Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
TumainEl leo kaandika uzi mkali sana. Nautafita siupati. Anayekumbuka ile heading anipatie niusomeUmeongea kama utani vile lakini ndio ukweli huo

Hawa majizi, mafisadi wenye roho za kigaidi hawatakuelewa kabisa!Pamoja na kwamba sikubaliani na Lissu kifalsafa ya maisha lakini sipendezwi kabisa na uwepo wake gerezani.
Lissu ni msomi mkubwa.
Alumni wa UDSM.
Ni moja Kati ya think tankers na hazina ya taifa hili la Tanzania.
Gerezani sio sehemu anayopaswa kulala..
Nimezaliwa mwaka 85 nimeanza primary miaka ya tisini. Enzi hizo tuliamini kwamba watu wanao paswa kwenda gerezani ni vibaka na watu kama hao na sio wasomi kama Lissu.
Wakati Lissu anapata admission ya kwenda UDSM sidhani kama wazazi wake waliwahi kuwaza kwamba siku moja anaweza kukaa gerezani.
Kipanga wa darasani kama Lissu.Alumni wa Ilboru then UDSM aende gerezani? Kweli? Usingeweza kutabiri jambo kama hilo kwa mtu kama Lissu.
Imagination is the most best gift that was given to human beings by God the creator cause with the power of imagination you can own what you don't have.
Kwa hili la kutumia nguvu ya imagination ninajaribu kuescape the reality through imagination kwa kuimagine kwamba, Lissu halali gerezani. Analala hotelini. Samia hawezi kukubali mtu kama Lissu alale gerezani. ( Anyways its just imagination).
Nimesema sikubaliani na Lissu kifalsafa na sio kiitikadi.
Mimi naamini maisha ni ujinga ujinga na kwamba tupo duniani kwa ajili ya kustarehe na kuzaliana ili kuijaza dunia ( MWANZO 1:28) .
Tukisha ijaza dunia, Yule alie tuleta duniani ndio atajua afanye nini kwa sababu kiukweli hakuna ajuae sababu halisi kwanini tupo duniani isipokuwa alie tuumba. Anacho taka yeye ni dunia ijae period.
Lissu yeye anaamini maisha ni jambo moja serious Sana ndio maana anatumia nguvu na muda wake mwingi kufanya harakati.
Kwa mvua hii inayo nyesha jijini Dar es salaam, Lissu kukaa ndani sio sahihi. Mawakili wa Chadema fanyeni mnavyo weza Lissu apate dhamana arudi uraiani.
Apambane na kesi yake akiwa uraiani. Gerezani sio powa.
Najua mtasema kesi ya uhaini haina dhamana Ila hiyo haimzuii Lissu kupewa dhamana.
Mimi sio lawyer Ila najua to every general rule there is an exception.
Mnaweza kufanya lobbying mashtaka yakabadilishwa yakawa ya uchochezi then akapewa dhamana hata kama atapewa masharti ya kutojihusisha na hiyo movement yake hakuna shida. Kikubwa Lissu arudi uraiani.
Yote yanayo fanyika chini ya jua ni ujinga ujinga tu wala hayana maana yoyote.
Hakuna sababu yoyote Lissu kuendelea kuteseka gerezani.
Nimeona video ya Lissu akitembea kwa kuchechemea nimejisikia vibaya Sana.
Kingine ; Lissu ana nyota Kali Sana ya kukubalika kwa watu. Iwe mitandaoni iwe mitaani misikitini kwa makanisani. Kupitia upendo mkubwa unao onyeshwa na watanzania kwa Lissu kuna kitu ambacho universe inajaribu Ku communicate na watanzania kuhusu Lissu.
dhambi za LIKUD apewe chiembe Lucas Mwashambwa kipara kipya na Mwijaku😂Japo wewe ni Mwanaccm uliyekuwa unashabikia Ukatili na sasa umeshtuka basi Ubarikiwe LIKUD.
