Hakuna Taifa lililoendelea kwa kujipendekeza na kujidharau

Paragraph iko wapi wewe mbuzi.

Mimi naona lundo la maandishi. Takataka kabisa
Mropokaji weye! Na mvivu wa kusoma. Kama mimi mbuzi weye utakuwa nani? Heri mbuzi kuliko Binadamu asiye jitambua na mwenye akili fupi. Mbuzi ni moja ya wanyama wenye akili na wasafi.
Kuliko mtu aloumbwa lakini mbuzi anamzidi kwa maarifa. Kwa sababu hujitambui na unadhani kutukana ndo solution katika maisha.
Kwanza kujibizana nawe ni kupoteza muda, mtu alie punguani udhani matusi ndo mtaji.
 
Haya. Tumekusikia. Unanung'unika, kuuma na kupuliza. Mataga na wana-Lumumba mupo na hoja?
Sina haja ya kuwa mataga wala Lumumba. Na sijawahi ikanyaga hata hiyo Lumumba. Na sina utimu. Nipo zangu nje naendelea na maisha yangu. Sihitaji timu yoyote wala ushabiki.
 
Tanzania ndo Taifa pekee hasa kwa miaka ya sasa ambapo kuanzia viongozi wake na wananchi ujidharau na kusifia mataifa mengine kwa kujipendekeza.

Wakati wa Baba wa Taifa haya mambo hayakuwepo. Hatukubembeleza mtu au Taifa. Hata Jomo Kenyatta enzi hizo alionja shubiri za Nyerere. Si mara ya kwanza Tanzania kuwa na vita ya maneno na ya kiuchumi na Kenya.

Rais Kamuzu Banda pia aliwahi onja joto ya jiwe. Nakumbuka mashuleni hadi tuliimba. "Banda wa malawi katuvalia ngozi simba, kututishia watanzania hatujali...hatujalii. Watanzania tulisimama wamoja. Banda kwa mkwara tu akafyata mkia. Lakini bado Tanzania tulibaki imara (Kwa sauti ya Msechu)

Viwanda viliendelea, tulisoma bure kuanzia chekechea au vidudu hadi chuo kikuu. Tulisafirishwa bure kwa wale wa boarding. Tulipewa daftari na kalamu shuleni. Kulikuwa pia na magari ya shule. Maduka ya serikali na mabasi ya serikali kila mkoa. Kulikuwa na viwanda mikoa mingi. Mabus ya wafanyakazi. Kulikuwa na bustani au park zilitunzwa vizuri. Watu tulienda kupumzika mandhari nzuri na familia. Miji ilipangiliwa. Barabara nyingi zilikuwa na miti pembeni. Leo hakuna kitu. Sijui vilienda wapi.

Pamoja na kiburi chetu hakuna kubembeleza. Tulifunga balozi hadi za uingereza na kukataa misaada yao. Ujerumani Mashariki nao tukawagomea. Israel na wengineo lkn bado Tanzania tulieshimika duniani.

Leo tumekuja na siasa za kubembeleza. Kujipendekeza, kusifia wengine. Leo Watanzania tunaona Wakenya kama ndo wakombozi wa uchumi wetu. Miungu wetu. Leo tunawapa rukhsa waingie mbungani kwetu. Wawe huru. Wawekeze kila sehemu. Ni vizuri. Lakini tunaijua vema Kenya? Nani alivunja umoja wa Afrika mashariki? Nani alidhurumu mali za umoja huo? Nani alitumiwa na majasusi kuvunja huo umoja?

Eti leo economic democracy yetu ni kujiona sisi wajinga ila mataifa mengine ni wajanja. Kazi yetu ni ziara za kusaini mikataba tunayopewa kusaini. Hata hatuna muda wakufikiria. Kisa hatutaki hudhi mtu.

Naomba ziara zingine watanzania tuwe tuna taarifiwa kabla ili tujue nini kinaenda fanyika na pia kama ni mikataba ijadiliwe kwanza bungeni na watanzania tuelewe.

Mtamsema sana vibaya Mwl. Nyerere lakini hatabaki kuwa mdiplomasia wa hali ya juu. Alikuwa mbabe lkn bado aliheshimika na mataifa makubwa.

Mtamsema vibaya na kumtukana Magufuli lkn nchi nyingi zilimtambua kuwa alisimama kwa masilahi mapana ya Tanzania. Hata Mkapa hakuwa na siasa za kubembeleza mataifa ya nje.

