Naona leo sister kakununulia bundle, upo zako sebuleni hapo ukivuta muda wa kuamka kwenye godoro hapo chini ili wajomba wajiandae kwenda Kanisani. Unashusha nyuzi tu humu JF. Huu uzi wako wa 20 asubuhi hii. ππππ