Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hujathibitisha Mungu yupo, hujathibitisha katengeneza kitu kutoka pasipo kitu, hujathibitisha hata kama kulikuwa na mwanzo.Creation - making something out of nothing
Hapo mwanzo kulikuwako na neno, naye neno alikua kwa Mungu , Naye neno alikua ni Mungu
Vitu vyepesi km hv ukitaka kutumia akili nyingi kuvielewa utakua unapoteza muda mkuu.
Mungu yupo
Umekariri maandiko na kuyarudia bila critical thinking.
Umechanganya argument from ignorance, argument from authority na logical non sequitur.