Angalia marekani, Uchina, Uingereza, Ujerumani na mataifa mengine wapi wanasera za kubembeleza na kusifia mataifa mengine. USA ilifikia sehemu kuweka vikwazo katika biashara na nchina japo USA inamtegemea China kwa biashara. Kikubwa ni kuangalia maslahi mapana ya nchi.

Eti leo tunasifia wakenya wanademokrasia zaidi ya Tanzania. Ni vizuri. Watanzania wanabaki kujidharau. Wanajiona wao si kitu. Kweli katika kukua tunaona mengi. Kujipendejeza sio kusifiwa ni kuzidi kudharaulika tu. Magufuli alikuwa mkorofi na mbabe. Lakini Tanzania iliheshimika. Hakuongea kiingereza lkn hotuba zake zilifatiliwa dunia nzima kusikia nini atasema. UN wenyewe walikubali kuwa alikuwa mtu aliependa Taifa lake na Afrika.

Korea kaskazini aijipendekezi lkn Marekani wanaogopa na kuheshimu Korea kaskazini. Duniani hapa mataifa makubwa yenye nguvu yote yalitumia ubabe.

Hata ukoloni ulifanyika kwa ubabe ili watawala wapate watakacho. Hata katika Biblia watawala hakuna alie kuwa lele mama. Hakuna alie jipendekeza na kusifia wengine.

Haya twendelee na kusifia, kubembeleza na kujipendekeza tuone hayo maendeleo. Hii awamu ya (-6<+4) imenikumbusha mbali hesabu za mlinganyo na magazijuto.

Hongera Rais wetu Samia Suluhu Hassan. Nakupenda ila kuwa makini na washauri wako. Hasa huyo ambae wakati wake nchi ilimshinda. Hata alipoulizwa kwanini Tanzania ni masikini wakati ina kila kitu. Alijibu hata yeye hajui na anashangaa kwanini Tanzania ni masikini. Ulikiri mwenyewe hotuba yako ya Bungeni kuwa anakushauri sana pamoja na yule bwana aliesema ataendeleza majengo alojenga babake lakini hakashindwa akabakiza majungu tu kule kwetu minazini.

Baba yake alikuwa na aakili kubwa. Ange kuwepo kule minazini kungekuwa dubai ndogo. Tusisingizie Muungano. Tunapotezwa tu. Yule baharia aliijenga nchi yetu ya minazini wakati huo huo wa muungano. Hata Dar wakati huo haikujengwa kama baharia alivyo ijenga minazini. Leo tunabaki lalamikia muungano badala ya kujikita kuijenga nchi yetu.

Yangu macho. Twendelee kujipendekeza. Kusifia na kuona sisi hatuwezi jenga uchumi wetu isipokuwa wawekezaji. China ilikuwa sawa na Tanzania miaka ya nyuma. Leo ni Taifa kubwa. Je, walitumia sera ya kujipendekeza na kusifia wengine na kujidharau?

Wachina walifanya kazi hawakutegemea wawekezaji uchwara kama Kenya. Walisomesha vijana wao nje, wakaiba tekinolojia toka mataifa makubwa. Wakaunda tekinolojia yeo. Rushwa ikapigwa vita ni kunyongwa tu. Taifa likasimama.

Watanzani leo hatuna scholarship kwa ajili ya Watanzania pekee kama yalivyo mataifa mengine. Mfano Afrika Kusini, Nigeria, Ethiopia na mengineyo hasa kwenda kusoma nje. Nashangaa balozi zetu hazina ubunifu.

Viongozi wengi tulionao leo walipelekwa kusoma nje na serikali. Leo wamekuwa wabinafsi.

Tanzania tu vijana wanaakili kwenye ubunifu na sayansi. Tuwatumie hawa. Tuwajari. Nchi imebaki majungu. Nchi imekuwa siasa kila kitu. Tunajenga shortcut ya maisha.

Viongozi tuwe na maono. Maendeleo hayaji kwa kujipendekeza. Watu watapata machungu ya maisha ila baadae wataenjoy. Nchi zote upitia huko. Ndo tutaona maendeleo ya kweli.

Karibu tena Ikulu kwa remote control. Nawe waziri wa mambo ya nje ulikuwa katibu Mkuu wa wizara ya mambo ya nje wakati wa team Msoga. Uliishia kutuletea Bush, Obama na hatukuona tija. Tulipata neti za mbu pekee.

