Hakuna Rais aliyewahi kuua raia wake akamaliza utawala wake bila kuuona mkono wa Mungu

MUNGU HAFANYI KAZI KWA HISIA NA MATAMKO YA WATU

IDD AMINI AMEKUFA NA MIAKA 84

NA NYERERE ALIMCHOKOZA MWENYEWE AKAMALIZA AKAMCHAFUA KWA PROPAGANDA

UKIFIKA UGANDA IDD AMINI ANAPENDWA SANA YEYE NA FAMILIA

NB KIJANA LINDA UHAI WAKO SANA KATAAA MAANDAMANO
 
Huna akili. Kuna sehemu imeandikwa juu ya maandano?
 
Mtu unatafuta pesa kwa kumshirikisha Mungu, ukishazipata anatumia zote na Shetani!

Utakuta mtu alikuwa akipiga swala zote 5 ili apewe ushindi, baada ya kupata, kaamua kutoa sadaka kwa Shetani!

Kwa nini Mungu anyamaze?

Ni suala la muda tu
 
MUNGU HAFANYI KAZI KWA HISIA NA MATAMKO YA WATU

IDD AMINI AMEKUFA NA MIAKA 84

NA NYERERE ALIMCHOKOZA MWENYEWE AKAMALIZA AKAMCHAFUA KWA PROPAGANDA

UKIFIKA UGANDA IDD AMINI ANAPENDWA SANA YEYE NA FAMILIA

NB KIJANA LINDA UHAI WAKO SANA KATAAA MAANDAMANO
Wewe ni mshenzi usie na akili hata kidogo. Idi Amin mbona alikimbilia uhamishoni? unaongea uharo. pumbavu wewe. Ujue hata kama Idi Amin alikuwa mbaya alikuwa pia na watu wake wanaomsapoti, kuna kabila lake, kuna machawa wake, kuna watu waliochukizwa na utawala wa Obote na wengineo wengi. Huwezi ukapendwa na kila mtu. Kwa hiyo ukiandamana adhabu yake ni kifo? Huyo mama mchawi na muuaji ni hasara kwa nchi yetu.
 
NENDA UGANDA WATAKUAMBIA IDD AMINI HAJAWAHI KUWA DICTATOR
Kwa hiyo mtu akitoa mawazo unachukua tu bila kupima. Unataka kutuambia hao wanaosema hawajaua.....pamoja na ushahidi kuwa mkubwa wakikwambia hawajaua utasema ni kweli hawajaua? Kweli akili yako haipo kichwani.
 
Screenshot_20251121-231231_1.jpg
 
Mungu haonekani lakini watu huwa wanamuona kwa matendo yake.

Mobutu Seseko, Idd Amini, Blaise Kompaore, na wengine wengi ni mfano ulio wazi.

Wote hawa walimaliza kwa mwisho mbaya .
Kwani ulikuwa unatakaje?? Ulitaka wale mahayawani tuwabembeleze?? Acheni mchezo na akili za kindezi!!

Bila kuchezea risasi za moto wale mahayawani walikuwa wanatupeleka pabaya
 
Mungu haonekani lakini watu huwa wanamuona kwa matendo yake.

Mobutu Seseko, Idd Amini, Blaise Kompaore, na wengine wengi ni mfano ulio wazi.

Wote hawa walimaliza kwa mwisho mbaya .
Samia amechagua kumaliza mwendo kwa njia ya fedheha na yenye mateso sana kwake.
 
MUNGU HAFANYI KAZI KWA HISIA NA MATAMKO YA WATU

IDD AMINI AMEKUFA NA MIAKA 84

NA NYERERE ALIMCHOKOZA MWENYEWE AKAMALIZA AKAMCHAFUA KWA PROPAGANDA

UKIFIKA UGANDA IDD AMINI ANAPENDWA SANA YEYE NA FAMILIA

NB KIJANA LINDA UHAI WAKO SANA KATAAA MAANDAMANO
Mbona maada ya jamaa haijaongelea maandamano wewe umeonekana kuyaporomoti
 
NENDA UGANDA WATAKUAMBIA IDD AMINI HAJAWAHI KUWA DICTATOR
Uganda ya wapi kaka? Hii ya Mtukula,Kyotela,Masaka -Kampala au hii ya Isingiro,Mbarara-Jinja.Hapa nakataa japo narrations nyingi kuhusu Idd Amin ni za uongo lakini utawala wake unaangukia kwenye dictatorship government as opposed to democratic or other forms of government.

Na kama hivyo basi jua Idd Amin alikuwa dictator
 
TUSIBISHANE ILA UKWELI UNAUJUA KAMA UMEKAA UGANDA
 
Nimesoma Emma high school Kampala.Idd Amin anahesabika bado dictator mpaka kesho.

Narrations nyingi kuhusu sijui kula watu,kutupa watu kwenye mito na nyinginezo nazikataa lakini kuhusu kuwa dictator nakubali.

Utawala wake ulikuwa wa aina gani?Wa kijeshi sio?Enzi za utawala wake uhuru wa watu wake ulikuwa wa namna gani?jibu unalo.

Alipata utawala wake kwa namna gani?Mapinduzi au kupitia kura?jibu unalo.

Mengine utaongeza ukipenda lakini Idd Amin leo na kesho anabaki kuwa serikali yake ilikuwa ya kimabavu ndio maana anasemwa kama dictator
 
OKAY ILA HATA UTAWALA WA NYERERE ULIKUWA UKIMBISHIA UNAWEKWA DETENTION

N.K

KWAHIYO MSISEME IDD AMIN ILA SEMA ALL AFRICANS LEADERS ARE DICTATORSHIP EXCEPT SSH
 
Back
Top Bottom