Mimi nimekusamehe
😀😀😀dhambi za LIKUD apewe chiembe Lucas Mwashambwa kipara kipya na Mwijaku😂
Ndio furaha ya za mariah sarungi upewe wewe...dhambi za LIKUD apewe chiembe Lucas Mwashambwa kipara kipya na Mwijaku😂
😀😀😀Ndio furaha ya za mariah sarungi upewe wewe...
Kwasasa tunawakopesha guvu za kutpiga, mamlaka ya kutuonea lakini utakuja wakati mtalia na kusaga mmeno.Ndio furaha ya za mariah sarungi upewe wewe...
Ni furaha kwa CCM, yaani roho kwatuPamoja na kwamba sikubaliani na Lissu kifalsafa ya maisha lakini sipendezwi kabisa na uwepo wake gerezani.
Lissu ni msomi mkubwa.
Alumni wa UDSM.
Ni moja Kati ya think tankers na hazina ya taifa hili la Tanzania.
Gerezani sio sehemu anayopaswa kulala..
Nimezaliwa mwaka 85 nimeanza primary miaka ya tisini. Enzi hizo tuliamini kwamba watu wanao paswa kwenda gerezani ni vibaka na watu kama hao na sio wasomi kama Lissu.
Wakati Lissu anapata admission ya kwenda UDSM sidhani kama wazazi wake waliwahi kuwaza kwamba siku moja anaweza kukaa gerezani.
Kipanga wa darasani kama Lissu.Alumni wa Ilboru then UDSM aende gerezani? Kweli? Usingeweza kutabiri jambo kama hilo kwa mtu kama Lissu.
Imagination is the most best gift that was given to human beings by God the creator cause with the power of imagination you can own what you don't have.
Kwa hili la kutumia nguvu ya imagination ninajaribu kuescape the reality through imagination kwa kuimagine kwamba, Lissu halali gerezani. Analala hotelini. Samia hawezi kukubali mtu kama Lissu alale gerezani. ( Anyways its just imagination).
Nimesema sikubaliani na Lissu kifalsafa na sio kiitikadi.
Mimi naamini maisha ni ujinga ujinga na kwamba tupo duniani kwa ajili ya kustarehe na kuzaliana ili kuijaza dunia ( MWANZO 1:28) .
Tukisha ijaza dunia, Yule alie tuleta duniani ndio atajua afanye nini kwa sababu kiukweli hakuna ajuae sababu halisi kwanini tupo duniani isipokuwa alie tuumba. Anacho taka yeye ni dunia ijae period.
Lissu yeye anaamini maisha ni jambo moja serious Sana ndio maana anatumia nguvu na muda wake mwingi kufanya harakati.
Kwa mvua hii inayo nyesha jijini Dar es salaam, Lissu kukaa ndani sio sahihi. Mawakili wa Chadema fanyeni mnavyo weza Lissu apate dhamana arudi uraiani.
Apambane na kesi yake akiwa uraiani. Gerezani sio powa.
Najua mtasema kesi ya uhaini haina dhamana Ila hiyo haimzuii Lissu kupewa dhamana.
Mimi sio lawyer Ila najua to every general rule there is an exception.
Mnaweza kufanya lobbying mashtaka yakabadilishwa yakawa ya uchochezi then akapewa dhamana hata kama atapewa masharti ya kutojihusisha na hiyo movement yake hakuna shida. Kikubwa Lissu arudi uraiani.
Yote yanayo fanyika chini ya jua ni ujinga ujinga tu wala hayana maana yoyote.
Hakuna sababu yoyote Lissu kuendelea kuteseka gerezani.
Nimeona video ya Lissu akitembea kwa kuchechemea nimejisikia vibaya Sana.
Kingine ; Lissu ana nyota Kali Sana ya kukubalika kwa watu. Iwe mitandaoni iwe mitaani misikitini kwa makanisani. Kupitia upendo mkubwa unao onyeshwa na watanzania kwa Lissu kuna kitu ambacho universe inajaribu Ku communicate na watanzania kuhusu Lissu.
Maria anawatoboa hatari kila saa anagusa bumunda la mama yenu hahaNdio furaha ya za mariah sarungi upewe wewe...