Rais na baraza na taasisi waliishia kwenda nje. Nakuomba ubadilike. Mshauri vizuri mama. Najua anashaurika na akitulia ni kiongozi na Rais mzuri.
Wataishia kukutukana ila haohao ndio watakuwa wa kwanza kulalamika maana wanaishi kwa ndoto hewa
 
Swali ni Nani aliewatetemekea?? Ujue Kuna mambo ni yakipuuzi Sana...uko kuwatetemekea ni kukoje acheni siasa za kale za kipuuzi ambaz hazijengi chchte zaidizaid zinaukiza wananchi ambao biashara na kazi zao zinamuingiliano na hilo taifa...mama kafanya heko Sana wafanyabiashara wa mahindi walikuwa wana stress na hali mbaya kisa ubabe uchwara.....
Hiyo ipo wazi watanzania mnawatetemekea wakenya. Na wakenya ulijua hilo, ndo maana wanawadharau watanzania. katika mikataba iliyosainiwa unadhani anae enda kufaidi ni nani? Kenya wameshinda.
 
Na Hakuna Taifa litakaloendelea likijingia ndani peke yake kana Kwamba liko kisiwani.

Mataifa yanategemeana katika kuyafikia maendeleo.
 
Hakuna alie sema Tanzania ijifungie nadhani ujaelewa mada. Tanzania imekuwa na ushirikiano wa nchi zingine kwa muda mrefu na hata wakati wa Magufuli balozi nyingi zilifunguliwa hadi balozi wa Isarael amabo nyerere aliufunga. Tusipotoshe!
 
Wakenya wameendelea nini ? Wana uchumi wa kati sawa nasi. Uchumi wao unatawaliwa na wachache. Ardhi inamilikiwa na wachache. Huku familia ya Kenyatta ikimiliki asilimia karibu 70 ya hyo nchi.
Nyerere hakuwa kuitetemekea. Na kunawakati alifunga mipaka. Eti Kenya wameendelea. Hujui Kenya.
labda mkuu wewe ungependekeza afanyaje?!!
au unaijua mipango yake yote kwamba kwanini kenya na baada ya kenya ataenda wapi na kwanini n.k?
 
Tanzania ndo Taifa pekee hasa kwa miaka ya sasa ambapo kuanzia viongozi wake na wananchi ujidharau na kusifia mataifa mengine kwa kujipendekeza.

Wakati wa Baba wa Taifa haya mambo hayakuwepo. Hatukubembeleza mtu au Taifa. Hata Jomo Kenyatta enzi hizo alionja shubiri za Nyerere. Si mara ya kwanza Tanzania kuwa na vita ya maneno na ya kiuchumi na Kenya.

Rais Kamuzu Banda pia aliwahi onja joto ya jiwe. Nakumbuka mashuleni hadi tuliimba. "Banda wa malawi katuvalia ngozi simba, kututishia watanzania hatujali...hatujalii. Watanzania tulisimama wamoja. Banda kwa mkwara tu akafyata mkia. Lakini bado Tanzania tulibaki imara (Kwa sauti ya Msechu)

Viwanda viliendelea, tulisoma bure kuanzia chekechea au vidudu hadi chuo kikuu. Tulisafirishwa bure kwa wale wa boarding. Tulipewa daftari na kalamu shuleni. Kulikuwa pia na magari ya shule. Maduka ya serikali na mabasi ya serikali kila mkoa. Kulikuwa na viwanda mikoa mingi. Mabus ya wafanyakazi. Kulikuwa na bustani au park zilitunzwa vizuri. Watu tulienda kupumzika mandhari nzuri na familia. Miji ilipangiliwa. Barabara nyingi zilikuwa na miti pembeni. Leo hakuna kitu. Sijui vilienda wapi.

Pamoja na kiburi chetu hakuna kubembeleza. Tulifunga balozi hadi za uingereza na kukataa misaada yao. Ujerumani Mashariki nao tukawagomea. Israel na wengineo lkn bado Tanzania tulieshimika duniani.

Leo tumekuja na siasa za kubembeleza. Kujipendekeza, kusifia wengine. Leo Watanzania tunaona Wakenya kama ndo wakombozi wa uchumi wetu. Miungu wetu. Leo tunawapa rukhsa waingie mbungani kwetu. Wawe huru. Wawekeze kila sehemu. Ni vizuri. Lakini tunaijua vema Kenya? Nani alivunja umoja wa Afrika mashariki? Nani alidhurumu mali za umoja huo? Nani alitumiwa na majasusi kuvunja huo umoja?

Eti leo economic democracy yetu ni kujiona sisi wajinga ila mataifa mengine ni wajanja. Kazi yetu ni ziara za kusaini mikataba tunayopewa kusaini. Hata hatuna muda wakufikiria. Kisa hatutaki hudhi mtu.

Naomba ziara zingine watanzania tuwe tuna taarifiwa kabla ili tujue nini kinaenda fanyika na pia kama ni mikataba ijadiliwe kwanza bungeni na watanzania tuelewe.

