Hakuna sababu ya Rais Samia kukaa Msumbiji kwa siku 4

Akikaa huko msumbiji siku mbili wewe ni kitu gani kitabadilika kwenye maisha yako unadhani?
 
Ujuaji hautawasaidia! HAYA ANARUDI LEO MFURAHI!
Kuna watu mmekuwa na visirani mtazani Rais anawanyonyesheni maziwa!

Ziara ya rais hupangwa na huwa kwenye ratiba, acheni ujuaji wenu bahna!
Wathenge hao watoto,yaani ziara ipangwe na taasisi ya rais yeye ajue kwamba Sasa inatosha akatishe ziara
 
Tena wanadai ka share glass na yule Nangumene!
Kuna namna pale….
 
Tena wanadai ka share glass na yule Mmalawi!
Kuna namna pale….
Jamani jamani! Mbona hata Malkia wa Sheba alikaa siku kadhaa alipotembelea Israel enzi za Mfalme Suleiman? Jee mnakumbuka faida ya ziara ile hadi leo?
Basi nyamazeni, yajayo yanafurahisha atarudi tuu. Najua mnamuulizia kwa upendo tuu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kwani baba yetu wa kambo anasemaje kuhusu mkewe kuzurula?
 
Kwa hivyo akipangiwa chochote cha hovyo afanye tu kwakuwa kimetoka taasisi ya urais?!
So hata wangemshauri akae huko hata mwezi 1 kwake ni sawa tu maadam ni ushauri wa taasisi
Wakinshauri kukaa mwezi Wana sababu..wewe unajua kwa nini kaenda!?..sababu unazoambiwa unadhani ndizo hizo tu!?
 
Nchi bila rais tangu 2015
 
Unayo hoja.

Kama kungekuwa na matukio ya kitaifa hususan yanayohusisha engagement ya mataifa yetu huko nami ningeelewa dhima ya safari.

Labda wanazungumzia Cabo Delgado. Lakini tungeona SADC ikiwa pale
 
Ujuaji hautawasaidia! HAYA ANARUDI LEO MFURAHI!
Kuna watu mmekuwa na visirani mtazani Rais anawanyonyesheni maziwa!

Ziara ya rais hupangwa na huwa kwenye ratiba, acheni ujuaji wenu bahna!

Hakuna anayekataa kuwa anapangiwa, je anafanya nini akiwa huko?
 
Amepata bwana huko......si uliona ananywesha kbsa
 
Agiza K-v yenye % 50. Nitumie bill pse. Nangumene baba wa kambo. Oyee👌🏿😎🤐
 
Safari ya Rais ni maisha Kwa watumishi wa vitengo, ndio wakati wao wa kula maisha. Kusafiri Kwa Rais ni fursa moja tamu sana. Tuache wivu tusubiri hadi tutakapolitizama upya hapo mbeleni
 
Ujuaji hautawasaidia! HAYA ANARUDI LEO MFURAHI!
Kuna watu mmekuwa na visirani mtazani Rais anawanyonyesheni maziwa!

Ziara ya rais hupangwa na huwa kwenye ratiba, acheni ujuaji wenu bahna!
Mkuu binafsi naunga mkono hoja ya mtoa mada ila hili jibu, lah! 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…