HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Kila mtu anapuyanga na upepo wake kama unavyoamka na bendera kufuata upepo,leo wako kwa polepole kesho kwa lisu mwisho wake maiti tu za kisiasa.
Huyo dogo kifikra ujanja ana umri sawa na utawala wa sa100 humu Jf.Naona leo sister kakununulia bundle, upo zako sebuleni hapo ukivuta muda wa kuamka kwenye godoro hapo chini ili wajomba wajiandae kwenda Kanisani. Unashusha nyuzi tu humu JF. Huu uzi wako wa 20 asubuhi hii. 😂😂😂😂