Mtamsema sana vibaya Mwl. Nyerere lakini hatabaki kuwa mdiplomasia wa hali ya juu. Alikuwa mbabe lkn bado aliheshimika na mataifa makubwa.

Mtamsema vibaya na kumtukana Magufuli lkn nchi nyingi zilimtambua kuwa alisimama kwa masilahi mapana ya Tanzania. Hata Mkapa hakuwa na siasa za kubembeleza mataifa ya nje.

Angalia marekani, Uchina, Uingereza, Ujerumani na mataifa mengine wapi wanasera za kubembeleza na kusifia mataifa mengine. USA ilifikia sehemu kuweka vikwazo katika biashara na nchina japo USA inamtegemea China kwa biashara. Kikubwa ni kuangalia maslahi mapana ya nchi.

Eti leo tunasifia wakenya wanademokrasia zaidi ya Tanzania. Ni vizuri. Watanzania wanabaki kujidharau. Wanajiona wao si kitu. Kweli katika kukua tunaona mengi. Kujipendejeza sio kusifiwa ni kuzidi kudharaulika tu. Magufuli alikuwa mkorofi na mbabe. Lakini Tanzania iliheshimika. Hakuongea kiingereza lkn hotuba zake zilifatiliwa dunia nzima kusikia nini atasema. UN wenyewe walikubali kuwa alikuwa mtu aliependa Taifa lake na Afrika.

Korea kaskazini aijipendekezi lkn Marekani wanaogopa na kuheshimu Korea kaskazini. Duniani hapa mataifa makubwa yenye nguvu yote yalitumia ubabe.

Hata ukoloni ulifanyika kwa ubabe ili watawala wapate watakacho. Hata katika Biblia watawala hakuna alie kuwa lele mama. Hakuna alie jipendekeza na kusifia wengine.

Haya twendelee na kusifia, kubembeleza na kujipendekeza tuone hayo maendeleo. Hii awamu ya (-6<+4) imenikumbusha mbali hesabu za mlinganyo na magazijuto.

Hongera Rais wetu Samia Suluhu Hassan. Nakupenda ila kuwa makini na washauri wako. Hasa huyo ambae wakati wake nchi ilimshinda. Hata alipoulizwa kwanini Tanzania ni masikini wakati ina kila kitu. Alijibu hata yeye hajui na anashangaa kwanini Tanzania ni masikini. Ulikiri mwenyewe hotuba yako ya Bungeni kuwa anakushauri sana pamoja na yule bwana aliesema ataendeleza majengo alojenga babake lakini hakashindwa akabakiza majungu tu kule kwetu minazini.

Baba yake alikuwa na aakili kubwa. Ange kuwepo kule minazini kungekuwa dubai ndogo. Tusisingizie Muungano. Tunapotezwa tu. Yule baharia aliijenga nchi yetu ya minazini wakati huo huo wa muungano. Hata Dar wakati huo haikujengwa kama baharia alivyo ijenga minazini. Leo tunabaki lalamikia muungano badala ya kujikita kuijenga nchi yetu.

Yangu macho. Twendelee kujipendekeza. Kusifia na kuona sisi hatuwezi jenga uchumi wetu isipokuwa wawekezaji. China ilikuwa sawa na Tanzania miaka ya nyuma. Leo ni Taifa kubwa. Je, walitumia sera ya kujipendekeza na kusifia wengine na kujidharau?

Wachina walifanya kazi hawakutegemea wawekezaji uchwara kama Kenya. Walisomesha vijana wao nje, wakaiba tekinolojia toka mataifa makubwa. Wakaunda tekinolojia yeo. Rushwa ikapigwa vita ni kunyongwa tu. Taifa likasimama.

Watanzani leo hatuna scholarship kwa ajili ya Watanzania pekee kama yalivyo mataifa mengine. Mfano Afrika Kusini, Nigeria, Ethiopia na mengineyo hasa kwenda kusoma nje. Nashangaa balozi zetu hazina ubunifu.

Viongozi wengi tulionao leo walipelekwa kusoma nje na serikali. Leo wamekuwa wabinafsi.

Tanzania tu vijana wanaakili kwenye ubunifu na sayansi. Tuwatumie hawa. Tuwajari. Nchi imebaki majungu. Nchi imekuwa siasa kila kitu. Tunajenga shortcut ya maisha.

Viongozi tuwe na maono. Maendeleo hayaji kwa kujipendekeza. Watu watapata machungu ya maisha ila baadae wataenjoy. Nchi zote upitia huko. Ndo tutaona maendeleo ya kweli.

