Hakuna sababu yoyote ya Lissu kuendelea kuteseka gerezani

Hawa majizi, mafisadi wenye roho za kigaidi hawatakuelewa kabisa!
 
Ukweli ni kwamba watu wema huchukiwa zaidi kuliko watu wabaya , ikiwa unaweza mfunga mtu jiwe na kumtupa baharini basi imeandikwa na biblia kwamba ni Bora ukafungwe jiwe na kutupwa baharini , kuliko kuwatelekeza ndugu na jamaa zako kwa ajili ya fanaka za bandia . Habari au mwana habari hafi kwasababu ya habari lakini legacy huishi milele kizazi na kizazi,. Aksante mungu kwasbabu ya maisha ya Wana habari na karama ulizo wajalia🙏🇹🇿🇹🇿
 
Yaani,
mpaka police yetu mtu anasakiziwa watu mbwa wamjerui..

Najua ni very bad 😔 police wakipewa oda...ukigoma unauwawa wewe..hawana option.

Watawala hawapendi kukosolewa kupingwa hivyo hii movement iendelee
 
Ni furaha kwa CCM, yaani roho kwatu
 
Naona upo tofauti na wanaosema hata Mandela alikaa sana gerezani, ila wanasema hivyo huku wakiwa makwao na wanawake zao wakipata kaugali na kakipande ka kibua.
 
Apewe dhamana ya nini?
 
Naona upo tofauti na wanaosema hata Mandela alikaa sana gerezani, ila wanasema hivyo huku wakiwa makwao na wanawake zao wakipata kaugali na kakipande ka kibua.
Gerezani sio powa.
 
Reactions: Tsh
Nakubaliana na wewe ya kwamba Lissu hatakiwi kukaa jela, bali anatakiwa apelekwe Hospitali ya Mirembe Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…