Hakuna Rais aliyekuwa akihonga wapinzani kama Hayati Magufuli (kuwalambisha asali)

Lile juha lilituharibia sana nchi bora tu lilivyolambishwa mchanga ,ishukuriwe corona.
 
Hivi unakumbuka ile 1.5 trillion iliyokosa maelezo hadi yule bwege anakwenda kaburini?
 
Wewe mhamiaji haramu lazima utafute kichaka huko CCM
 
JPM alikuwa na maono gani?

Nchi inaendeshwa kwa maono au SERA?
Alivyogundua nchi ni tajiri na tunaweza kulisha nchi nyingine ni maono yake na ni kweli. Ni ufisadi tu ndio unatuponza. Alijua ni lazima (ku-dictate) mambo ili nchi isonge mbele. Alifungua mengi kwa maono yake. He was a leader with vision. RIP baba.
 
Ila Mama anaupiga mwingi sana
Sana.
Sukari kaikuta 2800
Sasa hivi inakaribia 6000 hiyo Ni ndani ya miaka 2 by the time anaondoka sukari itakua 15,000. Petroli 15000/Lita Ila mishahara iko pale pale. Wapanda daladala habari mnaipata popote mlipo, wapanda mwendokasi jasho linawatoka mabasi hauaongezwi Ila ruti zinaongezeka kwa mabasi Yale Yale. Waha nadhani siku hizi wamepunguza kwenda kula Rid Kgm. Ila Bei ya pombe kwa Mara ya kwanza imeshuka.
 
Alivyogundua nchi ni tajiri na tunaweza kulisha nchi nyingine ni maono yake na ni kweli. Ni ufisadi tu ndio unatuponza. Alijua ni lazima (ku-dictate) mambo ili nchi isonge mbele. Alifungua mengi kwa maono yake. He was a leader with vision. RIP baba.
Acha upuuzi wewe, usitumie bando la shemeji yako ovyo.
Umesoma MEMKWA au lasaba la juzi juzi la maswali ya kuchagua?

Hujui tume ya Taifa ya TAKWIMU ndio mamlaka pekee inafanya tafiti na kuja na majibu ?
Hujui kwamba Benki kuu na Benki ya dunia ndio wana takwimu ya kiwango cha umaskini uliopo?
Unaamni tu kwamba mtu anaamka na kusema sisi ni matajiri na hapo hapo tunakuwa matajiri?

#Mungu akusaidie na shemeji yako akigundua ni wewe umeandika hivi anaweza kukurudisha karagwe.
 
mpaka tufike 2025 sukari kilo 10,000.
 
Alihonga mamilioni ya Walipakodi.
 
Ulikuwa bado hujazaliwa umesahau ulichosimuliwa kuhusu Magufuli.
 
Uzuri wa Enz za Magu Mambo yalikuwa wazi,leo hii kila kitu kipo chini ya kapet.
Kilikuwa wazi kwenye Nini? Yeye ndio alikataa mambo ya open government, au mnadhani tumesahau Nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…