Karibu tena Ikulu kwa remote control. Nawe waziri wa mambo ya nje ulikuwa katibu Mkuu wa wizara ya mambo ya nje wakati wa team Msoga. Uliishia kutuletea Bush, Obama na hatukuona tija. Tulipata neti za mbu pekee.

Rais na baraza na taasisi waliishia kwenda nje. Nakuomba ubadilike. Mshauri vizuri mama. Najua anashaurika na akitulia ni kiongozi na Rais mzuri.
Hizo enzi unazoziongelea ni takriban miaka 50 iliyopita na pamoja na hayo mengine uliyoelezea hapo juu kwa ufupi nakumbuka na yafuatayo ambayo ni vyema pia yakatumika kuweka sawa muktadha wa zama unazoziongelea:

(i) chama cha siasa kilikuwa ni kimoja peke yake na kilikuwa kimeshika hatamu,
(ii) njia kuu za uchumi zilikuwa chini ya usimamizi wa serikali na wafanyabiashara wachache wenye asili ya mashariki ya kati na Kiasia - tulinunua sukari kwa kibali cha DC na kwa sisi tuliokulia vijijini tulishuhudia mashamba ya ushirika ya vijiji ambayo yalilimwa na wananchi wote ila mazao yake walijua viongozi yalipopelekwa.
(iii) hakukuwa na TV na ilikuwa marufuku kuinunua isipokuwa kwa kibali,
(iv) hakukuwa na radio binafsi,
(v) hakukuwa na magazeti binafsi,
(vi) hakukuwa na mobile phones wala mtandao (internet),
(vii) nchi kadhaa za afrika zilikuwa bado kwenye ukoloni mkongwe,
(viii) TV zilikuwa hakuna pasi na kibali maalum, Magari yalikuwa ya Serikali (Landrover 109 series) na ya wafanya biashara wachache wenye asili ya kiarabu na kiasia,
(ix) Mipaka ya majirani ilikuwa imefungwa; yaani mipaka ya nchi za Kenya Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi, Msumbiji sikumbuki vyema kuhusu Zambia kwani ilikuwa nchi rafiki
(x) siasa zilizokuwepo zilikuwa za ujamaa na Kujitegemea.
(xi) nchi likuwa na raia takriban milioni 10.
(xii) Kulikuwa na pande tatu kubwa kwenye siasa za kimataifa - yaani Magharibi ikiongozwa na Marekani (Mabepari), Mashariki ikiongozwa na urusi (Wasoshalisti) na nchi zisizofungamana na upande wowote - nyingi zikiwa nchi za ulimwengu wa tatu na sisi tulikuwa wanachama. Hii ilitumika kama mbinu ya kidiplomasia ya kuweza kushirikiana na pande zote mbili zilizokuwa zinahasimiana.
(xiii) Mashirika ya misaada ya magharibi kama DANIDA, SIDA, USAID yalitamalaki kwenye sekta za elimu, afya, maji etc.

Kwa ufupi hoja ninayojenga ni kuwa huwezi kuendesha nchi leo kwa kutumia mbinu na falsafa za miaka 50 iliyopita. Lazima tuwe na mbinu za karne hii ikiwemo mahusiano ya kimataifa au diplomasia ya kiuchumi (siyo kubembeleza kama unavyodai) na kuvutia mitaji ya kimataifa kuwekeza nchini wakati tukiwajengea watu wetu mitaji ili washiriki kwenye uwekezaji pia.
 
Watanzania TT unajua kuwa nyinyi na kundi lenu mmeanzisha kampeni ya kupinga kila jambo analo fanya mama Samia.

Ila mkae mkijua kuwa huyu ndiye rais wa JMT hakuna jinsi mtaweza kumkwamisha.

Lugha yako hiyo mbona hukuitumia wakati wa mtangulizi wake?
 
Wakenya wameendelea nini ? Wana uchumi wa kati sawa nasi. Uchumi wao unatawaliwa na wachache. Ardhi inamilikiwa na wachache. Huku familia ya Kenyatta ikimiliki asilimia karibu 70 ya hyo nchi.
Nyerere hakuwa kuitetemekea. Na kunawakati alifunga mipaka. Eti Kenya wameendelea. Hujui Kenya.
Wewe unajua maana ya asilimia 70 hau unaboresha umagufulication ulioandika?

