Hakuna Rais aliyekuwa akihonga wapinzani kama Hayati Magufuli (kuwalambisha asali)

Yule kumtete wala stokoma mana ni rais peke yake aliyewai kutuonyesha kwamba tunaweza kuishi bila kujiuza utu wetu na mali zetu na uchumi ukapanda.....Mfano mzuri kipindi cha CORONA kama ulikuwa ushazaliwa nadhani uliona nnachokimanisha.
Sasa hivi unajiuza?
 
Mbumbumbu wa uchumi ndio watamsifia Jiwe "kuipeleka nchi uchumi wa kati"
 
Ndugu Rwankomezi hujui lolote..

Nyamaza kimya tu kwenye hili na utajitendea haki mno mwenyewe....

Mambo si yalikuwa wazi tunayaona mkuu,si waligomea kila kitu mpaka uchaguzi mpaka ubunge,wengine wakatorokea nje ya nchi.
Wakagamea mpaka viti maalumu wao ila sasa wamechukua Ruzuku juzi 800+ mln.
 
Kikwete aliugua, taifa likatangaziwa, akaombewa akapona
Weka na ushahidi mkuu ili wakuamini hawa viumbe wabishi!

Nakumbuka moja, aliondoka, aliporudi ndo alisema ameenda ku-teziwa, kabla ya hapo hakuna aliyejua kuwa ni mgonjwa, angalau kwa level yetu sisi!
 
Mbumbumbu wa uchumi ndio watamsifia Jiwe "kuipeleka nchi uchumi wa kati"
Kuna mtu humu alisema kuwa sisiemu kuna kikundi-wataalamu wanaochagua mada ya kupeleka kwa jamii kwaajili ya manufaa yao.

Anasema, eti walipeleka jina la MAMVI lisulubishwe, wasio na msimamo wakaenda na biti!

Baadae wakampokea, ingawa alitangazwa mchafu asilani ma wao wenyewe; akawa raisi mtarajiwa wao, akaondoka tena, hawakuwa na cha kusema zaidi ya kutetea uamuzi wao usio na tija.

Si ajabu, Magu angekuwa hai leo, Sisiemu wangmtoa chamani, jamaa wangemdaka chap na kuwaambia wananchi kuwa HIKI NDIO CHUMA; kama mzee wa asali na katibu wake mkuu enzi hizo, walivyowahi kusema!

Mpaka hapo, nani wa kumuamini?
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
Hasingekuwa????hakika shule ulikwenda kusomea ujinga
Wajinga ni nyie na chama chenu,walah Zitto hasingekuwa tu mpuuzi na ndumila kuwili chama chake kingekuwa chama kikuu cha upinzani msimu huu!.
 
Tatizo la baadhi ya watanzania ni kufurahia hali ya ugomvi uluokuwepo kati ya CCM na CDM na ndio hao wanaozungumzia asali wanasahau jinsi wenzao walivyuumizwa kwa vifungo, kupigwa, kujeruhiwa na hata kuuuawa na sasa familia zao ziko kwenye matatizo.leo wamekumbatia maridhiano imekuwa nongwa na maneno mengi mara asali mara nini. Mbowe,Lissu na wengin endeleeni. Siasa siyo rigid kihivyo unapotafuta fursa km kufunga goli kwenye mechi wakati mwingine mpira hurejeshwa golini kwa kipa utafikiri mnafungwa kumbe ni mkakati tu wa kumdanganya adui kwenye jeshi wanaita Retreat.
 
Mambo si yalikuwa wazi tunayaona mkuu,si waligomea kila kitu mpaka uchaguzi mpaka ubunge,wengine wakatorokea nje ya nchi.
Wakagamea mpaka viti maalumu wao ila sasa wamechukua Ruzuku juzi 800+ mln.
Bado hujui lolote..

Nasisitiza kukuambia, ikiwa hujui kitu basi unaficha .............wako Kwa kunyamaza kimya
 
Mh unapotosha Kwa faida ya nani? Nani ambaye hakushuhudia uozo wa serikali ya JPM Kwa wapinzani?
 
Mh unapotosha Kwa faida ya nani? Nani ambaye hakushuhudia uozo wa serikali ya JPM Kwa wapinzani?

Sema nani hakushuhudia kwa manyumbu,Tanzania hakuna upinzani ni watu tu wameanzisha vijisehemu vyao kwa ajili ya kutetea matumbo yao.
 
Inazidi ili akusaidie katika kuleta maendeleo. Ni mbinu za kiongozi mwenye maono kama JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…