crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,864
- 2,955
Hamna aliyesema Historia inafutika ila lazima tukubali Dunia inabadilika, hivyo na jinsi watu wanavyoishi inabadilika. Huwezi kuzuia kijana wa Kimasai na Kimang’ati leo kutengeneza mahusiano kufanya biashara kisa nyie mababu mlikuwa mnaibiana ng’ombe zamani na kuchapana bakora!Historia uwa haifutiki. na nimechukulia mafano. Umwamba dunia hii haukwepeki. Marekani ni mwamba, wanaingilia hadi masuala ya ndani ya nchi zingine. Tazama Libya, Iraq, Iran, na Kwingineko. Umwamba wa marekani ulimfanya Korea kaskzini kuwekeza katika siraha nzito za kivita. Tazama urusi anavyotumia umwamba wake.
weye ndo unafikiria kizamani enzi za utumwa. Slogan ya wamerekani ni kufanya Taifa lao kuzidi kuwa kubwa na kukontrol dunia.
Again, sheria, kanuni na taratibu zinatosha kulinda maslahi ya nchi. Kama haziwezi zifanyiwe amendements. Tumwache Mama afanye kazi.