Hayo ni mawazo yako hata wakenya nao wanalalamika Uhuru kaiuza Kenya
Screenshot_20210506-113244.jpg
 
Swali hao matajiri walipataje utajiri wao kihalali au kuuibia serikali. Mbona matajiri kama Bakheresa akina Dewji biashara yao ni halali na hatuwasikii wakilalamika au kusema wanaonewa. Wala kusikia wanakwepa kodi. Tanzania kuna matajiri wengi waliokula fedha ya serikali isivyokihalali na wengine kuhusika na madawa ya kulevya.
Nchini Sweden kuna makampuni Makubwa yalibanwa kodi na serikali wakaamua kukimbia nchi, lakini baadae walirejea kwani hata huko walikokwenda walibanwa. Watanzania matajiri wanachukia kodi hasa wale wanaojua wanafanya biashara kijanjanja.
Watanzania tubadilike tulipe kodi. Tusipende dezo. Kodi ndiyo itabadili maisha yetu.
Hakuna Mtu anayekataa kulipa kodi ila iwe kodi inayolipika, hao matajiri unaosema, wanalalamika pia ila huwezi kusikia, hakuna feza za Serikali, feza ni za wananchi na serikali wameiweka wao, Na ni Wananchi wanasema kodi ni nyingi na Kubwa hazilipiki, Raisi amesikia Wananchi anarekebisha.
 
Una ubishi wa kitoto. ATCL ilikuwa imekufa, hata hukumbuki juhudi za kuifufua na kuanza biashara ni lini.
Kwahiyo kuifufua ndiyo green light ya kuwafanya mpate hasara ya 150 billion?

Huu ni ufisadi wa hali ya juu kuwahi kufanyika hapa nchini tanzania.
 
Siasa za Wapinzani hasa Chadema zimeharibu sana hii Nchi Tuzidi kumuomba Mungu manake Mambo ni mengi muda ni Mchache sana Kila nafsi itaonja umauti!!!
Wapiinzani walichoma moto vifaranga vya kenya, wakapiga mnada ng'ombe za wakenya, wakasababisha mahindi ya tanzania yakazuiwa kuingia kenya, wakawatuma wakuu wa mikoa kuleta ubabe mipakani. ili kuharibu ujirani mwema, mwenyekiti wao akasema tutembee kifua mbere maana sisi ni dona kantre
 
Kwanini watu mnaandika upumbavu maneno mengi hivi?

Enzi za Nyerere kuna mataifa tulikuwa hatujubaliani kwenye baadhi ya mambo lakini hayakuwahi kuwa maadui zetu.

Kwanza, Kuwa na migogoro na majirani siyo ufahari.

Pili, Kujisahihisha na kukubali jema la mwenzio siyo kujidharau wala udhaifu.

Ingekuwa ni kujidharau basi Wamarekani wangekuwa ni dhaifu sana.

Hakuna nchi inayoongoza kwa kujifanya iko chini kama Marekani. Sasa hivi ukiwasoma wamarekani mara zote wanaonesha kama nchi yako inaenda kupitwa na China au inazidiwa na China kwa baadhi ya mambo.

Una akili ndogo sana.
Wamarekani wanajishusha? Huwajui wamarekani wewe.

Hofu ya Marekani kuhusu China ni hofu halisi na wala si utani. China ni economic giant kwelikweli hakuna anachoweza marekani ambachi China hawezi. Advantage pekee waliyo nayo wamarekani ni nguvu ya kidiplomasia kutokana na umaarufu wa Marekani wa zamani. Lakini linapokuja suala la uwezo, kile ambacho mmarekani anaweza, China anaweza pia au zaidi. Leo hii China anaweza kufinance projects kubwa kubwa barani Afrika na duniani kote, kitu amabacho Marekani hawezi. Na hilo linawatisha kweli kweli wamarekani.
 
Hapo kwenye taratibu na sheria ndo kwenye tatizo na wazalendo wa kweli wanaogopa hapo.

Sheria na taratibu hizo si ndo zilitupatia DOWANS, IPTL, AGGREKO, ile migodi ya kubadili majina kila leo na kutuachia mashimo, hotel kubadili majina kila uchwao, ujangili, ufisadi uliotukuka na wa wazi, upigwaji wa pesa za KILIMO KWANZA na TASAF, magendo bandarini, kuuziana mali za umma kwa bei ya kutupa, kudhani baada ya miaka 100, majengo ya M/City yatakuwa na thamani kwetu, watoto wa vigogo kushikilia nafasi zote za ajira nono kwa memo, gesi kuuzwa kwa dharula, ekari za ardhi kwa mamilioni kujimilikisha vigogo na ndugu zao bila kuendeleza......and the list goes on.

Hizo ndo Sheria na taratibu tulizonazo, zinazolinda upuuzi na kufungulia majangili kuingia ndani.

Zingekuwa za maana sana, kuna majina yasingeendelea kusikika tena nchi hii, na wengi wasingeogopa hayo yanayotakiwa kufanyika sasa.

