Hakuna Taifa lililoendelea kwa kujipendekeza na kujidharau

Mleta mada una mitizamo ambayo imepitwa na muda. Mawazo ya kupenda mambo ya umwamba na kudhibitiana yamesababisha watu wengi kuishi maisha ya umasikini na ya kuungaunga.
Dunia sasa ni kijiji kimoja, watu wanawaza ku-interact kufanya biashara wewe unaleta mifano yako ya kuvimbiana na akina Kamuzu .. Are you stuck in times???
Kuna taratibu na sheria, zinatosha kulinda maslahi yetu na sio kujificha ndani ya mtungi peke yetu!
 
Hiyo haikuwa mikataba na nchi nyingine. Bali ni Ilani ya Chama cha Mapinduzi. Chukua Ilani vilitajwa hivyo vyote. Na nimanufaa kwa nchi yetu. Usikurupuke.
 
Watanzania TT unajua kuwa nyinyi na kundi lenu mmeanzisha kampeni ya kupinga kila jambo analo fanya mama Samia.

Ila mkae mkijua kuwa huyu ndiye rais wa JMT hakuna jinsi mtaweza kumkwamisha.
 
Historia uwa haifutiki. na nimechukulia mfano. Umwamba dunia hii haukwepeki. Marekani ni mwamba, wanaingilia hadi masuala ya ndani ya nchi zingine. Tazama Libya, Iraq, Iran, na Kwingineko. Umwamba wa marekani ulimfanya Korea kaskzini kuwekeza katika siraha nzito za kivita. Tazama Urusi anavyotumia umwamba wake.
Weye ndo unafikiria kizamani enzi za utumwa. Slogan ya wamerekani ni kufanya Taifa lao kuzidi kuwa kubwa na kukontrol dunia.
 
Siku zote lazima ujifunze kwa waliotangulia. Kenya walishatangulia. Lazima tuangalie njia walizopita.

Ukiwa na jeuri kama ya Jiwe Ndio hayo ya kujiaminisha ujinga mwisho wa siku unaanza kuitumbukiza nchi kwenye shimo
Hongera sana kwa comment ya kisomi.
 
Tatizo la hilo kundi ni kuwa hawataki kukubali kazi za mama Samia.

Wanafanya kila hila kuhakikisha kila jambo atalifanya lazima wanalitoa kasoro.

Hawataki kukubali yaliyo wakuta ili waendelee na maisha .
 
Watanzania TT unajua kuwa nyinyi na kundi lenu mmeanzisha kampeni ya kupinga kila jambo analo fanya mama Samia.

Ila mkae mkijua kuwa huyu ndiye rais wa JMT hakuna jinsi mtaweza kumkwamisha.
nadhani hakuna sehemu nimesema simtaki. Nampenda na ninamkubali. Lakini anapokosea hata yeye kasema tumkosoe. kukosoa si kupinga au kutompenda. mtoto hakikosea hakuna mzazi atamwacha mtoto bali umkanya na kumwonyesha njia. na sijatumia lugha mbaya. Bali mnaotafuta vyeo kujipendekeza na kusifia kila kitu ndo mnao haribu uongozi wa mama.
 
Pumbaf zako wewe mpinga kazi za rais mama Samia.
 
Mwacheni mama kama mlivyomuacha kila kiongozi aongoze kwa maono yake. Tumenyweshwa mitishamba hapa mlikuwa kimya. Mama Samia mitano tena.
 
Siku zote lazima ujifunze kwa waliotangulia. Kenya walishatangulia. Lazima tuangalie njia walizopita.

Ukiwa na jeuri kama ya Jiwe Ndio hayo ya kujiaminisha ujinga mwisho wa siku unaanza kuitumbukiza nchi kwenye shimo
Ninachoshindwa kuelewa ni kuhusu Kenya kutangulia, fafanueni kidogo ili na sisi tuelewe.

Kwamba walipopata uhuru, kulikuwa na a,b,c na sasa wana d,e,f. Tukiondoa vya kurithi vyote...

SA wako mbele sana, lakini ni wao kweli ndo waliisogeza nchi mbele au wale waliowafukuza?

Kenya haikuwa koloni, ilikuwa sehemu ya Uingereza, waliijenga kama sehemu ya nchi yao, ni faida mojawapo Kenya waliyoipata, kinyume na hapo, angalia ardhi, wangapi wanamilika na wanakfanyia nini?
 
Tunawajua nia yenu ni kutaka kumkwamisha lkn hamtaweza na mtaishia kubwabwaja tu .

Mtu wenu alishajiondokea na hawezi kamwe kurudi hapa duniani hivyo mkubali kuwa hakuna marefu yasiyo na ncha.

Mwacheni mama yetu ainyooshe nchi ambayo ilifubazwa na siasa za kimabavu za mwenda zake.
 
Mwacheni mama kama mlivyomuacha kila kiongozi aongoze kwa maono yake. Tumenyweshwa mitishamba hapa mlikuwa kimya. Mama Samia mitano tena.
Hiyo ni mijitu ya hovyo kabisa
 
Pumbaf zako wewe mpinga kazi za rais mama Samia.
Huo upumbavu unao wewe amabe akili fupi zinakutuma utukane. Nyani haoni kundule. Siku zote akili fupi ufikiria kutukana kwa sababu haijui kujenga hoja. Rais Samia anakubali kukosolewa. Haitaji watu wanao jipendekeza kama wewe.
Na kutukana uwezi zuia mawazo yangu hata siku moja kikbwa inaonesha kutoelemika kwako. Hata kama umesoma namna gani.
 
Mwacheni mama kama mlivyomuacha kila kiongozi aongoze kwa maono yake. Tumenyweshwa mitishamba hapa mlikuwa kimya. Mama Samia mitano tena.
Mama rais wetu kaomba akosolewe pale anapokosea.
 
Nikuhakikishie kuwa hamtaweza kumzuia mama kufanya kazi ngumu ya kulinyoosha taifa na kurudisha umoja ndani ya nchi mlio iharibu.

Kitendo cha kurudisha uhusiano wetu na majirani zetu kimewaumiza maana mnajua kuwa sasa mama anaanza kufagia maovu yaliyofanywa na mtangulizi wake.
 
Siishi kwa ushabiki na kujimbembeleza na uwa nimsema kweli daima hata akiwa mazazi wangu kakosea nitampa maoni yangu. mama anapenda kukoselewa na kuambiwa ukweli. Weye mwenye kusifu kila kitu ndo utaemwangusha. Huo sio upendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…