Hakuna sheria Zanzibar inayokataza kula mchana wakati wa ramadhani

Waislam wa tanganyika wako juu kiakili pia wana uzoefu wa kuishi na watu wasio waislam pia Waislam wa huku hata shule sio haba sana

Sasa hayo mataka taka ya zanzibar wanAjikuta wawo ni vituu vya mtume shida ya hicho kisiwa ni elimu duni ogopa sana uwe maskini muislam huna elimu wewe ni hatari zaidi bomu kwa jamii inayokuzunguka
 
Tatizo lao mambo yao yote lazima yaratibiwe kule dodoma.Hawana lolote hao
 
Mkuu hao jamaa ni wahuni tu na wanatumia uhuni kwenye mgongo wa dini, kwanza hao watu wote wanakamatwa majumbani mwao wakila lunch zao, wala sio kwamba walikamatwa mitaani.Pili wazungu hawakamatwi sasa baada ya kusikia malalamiko kwamba mbona ni watanganyika tu mnakamata, wakaja na uhuni mwingine eti kuna wazungu tumewakamata na hotel walizofikia tumewalipisha faini, yaani mtu afanye kosa mitaani hotel uliofikia ipigwe faini?Huu uhuni huwezi kuwaona wale waarabu koko wakifanya.Wanaofanya ni wale wamatumbi tu kwanini?Kwanza wenyewe wanajifanya wamefunga mchana wanakwenda na chakula ndani ya maji wakivua samaki na wanakula uko
 
Kila siku tunasema hapa Muungano uvunjwe, maana upo kitapeli na kinyonyajii, kwan mama kizimkazi si auvunje tyuuh.

Watu tumeshachoka na manjegeka ya wana Paje.
Nyerere alikuwa mjanja sana Mama hawezi kuvunja muungano na hana huwezo huo kwa mazingira ya huu muungano. Mama akivunja muungano Jeshi litavunja serkali.
 
Naomba mwenye kujua sheria inayokataza mtu kuzurura mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…