Choreni ramani upya, andaeni wapambanaji wenu vyema, kisha fungua milango ukijua kabisa kila mtu anajua cha kufanya.

Kifikra;
WaTz waajiriwa ni 1%
Wenye elimu productive hawafiki 10%
Wasioelewa mambo yanakwendaje ni zaidi ya 50%
Wakulima/wafugaji wa mazoea ni 20%

Sasa, Hotelia wamejaa wageni, viwandani wamejaa wageni, mashamba makubwa ni ya wageni, migodini ni wageni, biashara ni wageni, miundombinu ni wageni...waache waje
Kwahiyo tujifungie ndani kwa sababu hatuwezi kusimamia sheria na taratibu zetu zilizopo?!?
 
Tanzania ndo Taifa pekee hasa kwa miaka ya sasa ambapo kuanzia viongozi wake na wananchi ujidharau na kusifia mataifa mengine kwa kujipendekeza.

Wakati wa Baba wa Taifa haya mambo hayakuwepo. Hatukubembeleza mtu au Taifa. Hata Jomo Kenyatta enzi hizo alionja shubiri za Nyerere. Si mara ya kwanza Tanzania kuwa na vita ya maneno na ya kiuchumi na Kenya.

Rais Kamuzu Banda pia aliwahi onja joto ya jiwe. Nakumbuka mashuleni hadi tuliimba. "Banda wa malawi katuvalia ngozi simba, kututishia watanzania hatujali...hatujalii. Watanzania tulisimama wamoja. Banda kwa mkwara tu akafyata mkia. Lakini bado Tanzania tulibaki imara (Kwa sauti ya Msechu)

Viwanda viliendelea, tulisoma bure kuanzia chekechea au vidudu hadi chuo kikuu. Tulisafirishwa bure kwa wale wa boarding. Tulipewa daftari na kalamu shuleni. Kulikuwa pia na magari ya shule. Maduka ya serikali na mabasi ya serikali kila mkoa. Kulikuwa na viwanda mikoa mingi. Mabus ya wafanyakazi. Kulikuwa na bustani au park zilitunzwa vizuri. Watu tulienda kupumzika mandhari nzuri na familia. Miji ilipangiliwa. Barabara nyingi zilikuwa na miti pembeni. Leo hakuna kitu. Sijui vilienda wapi.

Pamoja na kiburi chetu hakuna kubembeleza. Tulifunga balozi hadi za uingereza na kukataa misaada yao. Ujerumani Mashariki nao tukawagomea. Israel na wengineo lkn bado Tanzania tulieshimika duniani.

Leo tumekuja na siasa za kubembeleza. Kujipendekeza, kusifia wengine. Leo Watanzania tunaona Wakenya kama ndo wakombozi wa uchumi wetu. Miungu wetu. Leo tunawapa rukhsa waingie mbungani kwetu. Wawe huru. Wawekeze kila sehemu. Ni vizuri. Lakini tunaijua vema Kenya? Nani alivunja umoja wa Afrika mashariki? Nani alidhurumu mali za umoja huo? Nani alitumiwa na majasusi kuvunja huo umoja?

Eti leo economic democracy yetu ni kujiona sisi wajinga ila mataifa mengine ni wajanja. Kazi yetu ni ziara za kusaini mikataba tunayopewa kusaini. Hata hatuna muda wakufikiria. Kisa hatutaki hudhi mtu.

Naomba ziara zingine watanzania tuwe tuna taarifiwa kabla ili tujue nini kinaenda fanyika na pia kama ni mikataba ijadiliwe kwanza bungeni na watanzania tuelewe.

Mtamsema sana vibaya Mwl. Nyerere lakini hatabaki kuwa mdiplomasia wa hali ya juu. Alikuwa mbabe lkn bado aliheshimika na mataifa makubwa.

Mtamsema vibaya na kumtukana Magufuli lkn nchi nyingi zilimtambua kuwa alisimama kwa masilahi mapana ya Tanzania. Hata Mkapa hakuwa na siasa za kubembeleza mataifa ya nje.

Angalia marekani, Uchina, Uingereza, Ujerumani na mataifa mengine wapi wanasera za kubembeleza na kusifia mataifa mengine. USA ilifikia sehemu kuweka vikwazo katika biashara na nchina japo USA inamtegemea China kwa biashara. Kikubwa ni kuangalia maslahi mapana ya nchi.

