Wote wako hivyo hivyo ila huku bara serikali haijawapa kipaumbeleMbona hawa waislamu wa hapa Dar na maeneo mengine ya Tanganyika hawana huu ufala wa waislamu w Zanzibar.
Hakuna sheria hiyo ila kuna ShariahPolisi zanzibar ni waongo sana, hakuna sheria yoyote Zanzibar inamkataza mtu kula wakati wa ramadhani.
Miaka ya nyuma kesi zote zilizopelekwa mahakani mashitaka yalisomeka tofauti, badala ya shitaka la kula mchana wakati wa ramadhani, mashitaka yote yaliletwa mahakamani kwa kosa la uzururaji.
Hakuna sheria zozote hao watu ni wajinga tu.
If you know that Zanzibar is part of Tanzania, not a part of Rome, then in Zanzibar you live like a TanzanianWhen in Rome live like Romans
Old adage
Zanzibar is autonomous! The best they should do is to formalize the issue by enacting a law or Constitution amendment.If you know that Zanzibar is part of Tanzania, not a part of Rome, they in Zanzibar you live like a Tanzanian
Zanzibar is autonomous! The best they should do is to formalize the issue by enacting a law or Constitution amendment.
Kwa hiyo ukienda kwa mashoga na wewe unatakiwa kuwa shogaWhen in Rome live like Romans
Old adage
Shughuli nzito sana hiiKaz Kweli Kweli!!
Kosa la uzururaji lenyewe ni la kizushi sana.Polisi zanzibar ni waongo sana, hakuna sheria yoyote Zanzibar inamkataza mtu kula wakati wa ramadhani.
Miaka ya nyuma kesi zote zilizopelekwa mahakani mashitaka yalisomeka tofauti, badala ya shitaka la kula mchana wakati wa ramadhani, mashitaka yote yaliletwa mahakamani kwa kosa la uzururaji.
Hakuna sheria zozote hao watu ni wajinga tu.
Duuuh hii kali sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo ukienda kwa mashoga na wewe unatakiwa kuwa shoga
Kwa hiyo mahakama za Zanzibar zinatumia Sheria au shariah.Hakuna sheria hiyo ila kuna Shariah