini hao wachumi wa michongo hawakuru kutoa analysis zao za kijinga.
Unataka nikuunge na ww kwenye group letu?Sasa hivi unajiuza?
Weka na ushahidi mkuu ili wakuamini hawa viumbe wabishi!Kikwete aliugua, taifa likatangaziwa, akaombewa akapona
Kuna mtu humu alisema kuwa sisiemu kuna kikundi-wataalamu wanaochagua mada ya kupeleka kwa jamii kwaajili ya manufaa yao.Mbumbumbu wa uchumi ndio watamsifia Jiwe "kuipeleka nchi uchumi wa kati"
Hivi mbona sikuhizi watu hawaungi juhudi mkono?
Imekuaje tena
Aibu mgeanza kuiona nyie na chama chenu,lema katoka kwa bahasha wake huko anakuja kutwambia sisi mabodaboda kazi yetu ni LAANA,Walikataa kila kitu kipindi cha Mzee Magu leo wanapokea Ruzuku ya nini?, na wakati washasema hawana wabunge hakina mdee ni wabunge haramuu!!!!.
Wajinga ni nyie na chama chenu,walah Zitto hasingekuwa tu mpuuzi na ndumila kuwili chama chake kingekuwa chama kikuu cha upinzani msimu huu!.Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Wajinga ni nyie na chama chenu,walah Zitto hasingekuwa tu mpuuzi na ndumila kuwili chama chake kingekuwa chama kikuu cha upinzani msimu huu!.
Bado hujui lolote..Mambo si yalikuwa wazi tunayaona mkuu,si waligomea kila kitu mpaka uchaguzi mpaka ubunge,wengine wakatorokea nje ya nchi.
Wakagamea mpaka viti maalumu wao ila sasa wamechukua Ruzuku juzi 800+ mln.
Mh unapotosha Kwa faida ya nani? Nani ambaye hakushuhudia uozo wa serikali ya JPM Kwa wapinzani?Mleta mada hacha kupotosha watu, Chadema waligomea uchaguzi, wakagomea Bunge na nchi kama nchi haiwezi kataa kuendesha mambo yake kisa chama fulani kimegoma. Viongozi wa chini wa CDM ni wao tu waliamua kujiunga na chama ili familia zao zipate mkate na mahitaji mengine.
Mh unapotosha Kwa faida ya nani? Nani ambaye hakushuhudia uozo wa serikali ya JPM Kwa wapinzani?