Eti leo tunasifia wakenya wanademokrasia zaidi ya Tanzania. Ni vizuri. Watanzania wanabaki kujidharau. Wanajiona wao si kitu. Kweli katika kukua tunaona mengi. Kujipendejeza sio kusifiwa ni kuzidi kudharaulika tu. Magufuli alikuwa mkorofi na mbabe. Lakini Tanzania iliheshimika. Hakuongea kiingereza lkn hotuba zake zilifatiliwa dunia nzima kusikia nini atasema. UN wenyewe walikubali kuwa alikuwa mtu aliependa Taifa lake na Afrika.

Korea kaskazini aijipendekezi lkn Marekani wanaogopa na kuheshimu Korea kaskazini. Duniani hapa mataifa makubwa yenye nguvu yote yalitumia ubabe.

Hata ukoloni ulifanyika kwa ubabe ili watawala wapate watakacho. Hata katika Biblia watawala hakuna alie kuwa lele mama. Hakuna alie jipendekeza na kusifia wengine.

Haya twendelee na kusifia, kubembeleza na kujipendekeza tuone hayo maendeleo. Hii awamu ya (-6<+4) imenikumbusha mbali hesabu za mlinganyo na magazijuto.

Hongera Rais wetu Samia Suluhu Hassan. Nakupenda ila kuwa makini na washauri wako. Hasa huyo ambae wakati wake nchi ilimshinda. Hata alipoulizwa kwanini Tanzania ni masikini wakati ina kila kitu. Alijibu hata yeye hajui na anashangaa kwanini Tanzania ni masikini. Ulikiri mwenyewe hotuba yako ya Bungeni kuwa anakushauri sana pamoja na yule bwana aliesema ataendeleza majengo alojenga babake lakini hakashindwa akabakiza majungu tu kule kwetu minazini.

Baba yake alikuwa na aakili kubwa. Ange kuwepo kule minazini kungekuwa dubai ndogo. Tusisingizie Muungano. Tunapotezwa tu. Yule baharia aliijenga nchi yetu ya minazini wakati huo huo wa muungano. Hata Dar wakati huo haikujengwa kama baharia alivyo ijenga minazini. Leo tunabaki lalamikia muungano badala ya kujikita kuijenga nchi yetu.

Yangu macho. Twendelee kujipendekeza. Kusifia na kuona sisi hatuwezi jenga uchumi wetu isipokuwa wawekezaji. China ilikuwa sawa na Tanzania miaka ya nyuma. Leo ni Taifa kubwa. Je, walitumia sera ya kujipendekeza na kusifia wengine na kujidharau?

Wachina walifanya kazi hawakutegemea wawekezaji uchwara kama Kenya. Walisomesha vijana wao nje, wakaiba tekinolojia toka mataifa makubwa. Wakaunda tekinolojia yeo. Rushwa ikapigwa vita ni kunyongwa tu. Taifa likasimama.

Watanzani leo hatuna scholarship kwa ajili ya Watanzania pekee kama yalivyo mataifa mengine. Mfano Afrika Kusini, Nigeria, Ethiopia na mengineyo hasa kwenda kusoma nje. Nashangaa balozi zetu hazina ubunifu.

Viongozi wengi tulionao leo walipelekwa kusoma nje na serikali. Leo wamekuwa wabinafsi.

Tanzania tu vijana wanaakili kwenye ubunifu na sayansi. Tuwatumie hawa. Tuwajari. Nchi imebaki majungu. Nchi imekuwa siasa kila kitu. Tunajenga shortcut ya maisha.

Viongozi tuwe na maono. Maendeleo hayaji kwa kujipendekeza. Watu watapata machungu ya maisha ila baadae wataenjoy. Nchi zote upitia huko. Ndo tutaona maendeleo ya kweli.

Karibu tena Ikulu kwa remote control. Nawe waziri wa mambo ya nje ulikuwa katibu Mkuu wa wizara ya mambo ya nje wakati wa team Msoga. Uliishia kutuletea Bush, Obama na hatukuona tija. Tulipata neti za mbu pekee.

Rais na baraza na taasisi waliishia kwenda nje. Nakuomba ubadilike. Mshauri vizuri mama. Najua anashaurika na akitulia ni kiongozi na Rais mzuri.

Ni kwa vipi Tanzania imejipendekeza na kujidharau ?
 
Historia itaongea...Uzuri kuna comparisons na tutaweza kupata njia ya tatu bora zaidi baada ya haya kushindwa au kweza kuwa mema
 
Kwahiyo tujifungie ndani kwa sababu hatuwezi kusimamia sheria na taratibu zetu zilizopo?!?
Tunajifungia kwa muda kujenga misingi...Unless tunataka kuwa wasindikizaji kwenye dunia...
 
Back
Top Bottom