Mkuu acha hasiraMzee wa tunguli na vitoto vya elfu mbili hapa umenena vyema.
Kuna mtu alikuattack kwenye comment hii sijui kafuta comment zake?Hii ndiyo faida ya kushangilia kifo cha Magufuli
Wewe ni Ke au?inauma sana nimelia mno siku ya jana 🥲😢😭
Apewe dhamana ya nini?Pamoja na kwamba sikubaliani na Lissu kifalsafa ya maisha lakini sipendezwi kabisa na uwepo wake gerezani.
Lissu ni msomi mkubwa.
Alumni wa UDSM.
Ni moja Kati ya think tankers na hazina ya taifa hili la Tanzania.
Gerezani sio sehemu anayopaswa kulala..
Nimezaliwa mwaka 85 nimeanza primary miaka ya tisini. Enzi hizo tuliamini kwamba watu wanao paswa kwenda gerezani ni vibaka na watu kama hao na sio wasomi kama Lissu.
Wakati Lissu anapata admission ya kwenda UDSM sidhani kama wazazi wake waliwahi kuwaza kwamba siku moja anaweza kukaa gerezani.
Kipanga wa darasani kama Lissu.Alumni wa Ilboru then UDSM aende gerezani? Kweli? Usingeweza kutabiri jambo kama hilo kwa mtu kama Lissu.
Imagination is the most best gift that was given to human beings by God the creator cause with the power of imagination you can own what you don't have.
Kwa hili la kutumia nguvu ya imagination ninajaribu kuescape the reality through imagination kwa kuimagine kwamba, Lissu halali gerezani. Analala hotelini. Samia hawezi kukubali mtu kama Lissu alale gerezani. ( Anyways its just imagination).
Nimesema sikubaliani na Lissu kifalsafa na sio kiitikadi.
Mimi naamini maisha ni ujinga ujinga na kwamba tupo duniani kwa ajili ya kustarehe na kuzaliana ili kuijaza dunia ( MWANZO 1:28) .
Tukisha ijaza dunia, Yule alie tuleta duniani ndio atajua afanye nini kwa sababu kiukweli hakuna ajuae sababu halisi kwanini tupo duniani isipokuwa alie tuumba. Anacho taka yeye ni dunia ijae period.
Lissu yeye anaamini maisha ni jambo moja serious Sana ndio maana anatumia nguvu na muda wake mwingi kufanya harakati.
Kwa mvua hii inayo nyesha jijini Dar es salaam, Lissu kukaa ndani sio sahihi. Mawakili wa Chadema fanyeni mnavyo weza Lissu apate dhamana arudi uraiani.
Apambane na kesi yake akiwa uraiani. Gerezani sio powa.
Najua mtasema kesi ya uhaini haina dhamana Ila hiyo haimzuii Lissu kupewa dhamana.
Mimi sio lawyer Ila najua to every general rule there is an exception.
Mnaweza kufanya lobbying mashtaka yakabadilishwa yakawa ya uchochezi then akapewa dhamana hata kama atapewa masharti ya kutojihusisha na hiyo movement yake hakuna shida. Kikubwa Lissu arudi uraiani.
Yote yanayo fanyika chini ya jua ni ujinga ujinga tu wala hayana maana yoyote.
Hakuna sababu yoyote Lissu kuendelea kuteseka gerezani.
Nimeona video ya Lissu akitembea kwa kuchechemea nimejisikia vibaya Sana.
Kingine ; Lissu ana nyota Kali Sana ya kukubalika kwa watu. Iwe mitandaoni iwe mitaani misikitini kwa makanisani. Kupitia upendo mkubwa unao onyeshwa na watanzania kwa Lissu kuna kitu ambacho universe inajaribu Ku communicate na watanzania kuhusu Lissu.
Nakubaliana na wewe ya kwamba Lissu hatakiwi kukaa jela, bali anatakiwa apelekwe Hospitali ya Mirembe Dodoma.Pamoja na kwamba sikubaliani na Lissu kifalsafa ya maisha lakini sipendezwi kabisa na uwepo wake gerezani.